Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Hapa wanaume wote watapinga ushoga ila ndo wateja wakubwa wa mashoga na kuwahonga juu[emoji3][emoji3][emoji3]
Nyumba ndogo zao akati, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari!
Mimi nina mtoto mmoja tu wa kiume, ana miaka 6 sasa , nampenda sana.
Ninapambana kumkinga na ushoga, natumia njia hizi;

1. Siruhusu awe na rafiki wa kiume ambaye amemzidi umri kuanzia miaka 4.
2. Lazima niwajue marafiki zake.

3. Siruhusu kabisa urafiki na wavulana wanaobalehe.

4. Siruhusu mgeni au ndugu aliyebalehe alale kitanda kimoja na mwanangu.

5. Sitaki ndugu wa kiume nyumbani kwangu. Mwenye shida nitamsaidia akiwa huko mbali, akija basi awe wa kupita na si wa kudumu.

6. Ninampa pesa ndogondogo hata kama hajaniomba. Hii naifanya ili asiishobokee pesa ya watu. Maana wengine huliwa kisa Mia Tano, mia mbili au biscuits tu.

7. Kuwa naye karibu kila siku na kumfanya rafiki. Hapa kama kuna kivulana kinammendea atanipa taarifa. Michezo michafu ina maandalizi yake.

8. Namwambia kuwa yeye ni mwanaume na ataoa. Atakuwa na familia.

Nimeishi sana Uswahilini, kesi za watoto kulawitiwa ni nyingi sana sema tu zinamalizwa kifamilia. Hawa watoto wakiingiliwa utotoni baadaye huzoea na na kuupenda huo mchezo, wao ndio huficha siri. Wakikua wengine hujitangaza hadharani kwa vitendo na wengine hufanywa kwa usiri mpaka uzeeni.
Hongera kwa malezi mazuri kwa mwanao.
Endelea hivyo hivyo
 
Japo post ya muda wacha nichangie,kwanza hakuna binadamu kazaliwa ana hormones za kike wala kiume yote ni mapepo majini wachafu ummu subiani,mtoto anapokuwa mdogo hana madhambi malaika humlinda husubiri pale ka baleghe sasa ndo hujipenyeza kwa mtoto,na majini hawa ndio huwatia ashki matamanio teenager haswa ile kuota unafanya mapenzi unachafua shuka haswa kwa wanaume,na haya majinni ya ummu subiani ya na jinsia 2 ya kike na kiume,humpa kijana matamanio kwenye ndoto kama kufanya mapenzi na wanaume wenzie au wanawake wenzie, iwapo hana imani ucha Mungu ndo anapotea, hapa sasa wazazi tuwasomeshe watoto maswala ya imani, dawa yake ikikutokea hali hio ni kukemeaa kuikataa kabisa hali hio inaenda mpaka inaiisha ila ukichukulia poa inaanza ndotoni waona raha mwisho unatamani ufanye kweli na wanakupa mvuto wa kuvutia watu wa kukufanyia au kuwafanyia uchafu huo,majini wana mambo mengi sana wapo kama sie binadamu wapo wema na wabaya na binadamu wengi sana wana majini bila wao kujua sababu majini wanapenda sana binadamu mpaka lifestyle ya kiubinadamu kama kufanya mapenzi kula mavazi etc,na kuna watu wana bahati anaweza kuwa na jinn(tena wala huwezi jua maana hawapandi) ana kipaji cha mpira basi mtu atapiga ball balaa, mtu ana jinn mfanyabiasha atafanya biashara utakuta akifanya mambo mengine hayaendi,kadhalika upishi fashion hata mambo ya dini unakuta jinn mtu wa imani flani mfano muslim jinn anapenda kusali kusoma Quran automatically binadamu atakae kuwa nae atapenda mambo hayo anakataa machafu,wapo pia majini wa wizi mtu anakuwa mwizi hashikiki wapo majini wa umalaya mtu anafanya umalaya balaaa hapo utashangaa mtaani wanamsema binti malaya anabadili wanaume hashikiki wazazi wenyewe wamechoka wanaacha dunia imfunze ni hawajui tu ni roho chafu ina control mind ya mtoto wao sio yeye,yapo majini malevi nbwa yakikuvaa ni kulewa tu pombe huachi,muhimu wewe mwenyewe uikatae hio hali upambane na nafsi yako mwisho shetani hushindwa tu maana Mwenyeezi Mungu haibadili nafsi ya mtu ambae mwenyewe hajaamua kubadilika,unapambana na roho chafu muombe msaada Mungu, pia punyeto ni mapepo maana jinn ana njia 3 za kufanya mapenzi kwa mwanadamu ya kwanza ndotoni ya 2 kwa hisia yaani kwa punyeto ya 3 kupitia mwanadamu kama jinn wa kike anamuingia mwanamke mume anagonga anajua anagonga mkewe kumbe anagonga 2 in 1 kama jinn wa kiume anamuingia mume mke anakata miuno kumbe anamkatia na jinn miuno 😁ndo maana kwa muslim wanaume wanaambiwa wasiingilie wake zao bila dua iwapo mimba ikitunga basi mtoto anakuwa ana DNA za kijinn muda mwingine unaona mtoto mkorofi kuna tabia humuelewi kumbe toto la jinn wengi wana gongewa sana wake zao na majini mpaka wanazalishwa bila wao kujua.

Tuombee watoto na kuwatolea sadaka.
 
Mengi uliyoyaandika ni UONGO na hayana uhalisia kwanza sisi na wao hatuwezi kutengeneza kizazi hii ni kutokana na necha yao waliyoumbiwa (moto) na sisi udongo.

Kingine jini mzuri huwa hamvai binadamu hata siku moja jinis mzuri huwa namcha mwenyezi mungu na kuishi maisha ya uchamungu.
 
Sina muda wa kubishana na mtu asie na elimu ya majini 🙏,kama ulivyosema jinn mzuri hamvai mtu akaishi mwilini kama majini wachafu Ila huwa pembeni au nyuma ya mgongo.halafu tafuta ulamaa ukasome kwanini kwa Muslim kabla ya kumuingilia mwana mke mwanaume asome dua halafu ndo uje upinge.

Mume anapotaka kumuingilia mkewe, inampasa daima aseme:

بِسْمِ الله اللّهُـمَّ جَنِّبْنا الشَّيْـطانَ، وَجَنِّبِ الشَّـيْطانَ ما رَزَقْـتَنا

Bismillahi, Allaahuuma Jannibnaa-sh-Shaytwaan, Wa Jannibish-Shaytwaana Maa Razaqtanaa

Kwa jina la Allaah, Ee Allaah Tuepushe na Shaytwaan, na Muepushe shaytwaan na Ulichoturuzuku (yaani kizazi).

Mtume صلى الله عليه وآله وسلم amesema kuhusu hili:

((فإن قضى الله بينما ولداً؛ لم يضره الشيطان أبداً))

((Baada ya hapo Allaah سبحانه وتعالى Akijaalia, watapata mtoto ambaye Shaytwaan hatoweza kumdhuru abadan))[1]
 
Ungeanza kusoma nilichoandika kuanzia mwanzo ungepata kitu , kingine haujui elimu ya dini niliyonayo na kingine elimu ya majini ninavyowajua ni kama walivyoelezewa kwenye quran, hadith ,riwaya na visa mbali mbali vilivyowapata wema waliotangulia.

Sasa kama una elimu zaidi ya hapo ndo labda uniambie source ya hiyo elimu yako .
 
Embu nakupa homework kamsome kwanza Jinn Qareen
 
Attachments

  • Screenshot_20230605-130641.jpg
    Screenshot_20230605-130641.jpg
    98.5 KB · Views: 9
Ungeanza kusoma nilichoandika kuanzia mwanzo ungepata kitu , kingine haujui elimu ya dini niliyonayo na kingine elimu ya majini ninavyowajua ni kama walivyoelezewa kwenye quran, hadith ,riwaya na visa mbali mbali vilivyowapata wema waliotangulia.

Sasa kama una elimu zaidi ya hapo ndo labda uniambie source ya hiyo elimu yako .
Kadhalika hujui elimu nilonayo ya Dini halafu rehearsal kisa cha Nabii Mussa A.S, ukijiona unajua basi jua yupo anaejua zaidi yako.

Na ndo maana unaleta ujuaji ili hali hujui kitu kumbe elimu ulonayo ya Majini ni iloelezwa kwenye Quran tukufu tu na visa na riwaya za waja wema walopita,ndugu elimu ya majini ni pana sana na siri zao mtu sio rahisi kuzijua na ubaya watu walokuwa wana elimu hizo wengi wameshakufa japo vipo vitabu ambavyo unaweza kuwasoma ukawajua walivyo mbinu zao hila zao yaani kila kitu kuwahusu wao.
 
Embu nakupa homework kamsome kwanza Jinn Qareen
Ungesoma reply yangu ya pili ungeelewa nilimaanisha nini nilipokuambia elimu ya majini ninayo ile iliyobainishwa kwenye quran, hadith na visa mbali nbali vya wema waliotangulia .

Kuhusiana na qareen (mfuasi katika majini/shayatwin ambaye kila mwana wa adamu amewekewa ili ampoteze) ninamjua vizuri tu kama ilivyobainishwa kwenye quran na sunna .

Na ndiyo maana nikakwambia kama una elimu ya majini nje ya quran na sunna ndiyo utuelezee ulipoipatia hiyo elimu.
 
Kadhalika hujui elimu nilonayo ya Dini halafu rehearsal kisa cha Nabii Mussa A.S, ukijiona unajua basi jua yupo anaejua zaidi yako.

Na ndo maana unaleta ujuaji ili hali hujui kitu kumbe elimu ulonayo ya Majini ni iloelezwa kwenye Quran tukufu tu na visa na riwaya za waja wema walopita,ndugu elimu ya majini ni pana sana na siri zao mtu sio rahisi kuzijua na ubaya watu walokuwa wana elimu hizo wengi wameshakufa japo vipo vitabu ambavyo unaweza kuwasoma ukawajua walivyo mbinu zao hila zao yaani kila kitu kuwahusu wao.
Kama kuna kitabu ambacho kinaelezea elimu ya majini nje ya mafundisho ya quran na hadith pamoja na visa vya waja wema basi hicho hakifai na kinaweza kuwa cha kishirikina .

Na ndiyo maana nikakwambia uelezee source ya elimu yako nje ya quran na sunna .

N.k kisa cha nabiu musa na al-khidhri hakihusiani na mimi mjadala , maana wale walikuwa waja wema na Allah ( the almighty ) ameelezea kwamba alimpatia yeye al -khidhr ilmu kumzidi nabii musa (alayhi salaam) refer quran 18:65 (surat kahf) .

Sasa nataka uelezee ilmu ya majini uliyoipata nje ya hizo sourcw mbili.
 
Mengi uliyoyaandika ni UONGO na hayana uhalisia kwanza sisi na wao hatuwezi kutengeneza kizazi hii ni kutokana na necha yao waliyoumbiwa (moto) na sisi udongo.

Kingine jini mzuri huwa hamvai binadamu hata siku moja jinis mzuri huwa namcha mwenyezi mungu na kuishi maisha ya uchamungu.
😜😜Afadhali hata huyo uliempinga
 
Nimeipenda embu njoo bobo
Japo post ya muda wacha nichangie,kwanza hakuna binadamu kazaliwa ana hormones za kike wala kiume yote ni mapepo majini wachafu ummu subiani,mtoto anapokuwa mdogo hana madhambi malaika humlinda husubiri pale ka baleghe sasa ndo hujipenyeza kwa mtoto,na majini hawa ndio huwatia ashki matamanio teenager haswa ile kuota unafanya mapenzi unachafua shuka haswa kwa wanaume,na haya majinni ya ummu subiani ya na jinsia 2 ya kike na kiume,humpa kijana matamanio kwenye ndoto kama kufanya mapenzi na wanaume wenzie au wanawake wenzie, iwapo hana imani ucha Mungu ndo anapotea, hapa sasa wazazi tuwasomeshe watoto maswala ya imani, dawa yake ikikutokea hali hio ni kukemeaa kuikataa kabisa hali hio inaenda mpaka inaiisha ila ukichukulia poa inaanza ndotoni waona raha mwisho unatamani ufanye kweli na wanakupa mvuto wa kuvutia watu wa kukufanyia au kuwafanyia uchafu huo,majini wana mambo mengi sana wapo kama sie binadamu wapo wema na wabaya na binadamu wengi sana wana majini bila wao kujua sababu majini wanapenda sana binadamu mpaka lifestyle ya kiubinadamu kama kufanya mapenzi kula mavazi etc,na kuna watu wana bahati anaweza kuwa na jinn(tena wala huwezi jua maana hawapandi) ana kipaji cha mpira basi mtu atapiga ball balaa, mtu ana jinn mfanyabiasha atafanya biashara utakuta akifanya mambo mengine hayaendi,kadhalika upishi fashion hata mambo ya dini unakuta jinn mtu wa imani flani mfano muslim jinn anapenda kusali kusoma Quran automatically binadamu atakae kuwa nae atapenda mambo hayo anakataa machafu,wapo pia majini wa wizi mtu anakuwa mwizi hashikiki wapo majini wa umalaya mtu anafanya umalaya balaaa hapo utashangaa mtaani wanamsema binti malaya anabadili wanaume hashikiki wazazi wenyewe wamechoka wanaacha dunia imfunze ni hawajui tu ni roho chafu ina control mind ya mtoto wao sio yeye,yapo majini malevi nbwa yakikuvaa ni kulewa tu pombe huachi,muhimu wewe mwenyewe uikatae hio hali upambane na nafsi yako mwisho shetani hushindwa tu maana Mwenyeezi Mungu haibadili nafsi ya mtu ambae mwenyewe hajaamua kubadilika,unapambana na roho chafu muombe msaada Mungu, pia punyeto ni mapepo maana jinn ana njia 3 za kufanya mapenzi kwa mwanadamu ya kwanza ndotoni ya 2 kwa hisia yaani kwa punyeto ya 3 kupitia mwanadamu kama jinn wa kike anamuingia mwanamke mume anagonga anajua anagonga mkewe kumbe anagonga 2 in 1 kama jinn wa kiume anamuingia mume mke anakata miuno kumbe anamkatia na jinn miuno 😁ndo maana kwa muslim wanaume wanaambiwa wasiingilie wake zao bila dua iwapo mimba ikitunga basi mtoto anakuwa ana DNA za kijinn muda mwingine unaona mtoto mkorofi kuna tabia humuelewi kumbe toto la jinn wengi wana gongewa sana wake zao na majini mpaka wanazalishwa bila wao kujua.

Tuombee watoto na kuwatolea sadaka.
 
Japo post ya muda wacha nichangie,kwanza hakuna binadamu kazaliwa ana hormones za kike wala kiume yote ni mapepo majini wachafu ummu subiani,mtoto anapokuwa mdogo hana madhambi malaika humlinda husubiri pale ka baleghe sasa ndo hujipenyeza kwa mtoto,na majini hawa ndio huwatia ashki matamanio teenager haswa ile kuota unafanya mapenzi unachafua shuka haswa kwa wanaume,na haya majinni ya ummu subiani ya na jinsia 2 ya kike na kiume,humpa kijana matamanio kwenye ndoto kama kufanya mapenzi na wanaume wenzie au wanawake wenzie, iwapo hana imani ucha Mungu ndo anapotea, hapa sasa wazazi tuwasomeshe watoto maswala ya imani, dawa yake ikikutokea hali hio ni kukemeaa kuikataa kabisa hali hio inaenda mpaka inaiisha ila ukichukulia poa inaanza ndotoni waona raha mwisho unatamani ufanye kweli na wanakupa mvuto wa kuvutia watu wa kukufanyia au kuwafanyia uchafu huo,majini wana mambo mengi sana wapo kama sie binadamu wapo wema na wabaya na binadamu wengi sana wana majini bila wao kujua sababu majini wanapenda sana binadamu mpaka lifestyle ya kiubinadamu kama kufanya mapenzi kula mavazi etc,na kuna watu wana bahati anaweza kuwa na jinn(tena wala huwezi jua maana hawapandi) ana kipaji cha mpira basi mtu atapiga ball balaa, mtu ana jinn mfanyabiasha atafanya biashara utakuta akifanya mambo mengine hayaendi,kadhalika upishi fashion hata mambo ya dini unakuta jinn mtu wa imani flani mfano muslim jinn anapenda kusali kusoma Quran automatically binadamu atakae kuwa nae atapenda mambo hayo anakataa machafu,wapo pia majini wa wizi mtu anakuwa mwizi hashikiki wapo majini wa umalaya mtu anafanya umalaya balaaa hapo utashangaa mtaani wanamsema binti malaya anabadili wanaume hashikiki wazazi wenyewe wamechoka wanaacha dunia imfunze ni hawajui tu ni roho chafu ina control mind ya mtoto wao sio yeye,yapo majini malevi nbwa yakikuvaa ni kulewa tu pombe huachi,muhimu wewe mwenyewe uikatae hio hali upambane na nafsi yako mwisho shetani hushindwa tu maana Mwenyeezi Mungu haibadili nafsi ya mtu ambae mwenyewe hajaamua kubadilika,unapambana na roho chafu muombe msaada Mungu, pia punyeto ni mapepo maana jinn ana njia 3 za kufanya mapenzi kwa mwanadamu ya kwanza ndotoni ya 2 kwa hisia yaani kwa punyeto ya 3 kupitia mwanadamu kama jinn wa kike anamuingia mwanamke mume anagonga anajua anagonga mkewe kumbe anagonga 2 in 1 kama jinn wa kiume anamuingia mume mke anakata miuno kumbe anamkatia na jinn miuno [emoji16]ndo maana kwa muslim wanaume wanaambiwa wasiingilie wake zao bila dua iwapo mimba ikitunga basi mtoto anakuwa ana DNA za kijinn muda mwingine unaona mtoto mkorofi kuna tabia humuelewi kumbe toto la jinn wengi wana gongewa sana wake zao na majini mpaka wanazalishwa bila wao kujua.

Tuombee watoto na kuwatolea sadaka.
Kwa mujibu wa maelezo yako ni kua majini wanawatawala binaadam kiasi kwamba kila kipaji ni jini, kila tabia ni jini, mfano wakina Ronaldo na Messi wana majini,

Nyie ndio wale hata mkiumwa Malaria mnakimbilia kujiagua
 
Sijasema kila tabia kipaji ni jinn japo wengi bila wao kujua mpaka utakufa utajiona ni wewe Mie kubishana siwezi sana hIla Google kitu kinaitwa Qareen utapata hint kidogo
 
Qareen is among shayateen, and we know that shayateen are a kind of Jinns.
Every person has his own qareen (satan) since the time of his birth, that keeps leading him to astray, and stays inside him just like blood flows in the entire body.

When a human dies normal death his qareen becomes free because his job is done by the death of the human who he was assigned to. Where he goes after the human dies nobody knows, however when people do black magic rituals in an attempt to summon the soul of the deceased then what they see is not actually that person’s soul but his/her qareen that looks exactly like that person.

When qareen of the deceased person shows up, he has the same looks and voice as the deceased person. That makes people, who summoned, mistakenly think that they are interacting with a soul, i.e. it further leads them to strengthen their false beliefs and encourages them to do more black magic.

Hence, this tells us that qareen not only survives after a person’s death but he can take part in spreading further mischief on earth and can lead people to go astray.

I hope it helps.
 
Back
Top Bottom