Swali zuri mkuu, ni vigumu kwa sababu hisia ziko hivyo, ni kama wewe ulivyo straight , yani automatically tu ukifkilia kuhusu sex , basi unafikilia kuhus kusex na mwanamke, itakua vigumi sana kufikilia kusex na same gender sababu wewe ni straight, yani ndivyo ulivyo, ukiona msichana anaekuvutia hata asiekuvutia utamtamani kimapenzi, lakini hiyo hali haiwezi kutokea pale ukiwa na mwanaume mwenzako, basi iko the same pia. Niambie, unaweza badilisha hicho kitu ukaacha kupenda wasichana upende same gendee kwa kutumia akili yako? yani uanze badala ya kuerect ukiona demu, eti uerect ukiona samw gender? yani uuswitch mwili ufunction opposite. Ndivyo ilivyo pia kwangu, hata nikijaribu vipi najikuta tu sina hisia na mwanamke, naweza kupretend tu, hilo naweza, nikiwa na washkaji hata demu akipita naweza peretend nimemtamani.