Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Naomba nitoe angalizo muhimu mtu anazaliwa na genes za character fulani.Lakini mazingira ndo yanafanye zile character zieffect. Unaweza ukazaliwa na IQ kubwa lakini mazingira yako yakawa ya kuwaza leo utakula nini, hivyo ikawa ngumu uwezo wako wa kufikiria mambo makubwa kuonekana au kueffect. Hata ushoga ni kweli sayansi inasema Kuna watu wanazaliwa na hizo genes. Lakini mazingira ya malezi au anapoishi ndo yanadetermine atakuwa gay au sio.
Watu mnafunguka tyuuh.
 
Kuna mmoja katika ule muhimili wa dodoma, yule mzee anatongoza vijana wadogo kupitia agent wake.Insta yake ninkupost vijana wadogo na wanamuita daddy
Sijapata bado,yule alievunjiwa na nyumbani kuonekana na kilainishi vipi?
 
Kuna mmoja katika ule muhimili wa dodoma, yule mzee anatongoza vijana wadogo kupitia agent wake.Insta yake ninkupost vijana wadogo na wanamuita daddy
Akat yule nae analiwa kwan hujui nawee?

Umbea Junction hoyeeeeeeeeh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mmetumwa hapa kuwaandaa watu kisaikolojia ili wakubali kwamba ushoga ni hali ya kawaida na kwamba watu wanazaliwa hivyo.

Mnachofanya ni ushetani, upumbavu na uovu mkubwa sana. Mtalipia kwa gharama kubwa sana katika moto wa milele.

Heri mkimbilie kwa Yesu naye atawapa nguvu kushinda hizo tabia na roho chafu za usodoma.

Punguza povu mkuu….Mimi kinachonichanganya kwa nini una hasira sana au unajihusisha na hayo mapenzi
 
Naomba nitoe angalizo muhimu mtu anazaliwa na genes za character fulani.Lakini mazingira ndo yanafanye zile character zieffect. Unaweza ukazaliwa na IQ kubwa lakini mazingira yako yakawa ya kuwaza leo utakula nini, hivyo ikawa ngumu uwezo wako wa kufikiria mambo makubwa kuonekana au kueffect. Hata ushoga ni kweli sayansi inasema Kuna watu wanazaliwa na hizo genes. Lakini mazingira ya malezi au anapoishi ndo yanadetermine atakuwa gay au sio.
Nimekuelewa sana mkuu. Ni kweli
 
Punguza povu mkuu….Mimi kinachonichanganya kwa nini una hasira sana au unajihusisha na hayo mapenzi
Nyinyi mashetani mkikemewa mnasema anayewakemea ndio amechukua nafasi yenu.

Kuna siku utakumbuka maonyo yangu lakini itakuwa too late.

Njoo kwa Yesu sasa akusamehe dhambi.
 
Sijapata bado,yule alievunjiwa na nyumbani kuonekana na kilainishi vipi?

List ipo ndefu…ikiwekwa humu server za jf zitatikisika….Huu mji ni mzito sana…Hiyo mitaa ya sinza,kimara na mbezi plus kinondoni ni balaa…kuna mtandao huo ukiuwasha unakutana nao mitaa hiyo
 
Bro, hiyo 5 years jipe wewe mwenyewe kwenye familia yako.

Allah aninusuru mimi na kizazi changu juu ya hii laana.
Hili swala si dogo mzee... Unachokifanya ni kufumba macho ili usiku uendelee si sahihi... Let's wake up hili janga lishatuingia tunatakiwa Ku reforms malezi yetu yawe ya kiimani kweli kweli na si maonesho
 
Naomba nitoe angalizo muhimu mtu anazaliwa na genes za character fulani.Lakini mazingira ndo yanafanye zile character zieffect. Unaweza ukazaliwa na IQ kubwa lakini mazingira yako yakawa ya kuwaza leo utakula nini, hivyo ikawa ngumu uwezo wako wa kufikiria mambo makubwa kuonekana au kueffect. Hata ushoga ni kweli sayansi inasema Kuna watu wanazaliwa na hizo genes. Lakini mazingira ya malezi au anapoishi ndo yanadetermine atakuwa gay au sio.
Hakuna mtu anazaliwa akiwa shoga au msagaji. Huu ni uovu tu unaofanywa na shetani kupitia mawakala wake hapa duniani.

Ajenda yao kuu ikiwemo uzi huu ni kuwaandaa watu kisaikolojia ili wakubali kwamba ushoga na usagaji ni mambo mtu anazaliwa nayo.

Waogopeni sana hawa watu.
 
Nyinyi mashetani mkikemewa mnasema anayewakemea ndio amechukua nafasi yenu.

Kuna siku utakumbuka maonyo yangu lakini itakuwa too late.

Njoo kwa Yesu sasa akusamehe dhambi.
Kwa Yesu ni wapi nije saivi?
 
Nyinyi mashetani mkikemewa mnasema anayewakemea ndio amechukua nafasi yenu.

Kuna siku utakumbuka maonyo yangu lakini itakuwa too late.

Njoo kwa Yesu sasa akusamehe dhambi.

Shetani ni wewe mkuu…Acha watu wapewe knowledge wajue watahandle vipi hizi situation kuliko kuficha huku jamii inaangamia
 
Yaani dah, unaishi duniani Kwa ajili ya nn. Kama huwezi acha si Bora ufe tu,mwanaume mwezangu anikojolee? Ningekufa siku hiyo hiyo.
Yaani jamaa sio tu anakojolewa, kwanza anashikwashikwa tako, kisha jamaa anamuingiza mb**; na kumpampu vya kutosha, kabla ya kumkojolea.....Sasa hapo kuna mwanaume kweli?
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
daaaah kuna watu wanapitia magumu woiiiiiih.
Usicheke hii kadhia haina mwenyewe sasa maana hujui Sikh wala saa
Naona mnazidi kuitangaza ajenda yenu kwa kasi.

Hakuna mtu anazaliwa akiwa shoga au msagaji. Upumbavu na uovu katika mazingira hupelekea watu kufanya haya.
Nisome na kunielewa vizuri si support ila nazungumza uhalisia na namna muathirika anaweza epuka
 
Shetani ni wewe mkuu…Acha watu wapewe knowledge wajue watahandle vipi hizi situation kuliko kuficha huku jamii inaangamia
Jamii inaangamia kwasababu ya advertisement kila sehemu. Katuni, tv, movies, series.. ila haitokei kwa bahati mbaya. Watu wako kazini mchana na usiku kueneza hii sumu.

Kama umeangalia trend huko duniani agenda yao ni hiihii ya kuwafanya watu wakubali kwamba ni biological issue. Ukishaamini kwamba hili ni suala la kibaiolojia then utakuwa tolerant kwa hao watu. Wakishakubalika na kuishi kwa uhuru mitaani hapo ndio jamii yote itaangamia.

Utamwambiaje mwanao ushoga ni mbaya wakati hao ni majirani na mnashirikiana kila kitu?

Jamani fungueni macho. Tuwe makini. Kataa hizi ajenda za kuhalalisha ushoga na usagaji.
 
Huu uzi huu uwiiiiiiih, [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom