Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Unachekesha kweli kwani hapa si ni mtandaoni pia ndio maana ukaleta mambo ya Qareen? Maswali yamekua mazito sasa unataka kukimbilia google, yani mimi nikamtafute ulamaa aniambie jinsi Qareen anavyowafanya watu kua mashoga!

Next time uwe unaangalia wapi pa kuandika upuuzi sio kila mtandao una wajinga wajinga tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nachekaa sanaaa khaaah
Kuna watu wapo serious sana na maisha ya wengine, leo ndio nasikia kila binaadam ana jini linalomfanya awe shoga [emoji23][emoji1787]
 
Ushoga ni roho na ni ajenda kuu ya Shetani duniani Ili kufuta kizazi. Hakuna jambo linalomfurahisha sana shetani kama ushoga.
sidhani kama hata shetani anaufurahia ushoga....nadhani yeye mwenyewe atakuwa anauogopa balaa....
 
Ulijifunzia wapi? Unaweza ku-share hiyo article nasi tafadhali?
Tabia yeyeto mtu yeyeto anaweza akaiacha kama atapata ushauri. Nilikuwa na tabia ya kucheck porno, kujichua. Nilipojifunza kuhusu roho na kujua nini kinakuwepo wakati wa kujichua niliacha. So KILA kitu kinawezekana panapo uamuzi
 
ni kweli
 
eeeh, hii kali, japo umetoa elimu nzuri but eeeh..

ao wame za watu jamani, hadi unatutisha tunaotaka kuolewa, unamuona boyfriend wako na rafki ake kumbe mke mwenzio aaaaaggrr
 
Mkisex unatolea wapi hisia hadi uboo kusimama na kukojoa?
 
Mkisex unatolea wapi hisia hadi uboo kusimama na kukojoa?
kuna mtu kaniambia eti hata hao mashoga huwa wabasimamisha kama wanaume wengine, wachache tu hasa walioregea ndio huwa hawasimamishi, sasa sjui uf is true or not
 
Duh baada ya kusoma sitaki kukulaumu ila nina ushauri kwako, kwakua umesema hata ww haupendi ila huna namna tu basi usifanye mapenzi mkuu yaan usiliwe jikaze.

Tafta namna ya kufanya ili uepuke kufirwa ubaki na gay tu wa kuzaliwa ila usifirwe


Ni hayo
 
Hamnaga mtu anazaliwa gay scientifically proved fact! Ushoga ni tabia na matamanio ya mtu binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…