Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Una hoja ya msingi sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu walete majibu. Uwiiiiih.
Ushoga ni tabia na sio asilia.
Kama ni shida ya homoni ipo namna ya kuziondoa zile hisia za tamaa,na ukarudishiwa utu wako.
Ushoga ni tabia hiari na sio tabia shurutika
 
jibu swali wewe acha kuzunguka. Ni homoni gani ya kike inayokufanya upende kuliwa nyuma? siungekuta wanawake wote wanaliwa nyuma? na wewe cocastic ujibu hili.

Acheni kuendekeza tabia za ufirauni wa kisenge. Mnaendekeza huo upuuzi ninyi wenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] kwani lazima unitaje mie? Hizo sio shida zangu hata. Kila mtu atajua na maisha yake. Khaaaaah
 
[emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mume bhana, mie mbavu cna lol.
 
Kheeeh! Mbona kama wewe ndie mwenye hasira kuliko hao walengwa??

Sasa uhalifu wa Shoga ni upi au ndio kujitoa ufahamu mtu mzima wewe.
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3]
 
Lesbian Gay Bisexual and Transgender


Ndio zile Rainbow armbands wanazovaaa ma-captain wa timu za ligi kuu Ulaya. Na sisi tunaangalia tu
Sasa utafanya nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mnafunguka tyuuh.
 
Unamchukia shoga ili iweje?
Mtu hakuombi hata shilingi mia,
Mtu hakuombi msaada wowote wala hakutegemei kwa chochote.
Unamchukia ili iweje?
Shangaa nawee hapo sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani huu uzi utawafukunyua watu wengi hamtaamini watajitokeza wenye uzi wao hamtaamini tena bila kujifichaa wachache wameshajitokeza tusubiri wengine sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na wanakuja kwa kasi. Mnooo.
 
Tena wamejaa kibao yaan. Hapa wanajifanya unafiki tyuuh.
 
Wee nilipewa onyo kali mnooo.
Mie nipo kipenziiiiiih changu [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
 
Ushoga ni tabia na sio asilia.
Kama ni shida ya homoni ipo namna ya kuziondoa zile hisia za tamaa,na ukarudishiwa utu wako.
Ushoga ni tabia hiari na sio tabia shurutika
Kheeeeh mbna umeshikia bango sana? Khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Big up kwa maelezo thabiti, elimu pia na bora umeweka wazi tatizo lilivyo katika jamii yetu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…