Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Wanasema ukipenda kula kula mashoga kuna siku utatamani ujue wanapataje raha kwahyo na ww utaanza kufokonyolewa taratibu..pia haya mambo ya mademu kuwanyonya kinyeo na kuwapiga ndole wkt wa kwichi kwich wanadai ukizoea Utataka uwe unazamishiwa na dudu..! fu$k off kabisaa…ukitaka kujua ushoga una stigma kiasi gani subiri mdogo wako au baba yako waanze kumla ndo utajua..shit
 
Swali zuri mkuu, ni vigumu kwa sababu hisia ziko hivyo, ni kama wewe ulivyo straight , yani automatically tu ukifkilia kuhusu sex , basi unafikilia kuhus kusex na mwanamke, itakua vigumi sana kufikilia kusex na same gender sababu wewe ni straight, yani ndivyo ulivyo, ukiona msichana anaekuvutia hata asiekuvutia utamtamani kimapenzi, lakini hiyo hali haiwezi kutokea pale ukiwa na mwanaume mwenzako, basi iko the same pia. Niambie, unaweza badilisha hicho kitu ukaacha kupenda wasichana upende same gendee kwa kutumia akili yako? yani uanze badala ya kuerect ukiona demu, eti uerect ukiona samw gender? yani uuswitch mwili ufunction opposite. Ndivyo ilivyo pia kwangu, hata nikijaribu vipi najikuta tu sina hisia na mwanamke, naweza kupretend tu, hilo naweza, nikiwa na washkaji hata demu akipita naweza peretend nimemtamani.
Utetezi uliotumia gays na lesbians wengi
Hasa wa nje huwa wanautumia sana imeshakiwa kama trend hivi .

Umetuuliza swali sisi straights kama tunaweza ku switch hisia? Jibu ni hapana kwanini? Ni kwa sababu HATUTAMANI KUWA GAYS (TOP OR BOTTOM ) na hatutamani kuacha u straight.

Swali kwako though umeshaulizwa na haujajibu, KAMA UNATAAMANI KUACHA KWANINI USIJIEPUSHE NAO? nasubiri jibu.
 
Wanasema ukipenda kula kula mashoga kuna siku utatamani ujue wanapataje raha kwahyo na ww utaanza kufokonyolewa taratibu..pia haya mambo ya mademu kuwanyonya kinyeo na kuwapiga ndole wkt wa kwichi kwich wanadai ukizoea Utataka uwe unazamishiwa na dudu..! fu$k off kabisaa…ukitaka kujua ushoga una stigma kiasi gani subiri mdogo wako au baba yako waanze kumla ndo utajua..shit

Ushoga ni roho,ukianza kufukua mitaro unaikaribisha hio laaana kwenye uzao wako
 
Utetezi uliotumia gays na lesbians wengi
Hasa wa nie huwa wanautumia sana imeshakiwa kama trend hivi .

Umetuuliza swali sisi straights kama tunaweza ku switch hisia? Jibu ni hapana kwanini? Ni kwa sababu HATUTAMANI KUWA GAYS (TOP OR BOTTOM ) na hatutamani kuacha u straight.

Swali kwako though umeshaulizwa na haujajibu, KAMA UNATAAMANI KUACHA KWANINI USIJIEPUSHE NAO? nasubiri jibu.
Achome sindano za kuondoa homoni ya kutamani kuingiliwa
 
Mkuu usidanganywe hakuna cha hormones wala nini kuna watu wamezaliwa na androgen insesitive syndrome na bado wako straight kuna watu wamezaliwa na klinifeters syndrome na bado wapo ok ni straights why wao ambao hawan hizo deffinciency ndo wanakuja na utetezi huo?

Unakuja kugundua ushoga ni tabia kama tabia nyengine na kama kila tabia inavyoanzishwa na matamanio basi ushoga nao ndiyo hivyo hivyo hakuna cha kusema sijui hormones sijui nini ni just FANTASY ya mtu ila asilete utetezi hewa.
 
Ushoga ni tabia kama uteja wa unga
 
Wanasema ukipenda kula kula mashoga kuna siku utatamani ujue wanapataje raha kwahyo na ww utaanza kufokonyolewa taratibu..pia haya mambo ya mademu kuwanyonya kinyeo na kuwapiga ndole wkt wa kwichi kwich wanadai ukizoea Utataka uwe unazamishiwa na dudu..! fu$k off kabisaa…ukitaka kujua ushoga una stigma kiasi gani subiri mdogo wako au baba yako waanze kumla ndo utajua..shit
Povu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu usidanganywe hakuna cha hormones wala nini kuna watu wamezaliwa na androgen insesitive syndrome na bado wako straight kuna watu wamezaliwa na klinifeters syndrome na bado wapo ok ni straights why wao ambao hawan hizo deffinciency ndo wanakuja na utetezi huo?

Unakuja kugundua ushoga ni tabia kama tabia nyengine na kama kila tabia inavyoanzishwa na matamanio basi ushoga nao ndiyo hivyo hivyo hakuna cha kusema sijui hormones sijui nini ni just FANTASY ya mtu ila asilete utetezi hewa.
Sasa km n fantasy ya mtu, wee unahangaika nn? Kila mtu abaki na fantasy yake, kwan lazima fantasy zifanane?

Mbna mnashangaza sana khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
0714 651 141 namba ya Amos Hamisi Kanyama zamani anti asu shoga maarufu kwa macheni kwa shida zote jinsi ya kuacha ushoga,usagaji,ulawiti, au uraibu wowote wa tabia ngumu anao msaada, uwe mzazi au muathirika muhusika, atakupa msaada, na utaweza kuacha tabia zote ngumu na kuwa kiumbe kipya na kujisikia mwepesi baada ya kuutua mzigo.
Ushoga, usagaji ni tabia na sio asilia.
Anti asu ndie aliyeimbwa na Abdul misambano wimbo maarufu wa asuu
Wimbo wa Asu umetungwa na kuimbwa na mwanamuziki na bendi kutoka Burundi,Na Misambano alifanya kuurudia kuuimba akiwa na bendi ya Babloom.
 
Sasa km n fantasy ya mtu, wee unahangaika nn? Kila mtu abaki na fantasy yake, kwan lazima fantasy zifanane?

Mbna mnashangaza sana khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Who asked you anyway?🤔
 
Ushoga unasambazwa na hawa, kimkakati kabisa...

licha ya vichwa vya habari kuhusu "lobi ya mashoga" yenye nguvu ndani ya Vatikani, na Papa mpya anayeahidi mageuzi, makadinali mashoga wa Kanisa Katoliki, watawa, na makasisi wengine wanaishi katika ulimwengu wa siri uliofichwa. Huko Roma, mwandishi anajifunza jinsi wanavyopitia kitendawili hatari cha maisha yao.

Soma zaidi: The Secret Lives of the Vatican’s Gay Cardinals, Monks, and Other Clergy Members
Huwa unapenda vita za kidini wewe maza daaah yaaani umeshindikana kwa hii tabia [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mada sikuleta mimi, na hiyo "article" inayosema chimbuko la ushoga sikuandika mimi wala sio Muislam aliyeiandika, kwanini iunilaumu mimi?

Kwa kukuongezea soma na hii...

Asilimia 80 ya makasisi wanaofanya kazi katika Vatikani ni mashoga, ingawa si lazima washiriki ngono, inadaiwa katika kitabu, In the Closet of the Vatican.

Kitabu hicho chenye kurasa 570, ambacho mwandishi wa habari wa Ufaransa na mwandishi Frédéric Martel alitumia miaka minne kutafiti, ni "simulizi ya kushangaza ya ufisadi na unafiki katikati mwa Vatikani", kulingana na mchapishaji wake wa Uingereza.
Asilimia 80 ya makasisi wanaofanya kazi katika Vatikani ni mashoga, ingawa si lazima washiriki ngono, inadaiwa katika kitabu, In the Closet of the Vatican.

Kitabu hicho chenye kurasa 570, ambacho mwandishi wa habari wa Ufaransa na mwandishi Frédéric Martel alitumia miaka minne kutafiti, ni "simulizi ya kushangaza ya ufisadi na unafiki katikati mwa Vatikani", kulingana na mchapishaji wake wa Uingereza Bloomsbury.

Chanzo: Four in five Vatican priests are gay, book claims

Kumbuka, hata hayo juu si yangu, nimekopi na kupesti na chanzo nimekiweka. Sasa unayotaka kusema kamwambie aliyoyaandika, link hiyo hapo juu nimekuwekea.
 
Kuwa nae makini, akianza kukupa offer piga chini.
Boda boda sana sana hapa kwetu jiran kuna kijiwe cha boda boda ase juzi kati nikaingia mtandao nikamtuka boda anae nichukua kila siku kapost insta kuwa anafila bure na ana posti dudu lake ase nilipata hasira nikawa nataka nimtafute ni mshauri nikasema ngoja niache maisha yaendele kila mtu ababe msalaba wake ila boda boda
 
Back
Top Bottom