cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Wacha tusubiri tuone.Waweke na video
Wacha tusubiri tuone.Waweke na video
Ikoje hiyo mitikiMwanaume yeyote yule apigwaye miti huitwa Shoga. That's all!
Asubiri!Wacha tusubiri tuone.
Hii akili sana darasani ukimaliza na chini ya zero au kuacha shule... Hapa sasa anamaana ganikaMwanaume yeyote yule apigwaye miti huitwa Shoga. That's all!
Mitiki gani?Ikoje hiyo mitiki
Nilidhani tayari umepost video
Andika vizuri mkuu, sijakuelewa.Hii akili sana darasani ukimaliza na chini ya zero au kuacha shule... Hapa sasa anamaana ganika
Bora tutauzaa bastora kwa hiyo wanaume wasivutie kimapenzi ili waishi pamojaNeno shoga lina maana kuu mbili tofauti katika lugha ya Kiswahili, kulingana na muktadha unaotumika:
1. Rafiki wa Kike (Maana ya Asili)Katika Kiswahili sanifu na cha pwani, shoga maana yake ni rafiki wa karibu sana wa kike.
Neno hili hutumiwa na wanawake wanapoitana au kuzungumzia urafiki wao.Mfano: "Asha ni shoga yake Amina" (Asha ni rafiki wa kike wa Amina).
2. Mwanaume Anayevutiwa na Wanaume Wenzake (Ushoga)Katika muktadha wa kisasa na lugha ya mitaani (slang), neno hili hutumika kumrejelea mwanaume anayefanya mapenzi au kuvutiwa kimapenzi na wanaume wenzake (kwa Kiingereza: gay).
Nilikuwa nasomea! Ngoja niache shuleHili neno Shoga ni kama limebadilishwa tu matumizi yake na kupewa tafsiri nyingine,hili neno Shoga,zamani lilitumika kumaanisha Rafiki,
Wanawake ndio walikua wakilitumia zaidi,utasikia "Huyu ni Shoga yangu" ikimaanisha kua "Huyu ni rafiki yangu"
Y B W Y B
Mamba 24 haikwepeki,
Linda mgongo wako.
Naacha shule tu mkuu imekuwa ngumuAndika vizuri mkuu, sijakuelewa.
Sio AI?View attachment 3693591
Kuna watu watasema habari iko nusu !