Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Niliuona huu uzi tangu siku ya kwanza nikaupotezea, mambo ya mashoga yananichefua sana halafu niliamini ungefutwa na JF haraka sana.
Kilichonishtua hadi jana asubuhi uzi bado upo na una comments zaidi ya 400 in less than 24hrs. Nikafungua na kuanza kusoma pamoja na comments ZOTE hadi ukurasa wa 47.
Niliyoyagundua;

1.Mleta mada ni mtu SMART sana, ukiangalia uandishi wake, jinsi anavyojibu comments za watu hata zile za kudhihaki bila kupaniki wala ku attack back, professional yake, utakubaliana na Mimi. Actually by default mashoga wengi ni watu smart. Technologies nyingi tunazotumia ikiwemo computer ziligunduliwa na mashoga.

2. Watanzania/ waafrika wengi ni wanafiki hasa linapokuja suala la ushoga. Mwanzoni mwa uzi watu walikuwa wanachangia kupitia side ID's. Unakuta ID ya 2012 lakini ina comments 200au300. Uzi ulipochanganya ndipo zikaanza kuonekana zile ID's kongwe& popular.

3. Ushoga upo kila mahali. Angalia mleta mada anasema ni muumini wa dini anahudhuria ibada lakini anayoyafanya chini ya kapeti ni siri yake. Je ni watu wangapi wanaofanya hivyo? Si ajabu hata viongozi wa dini wanasimama madhabahuni kuulani ushoga lakini wenyewe ndio wanajua wanayoyafanya vyumbani mwao.

4. Wanawake wanaongoza kwa double standard. Ushoga baina ya wanawake literally unakubalika(na ndio upo kwa kiasi kikubwa) lakini kwa wanaume ni haramu. Mara nyingi club nimekuta wanawake wanacheza pamoja, ole wao wanaume wafanye hivyo. So hata ushoga kwa wanaume unapigwa vita kuliko sababu una disarm wanawake wanaotumia sex ku manipulate wanaume, unawapa competition wasiyoiweza.

5. Siyo kweli kwamba uwazi kwenye ushoga utahamasisha vitendo vya kishoga. Sigara na pombe vipo wazi mitaani na vinapewa promo na vyombo vya habari lakini kuna watu wengi hawavitumii na hawana mpango wa kuvitumia. Ukihisi utakuwa shoga kisa mwingine kajitangaza ni shoga ujue wewe ni shoga wa mafichoni.
Mkuu Bharka kamwe usijihisi mdhambi au mpungufu kwa hali uliyonayo. Kama ndicho kinachokufurahisha wewe pamoja na wenzio kifanye with full Watts. Kama ni dhambi Mungu ndiye wa kukuhukumu na siyo binadamu. Bila shaka una la kujitetea mbele zake kama siku ya hukumu itakuwepo.
Mwisho nawapongeza JamiiForums kwa kuruhusu maoni na mitazamo tofauti ijadiliwe, bila kuzuia watu kama mleta mada kujieleza.
JF WHERE WE DARE TO TALK OPENLY.
 
Hakuna ushoga wa kuzaliwa nao kaka, ukweli ndo huo, na mashoga wanajitaidi wawaongeze wasio mashoga
 
Binafsi naona jamaa ameeleza hali halisi ndani ya jamii yetu na kutoa ushauri ambao nahisi tungejikita hapo, kutukana kukejeli hizo ni stress za maisha na haimaanishi hii tabia haipo la msingi ni kuchukua taadhari kwenye jamii inayokuzunguza, tunapoelekea tutalinda watoto wa kiume zaidi kuliko wa kike blv me
Asante sana uzi mzuri mno umeharibika
 
Yani mkuu na mie nawaza sana, eti unainama kabisa unaingiziwa paipu polepole then unaanza kupigwa miti, yan inaingia then inatoka kwny mk*ndu afu unafurahia kabsa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Astaghafirullah.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Jamaa kafunguka ukweli mwingi tu
Mambo aliyoyagusia yote ni dhahiri yapo ,na mwanaume akishaanza kula ile kitu ni ngumu kuacha ,shoga akilewa anaushawishi mkubwa mno yani seduce yake ni zaid ya mwanamke

Yupo rafiki yangu nimekuwa nae nimecheza nae hizi tabia ni tangu utoto nafikiri kuna hormone zilimzidia

Alilewa siku moja alinishawishi ilikuwa kidogo tu nimle bahati sikuwa pombe nilikuwa timamu nikamescape

Mwingine aliniita kwake kijanja ila huyu alikuwa na HIV,sikumla alinipa offer y kitu nikitakacho,

Fb sasa ndo zaidi ya kumi ila hakuna hata mmoja niliemfokea wote niliwasikiliza nikawaescape kijanja mno

Hadi wazee kabisa wapo ni gay
Mwanume utumie uanaume wako ipasavyo ukikaa tu mwili utakupeleka unavyotaka na inakuwa ngumu kuucontrol when it too late
Ndio maaana mimi nawakaza mijimama,mijidada na vibinti utapata wapi muda wa kuwaza kula gay.

Hata makasisi wanaangukia huko kutokana na ile prohibition ya kusex na kuoa.

Kukaa mwezi bila kusex unaweza vamia nzi ukasex nawe kiutani utani[emoji2][emoji1787][emoji3577]
 
Swali zuri sana, mimi ni mkristo, nasali KKKT, ila pia napenda kuhudhulia ibada hata makanisa mengine sometimes kama Pentekoste na TAG, pia hua nahudhulia mikutano yote ya mwakasege, sababu napenda kusikikiza neno la Mungu, na pia sababu nimezaliwa kwenye familia ya watu wanaosali.

Nafahamu maandiko yes, na sitaki kusema nachukuliaje ila nachomuomba Mungu siku zote ni kama hii ni dhambi kuu, basi naomba anibadilishe kwa wakati wake, sababu mimi siwezi, kutokana na maandiko yes najiona mwenye dhambi, lakini siwezi acha kumuomba Mungu kwa sababu ya weakness ambayo kama binadamu siwezi kuichange, humuuliza Mungu, mbona nisipende women kama wengine, mbona hisia zangu ziwe tofauti, shida ni nini, naamini yeye anajua zaidi. Hivyo ndivyo navyoweza kusema. Gays wanasali pia, yes , hata huyo rafiki angu mmoja ambae pia ni gay, ni muslim na anasali, anafunga na anaishi kama muslim wengine japo yupo hivyo.
Nakushukuru kwa kunipa maarifa juu ya jambo hili, kweli umenisaidia. Kama ulivosema..ni Mungu pekee aweza watoto wetu wa kiume, sio sheria wala kusema vibaya mashoga. Ila ninaloweza sema kwako, hisia ulizonazo sio asili, kweli umefungwa katika hilo..Mungu alumba mwanamume na mwanamke..tu, haiwezekani mwanaume akapewa hisia za kike alafu uchukulie poa. Kama unaamini sio kazi yq mungu, anza kukataa hali hiyo, ndipo Mungu ataingilia kati. Maana sio mapenzi yakw uwe hivo..alukuumba mwanamume. Acha kumwambia mungu yeye anajua..hapana..wewe ndio unajua lililo sahihi..dai haki yako akuponye. Ukumaanisha, utqona Mkono wa Bwana ukikuokoa ktk hilo.
 
Huwa natumia pills pia, japo hajui, hutumia pills za kuboost, hivyo hua nakua na hisia sana.nikiwa nae, tena nakua very strong na naweza sex hadi akachoka mie bado. Ila pills sio nzuri kiafya na sizipendi, thats why huwa aitaki kukutana nae mala kwa mala angalau nisimeze sana hayo ma pills.
We mpuuzi kweli kati ya kufanywa nyuma na kutumia pills kipi ni risk zaid? between the lines inaonyesha wew ni typical gay na una enjoy kuwa gay but,uzi wako una agenda zaidi ya maelezo unayojinasibisha nayo.....wenye akili tumegundua kwamba kuna mtego una usuka. USHOGA ni AIBU na LAANA mbele za MUNGU na WANADAMU!! acha mara moja.
 
Nakushukuru kwa kunipa maarifa juu ya jambo hili, kweli umenisaidia. Kama ulivosema..ni Mungu pekee aweza watoto wetu wa kiume, sio sheria wala kusema vibaya mashoga. Ila ninaloweza sema kwako, hisia ulizonazo sio asili, kweli umefungwa katika hilo..Mungu alumba mwanamume na mwanamke..tu, haiwezekani mwanaume akapewa hisia za kike alafu uchukulie poa. Kama unaamini sio kazi yq mungu, anza kukataa hali hiyo, ndipo Mungu ataingilia kati. Maana sio mapenzi yakw uwe hivo..alukuumba mwanamume. Acha kumwambia mungu yeye anajua..hapana..wewe ndio unajua lililo sahihi..dai haki yako akuponye. Ukumaanisha, utqona Mkono wa Bwana ukikuokoa ktk hilo.
"Ni Mungu pekee anaweza kuwanusuru watoto wetu wa kiume" na wewe umeingia king kienyeji sana!!
 
Uzi unaenda kwa kasi sana.

Ndio nyuzi zenu pendwa.

Kule kwenye ujasiriamali hamuonekani kabisa [emoji2][emoji3577]
Wewe nawe acha unafiki, unachangia speed ya uzi kwa ku comment halafu unasema eti ndio nyuzi zenu pendwa?
Nimesoma comments zako karibia 20 au zaidi, yaani ukurasa mzima wa huu uzi umechangia wewe.
Huko kwenye ujasiriamali ushachangia hata comments 5?
Siyo ajabu wewe nawe ni shoga wa mafichoni unayetaka wengine wa feel guilty kwa kitu ambacho ndiyo mazoea yako.
 
Ngono inapewa sana kipaombele, tatizo linaanzia hapo. Kwani ukikaa bila sex utakufa!
 
Ukishaamini kwamba hili ni suala la kibaiolojia then utakuwa tolerant kwa hao watu na hapo utawakaribisha kuwa majirani.

Hapo utashirikiana nao mambo mbalimbali.. sasa utaanzaje kumwambia mwanao kwamba tabia zao ni mbaya wakati mnashirikiana?
Na utafanyaje ikiwa mwanao ndio mwenyewe hio changamoto???
 
Na utafanyaje ikiwa mwanao ndio mwenyewe hio changamoto???
Akiwa kimya na anafanya mambo yake sirini basi hilo ni lake.

Ikiwa haitaki hiyo tabia na anataka msaada then litafanyika kila liwezekanalo ili aache hiyo tabia. Penye nia pana njia.

Ila kama anaipenda na kujifanya kwa furaha na anajitangaza then hapo ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.

Hata hivyo mimi nasema kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth kwamba mwanangu wala yeyote katika kizazi changu na nyumba ya baba yangu hatakuwa hivyo.
 
Pumbafu Sana unacho cheka n nn wew

Eti Uzi mbona unatabiria ujinga tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wee una stress au nn? Khaaah mbna povu jingi mnoo?
Kunywa maji mengi na u relaaaaax.
 
Back
Top Bottom