mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Ukibaini na mi nifanyie hisani nipate kujua👏👏👏Ngoja nipekue pekue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukibaini na mi nifanyie hisani nipate kujua👏👏👏Ngoja nipekue pekue
Dah! unaweza kuta huyu shoga ana ukuni wa haja kuliko wewe ukaishia kuaibika tu bahariaHapa ni kumtafuta dem wa huyu mtoa mada ili tumle kimasihara, maana naona anakosa ukuni waziwazi.
Unataka ugundue niniMkuu nyoosha maelezo,
Mara ya Kwanza kukalia dudu,
Ilikuwaje?
Hapo sijaelewa vzr
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Anakwepa kwepa kutueleza jinsi alivyoanza.Unataka ugundue nini
Asante sana uzi mzuri mno umeharibikaBinafsi naona jamaa ameeleza hali halisi ndani ya jamii yetu na kutoa ushauri ambao nahisi tungejikita hapo, kutukana kukejeli hizo ni stress za maisha na haimaanishi hii tabia haipo la msingi ni kuchukua taadhari kwenye jamii inayokuzunguza, tunapoelekea tutalinda watoto wa kiume zaidi kuliko wa kike blv me
[emoji38][emoji38][emoji38]Yani mkuu na mie nawaza sana, eti unainama kabisa unaingiziwa paipu polepole then unaanza kupigwa miti, yan inaingia then inatoka kwny mk*ndu afu unafurahia kabsa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Astaghafirullah.
Ndio maaana mimi nawakaza mijimama,mijidada na vibinti utapata wapi muda wa kuwaza kula gay.Jamaa kafunguka ukweli mwingi tu
Mambo aliyoyagusia yote ni dhahiri yapo ,na mwanaume akishaanza kula ile kitu ni ngumu kuacha ,shoga akilewa anaushawishi mkubwa mno yani seduce yake ni zaid ya mwanamke
Yupo rafiki yangu nimekuwa nae nimecheza nae hizi tabia ni tangu utoto nafikiri kuna hormone zilimzidia
Alilewa siku moja alinishawishi ilikuwa kidogo tu nimle bahati sikuwa pombe nilikuwa timamu nikamescape
Mwingine aliniita kwake kijanja ila huyu alikuwa na HIV,sikumla alinipa offer y kitu nikitakacho,
Fb sasa ndo zaidi ya kumi ila hakuna hata mmoja niliemfokea wote niliwasikiliza nikawaescape kijanja mno
Hadi wazee kabisa wapo ni gay
Mwanume utumie uanaume wako ipasavyo ukikaa tu mwili utakupeleka unavyotaka na inakuwa ngumu kuucontrol when it too late
Nakushukuru kwa kunipa maarifa juu ya jambo hili, kweli umenisaidia. Kama ulivosema..ni Mungu pekee aweza watoto wetu wa kiume, sio sheria wala kusema vibaya mashoga. Ila ninaloweza sema kwako, hisia ulizonazo sio asili, kweli umefungwa katika hilo..Mungu alumba mwanamume na mwanamke..tu, haiwezekani mwanaume akapewa hisia za kike alafu uchukulie poa. Kama unaamini sio kazi yq mungu, anza kukataa hali hiyo, ndipo Mungu ataingilia kati. Maana sio mapenzi yakw uwe hivo..alukuumba mwanamume. Acha kumwambia mungu yeye anajua..hapana..wewe ndio unajua lililo sahihi..dai haki yako akuponye. Ukumaanisha, utqona Mkono wa Bwana ukikuokoa ktk hilo.Swali zuri sana, mimi ni mkristo, nasali KKKT, ila pia napenda kuhudhulia ibada hata makanisa mengine sometimes kama Pentekoste na TAG, pia hua nahudhulia mikutano yote ya mwakasege, sababu napenda kusikikiza neno la Mungu, na pia sababu nimezaliwa kwenye familia ya watu wanaosali.
Nafahamu maandiko yes, na sitaki kusema nachukuliaje ila nachomuomba Mungu siku zote ni kama hii ni dhambi kuu, basi naomba anibadilishe kwa wakati wake, sababu mimi siwezi, kutokana na maandiko yes najiona mwenye dhambi, lakini siwezi acha kumuomba Mungu kwa sababu ya weakness ambayo kama binadamu siwezi kuichange, humuuliza Mungu, mbona nisipende women kama wengine, mbona hisia zangu ziwe tofauti, shida ni nini, naamini yeye anajua zaidi. Hivyo ndivyo navyoweza kusema. Gays wanasali pia, yes , hata huyo rafiki angu mmoja ambae pia ni gay, ni muslim na anasali, anafunga na anaishi kama muslim wengine japo yupo hivyo.
We mpuuzi kweli kati ya kufanywa nyuma na kutumia pills kipi ni risk zaid? between the lines inaonyesha wew ni typical gay na una enjoy kuwa gay but,uzi wako una agenda zaidi ya maelezo unayojinasibisha nayo.....wenye akili tumegundua kwamba kuna mtego una usuka. USHOGA ni AIBU na LAANA mbele za MUNGU na WANADAMU!! acha mara moja.Huwa natumia pills pia, japo hajui, hutumia pills za kuboost, hivyo hua nakua na hisia sana.nikiwa nae, tena nakua very strong na naweza sex hadi akachoka mie bado. Ila pills sio nzuri kiafya na sizipendi, thats why huwa aitaki kukutana nae mala kwa mala angalau nisimeze sana hayo ma pills.
"Ni Mungu pekee anaweza kuwanusuru watoto wetu wa kiume" na wewe umeingia king kienyeji sana!!Nakushukuru kwa kunipa maarifa juu ya jambo hili, kweli umenisaidia. Kama ulivosema..ni Mungu pekee aweza watoto wetu wa kiume, sio sheria wala kusema vibaya mashoga. Ila ninaloweza sema kwako, hisia ulizonazo sio asili, kweli umefungwa katika hilo..Mungu alumba mwanamume na mwanamke..tu, haiwezekani mwanaume akapewa hisia za kike alafu uchukulie poa. Kama unaamini sio kazi yq mungu, anza kukataa hali hiyo, ndipo Mungu ataingilia kati. Maana sio mapenzi yakw uwe hivo..alukuumba mwanamume. Acha kumwambia mungu yeye anajua..hapana..wewe ndio unajua lililo sahihi..dai haki yako akuponye. Ukumaanisha, utqona Mkono wa Bwana ukikuokoa ktk hilo.
Wewe nawe acha unafiki, unachangia speed ya uzi kwa ku comment halafu unasema eti ndio nyuzi zenu pendwa?Uzi unaenda kwa kasi sana.
Ndio nyuzi zenu pendwa.
Kule kwenye ujasiriamali hamuonekani kabisa [emoji2][emoji3577]
Na utafanyaje ikiwa mwanao ndio mwenyewe hio changamoto???Ukishaamini kwamba hili ni suala la kibaiolojia then utakuwa tolerant kwa hao watu na hapo utawakaribisha kuwa majirani.
Hapo utashirikiana nao mambo mbalimbali.. sasa utaanzaje kumwambia mwanao kwamba tabia zao ni mbaya wakati mnashirikiana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] sasa unataka nilie? Hebu nambie bas.Wew muda wote tu unachekacheka humu ndani daah unakera San HV ujiehtukii kuwa. Ni wew unachekacheka app ktk Uzi huu
Akiwa kimya na anafanya mambo yake sirini basi hilo ni lake.Na utafanyaje ikiwa mwanao ndio mwenyewe hio changamoto???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wee una stress au nn? Khaaah mbna povu jingi mnoo?Pumbafu Sana unacho cheka n nn wew
Eti Uzi mbona unatabiria ujinga tu