Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Njoo na uzi unamaanisha yule anaehusika na yale mambo ukigusa unaviblate yanawasha ila sio mwili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kaka wa DC wa sasa humjui? Afu ktk kundi lao wote ni walaji wa samadi, ila DC tyuuh Ndo sio.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kaka wa DC wa sasa humjui? Afu ktk kundi lao wote ni walaji wa samadi, ila DC tyuuh Ndo sio.
Aisee watakuwa wameishi mombasa hawa sio bure
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kadate san na Noel, alipojua domokaya why asimpige beat, but Noel kafa kaoza kwa kiba. Hata kiwizi wizi wanachachuka. Uwiiiiiih

Kwa hiyo na diamond anapiga noel?
 
Sala yako imaanishe bro dunia si sehemu salama kabisa hivi sasa... Usikae kusonda wenzako hujui LAko lini....

Mimi binafsi naogopa kulaani MTU aliyeathirika na ushoga japo na laani ushoga wenyewe.... Unajua kwanini hao wenzetu wapo gerezani wanatamani kua huru hawawezi ukiona anajiachia ni kujifariji tuu kushindana na ile hatia ndani yake sema hua wanajuta saana...

Hebu tuwe positive kwao tutafute namna nyingine ya kuwasaidia na si kubwa attack na kuwadhalilisha

Njia ya kuwafariji na kuwasahauri inamanufaa saana kwao, they need someone to trust wawasikilize na kuwaelekeza ipasavyo hii njia nimeiona ikifanya kazi kutoka kukosa hisia na jinsia ya kike mpaka kuoa kabisa.

Na huku kukemea kwako pasipo kumaanisha Mungu asije kupa huu mtihani ukakufuru
 
Kwa hiyo na diamond anapiga noel?
Kuhus domo na Noel sjna hakika, but wakat huo Noel alikua na kiba, alipojua domo aka mpiga pin couz yeye na jamaa hawaelewan, why Noel atoke nae yule, ila Noel amekufa ameoza kwa kiba.

Domo si kuna chimbo hilo juma acha ajifarague kuwa dulvan anajishebedua kwa jamaa na hamuelew, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ushoga kazi mweeeeh, wakianza kuchambana Noel na James bas watazamaji tunashangilia, siku hiyo R na F wakaanza kutoa Elimu kuwa gays wapendane. Huhuhuhuh.
 
Ololoo yayee sijawahi ona Masai shoga Bado nitaendelea kuamini nyie mnao Iga maisha ya kizungu ndiyo mnakua mashoga nimekaa sana na jamii ya wamasai nikati ya jamii ambazo Mila na tamaduni zao zime enziwa vizuri
 
NGO's haziko kwa ajili ya kuwamotivate , hapana, ziko kwa ajili ya kuzuia usambaaji wa magonjwa.
Kwa hiyo na wewe tayari ulishaambukizwa magonjwa unataka upate matibabu?
 
Mimi nimekemea huyu mtoa mada kwasababu anasisitiza kwamba mashoga wanazaliwa hivyo na hata akiambiwa vipi tangu utotoni bado atakuja kuwa shoga kwasababu anavutiwa na wanaume.

Hapa ndio tatizo la huyu mtoa mada lilipo. Kwamba mwanaume amuone mwanaume mwingine halafu amtamani kisha hiyo tamaa ipate satisfaction kwa kuingiliwa nyuma. Huu ni uovu na upumbavu wa hali ya juu sana.

Akiwepo yoyote ambaye anahitaji msaada genuinely then ataupata kwa hakika. Kitu chochote ukikichukia kwa kumaanisha lazima utapata nguvu ya kushinda. Hapa aende kwa wanasaikolojia pamoja na kupata msaada wa kiroho.

Sala yangu naimaanisha kabisa mkuu.
 
Mtu mkubwa wewe loooh,kwa mastory ya mujini[emoji41]
 
Siwezi kukuhukumu wala kusema lolote baya juu yako, bali nakuombea Mungu akupe neema na rehema zake maana kuna mambo yapo nje ya uwezo wa mwanadamu na tunahitaji nguvu za Mungu kuyakabili

Hakuna binaadamu mkamilifu, Mungu anusuru vizazi vyetu
Acha kujisikitisha na mtoa mada huu ni mkakati kupromoti ushoga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] dea uko huku? Si unajua maumbea tena, unakuta kila chimbo uko.
Nimeweka kambi hapa[emoji23]

Ninavyomkubali kiba,usiniambie.
 
Ololoo yayee sijawahi ona Masai shoga Bado nitaendelea kuamini nyie mnao Iga maisha ya kizungu ndiyo mnakua mashoga nimekaa sana na jamii ya wamasai nikati ya jamii ambazo Mila na tamaduni zao zime enziwa vizuri
Unataka uoneshwe? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wee sema utaletewa had wa hsdzabe na ndorobo.

Unasemea masai wa huko maporini au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeweka kambi hapa[emoji23]

Ninavyomkubali kiba,usiniambie.
Mmmmh kiba huyu huyu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Noel ndo goma lake kuu, unamfaham Dan mtoto wa mama?
Hahahah pambeeeh, acha siku dunia itikisike watu waumbuke, mbna tutatafutana. Uwiiiiiih
 
Dulvan[emoji41]. Huyu wakujiita Da zu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…