Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Mnashindwaje kuzigundua picha #fake za kutengeneza!?View attachment 3693591
Kuna watu watasema habari iko nusu !
#Mod,futa ujinga huu,tafadhali.
Mnashindwaje kuzigundua picha #fake za kutengeneza!?View attachment 3693591
Kuna watu watasema habari iko nusu !
Hiyo picha inaelezea kitu ganiMnashindwaje kuzigundua picha #fake za kutengeneza!?
#Mod,futa ujinga huu,tafadhali.
Huyo dogo hapo mwenye shepu ya .... analiwa tope?Wabongo wape picha tu...
Inaelezea kwamba huyo dogo alievaa miwani ana undugu wa mbali kidogo na Dudubaya yaan mama mmoja Baba mbalimbali, yobelawachyoabaki usije ukachezewa kinyesi chakoHiyo picha inaelezea kitu gani
Lisemwalo lipoMnashindwaje kuzigundua picha #fake za kutengeneza!?
#Mod,futa ujinga huu,tafadhali.
Ukiwa na asili ya karabu au ya kizungu wabongo wanakuita Shoga 🤔Mionekano ya baadhi ya watu sio kigezo cha huyo mtu ni shoga.
Cc BICHWA KOMWE BRAZA CHOGO cocastic Supapawa
Rhabhekhaaaa!! Eeh kuna nini hapaa? Naona naitwa, na nimekuja wangu wangu!!
Wabongo nao wana kushughulisha? Njaa, umaskini, na udumavu wa fikra unawapeleka puta, ni wa kusamehewa tu.Mionekano ya baadhi ya watu sio kigezo cha huyo mtu ni shoga.
Cc BICHWA KOMWE BRAZA CHOGO cocastic Supapawa