Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 449
- 752
Habarini za humu wadau,
Mimi ni kijana wa miaka 26, mkazi wa jijini Dar es Salaam. Nina kitu nime-observe katika maisha yangu ambacho kinanipa huzuni kabisa na sina amani kwa kweli. Nina pesa na nina kazi ila hali yangu ya kimahusiano siielewi kabisa.
Ninaomba ushauri au msaada ili kuninusuru kabisa katika hili janga zito maana ni aibu na pia si sawa kabisa najihisi ni mkosefu sana.
Kiufupi nimekuwa ninavutiwa sana na vijana wa kiume tofauti na wa kike kiasi kwamba ninaweza nikawa nina demu mkali lakini akipita boy mwenye sura nzuri au smart lazima nimuangalie na pia sipo kama vijana wengine kuvutiwa na makalio makubwa au mguu wa demu mimi ninapenda tu sana sura.
Nimefikia humu kuandika hivi kwa sababu nimeona ni too much na hali inazidi just imagine juzi nilikuwa kiwanja fulani kula bata ikatokea kumnotice kijana flani nilifanya hadi juhudi za kuchukua namba yake which is very very wrong.
Tafadhali mnsaidie nisije nikaingia kwenye ushoga au tabia mbaya ambazo sio nzuri, sina wa kumueleza hii kitu hata rafiki zangu wakaribu naona kama nazingua.