Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Wacha mie nijifunze hapa, HIV karibuni nimepata boyfreand ambaye kabla yangu alishakua na madem wengi Sana, ila Kwa nilivyomuuliza na kumjua yaan hadumu Sana na wasichana na amezaa watoto wawili Kila mtu na mamaake,na katika story zake ni kuwa wanamcheat,Sasa tangu awe na Mimi jaman sex kwake siyo kipaumbele yaan mnalala mwezi hafanyi kitu hata kunikumbatia Hadi nilazimishe, siku akiamua kukufanya dakika chache Kako*a kitu kinachofanya tunagombana mara Kwa mara japo tukigombana haipiti wiki anaomba msamaha Sana lakini kunifanya Wala je na yeye anaweza kuwa gay? Ni mtu na Kaz yake ya heshima kijana handsome ,
Ni ndefu kiasi ila jitahidi umalize.

Natumaini Wote Mu wazima wa afya, kwa walio wadhaifu basi Mungu awaponye na awatie nguvu tena.

Modes nimeamua kutumia ID tofauti na ambayo huwa natumia kwa sababu za privacy tu sababu ID nayotumia nafahamika personally na baadhi ya watu, kwa hivyo naomba msije ku reveal hata mkijua (the matter of privacy), nataka tu kutoa elimu kiasi kuhusu hili jambo kwa faida ya wote.

Kwanza niwape pole wazazi au familia ambazo wamekua na mmoja wa familia ama mtoto mbae labda ni gay/shoga na wameumizwa na jambo hilo,najua sio rahisi kuli handle, ni fedhea hasa katika jamii zetu, ila napenda kuwaambia msijione labda ni wazazi wabaya, au labda hamjui kulea, is not your fault.

Dhumuni kuu la kuanzisha hii thread si kwa ajili ya kuongelea uzuri au ubaya wake ila ni ili kutoa a simple knowledge ya jambo husika (gay) na ili pia niweze kuwapa mwanga wazazi na watu ambao jambo hili limekua likiwachanganya na kuwahudhunisha na labda jinsi ya kuokoa watoto pia. Kwa maana nimesoma maoni na mada nyingi ambazo huandikwa humu na maybe 80% ni very wrong na si kwa ubaya bali ni kwamba wengi hata hawajui jinsi inavokua na kwa kutokujua inafanya hata wasiweze kujua chanzo, na jinsi ya kuepukana na hilo. Nimeonelea mayb ni vyema kama mtapata kitu kutoka kwa real person who have real experience.

Karibu👇
Wengi wangependa kujua kuhusu mimi, watu wengi wamekua wakijiuliza mtu anakuaje gay, ukiniuliza nimekuaje gay sina jibu kamili kuhusu hilo swali, hata ukiniuliza nilianza lini kuwa gay sitakua na jibu sahihi.

KUHUSU MIMI
Ni kijana, kwa sasa nina 26 years, nimesoma hadi degree, ninafanya kazi nimeajiliwa mahali, sitarajii kuoa soon wala sijawahi kuwaza kuhusu hilo japo mama anaexpect soon nimletee daughter inlaw, hajui kama kijana wake ni gay na wala hajawahi kuhisi, sababu ukiniangalia kwa macho mimi mwanaume kamili, sina girlish behaviour, nina marafiki almost wote ni straight, na wao pia hakuna mtu anajua kua im gay, nina girlfriend pia, napenda kuvaa casual na sitembei kiajabu ajabu niko very normal in my formal life, ila nina boyfriend pia, lakini nina girlfriend pia wakuzugia (yes na hii siifurahii sababu nafanya kuridhisha marafiki na wazazi ili wasihisi chochote na pia sitaki kuwaudhi wala kuwadhalilisha ndugu zangu kwa jambo ambalo najua kabisa jamii yetu haipendi japo ndivyo nilivyo).

Sijawahi kufurahia kua gay hili niweke wazi, na siwezi taka mtu awe, and im not proud of it na siwezi taka mtu wangu wa karibu ajue that im gay, na wala siwezi taka mtu awe gay, ila siwezi kujizuia, ni automatically nimezaliwa hivyo, hakuna mahali nilijifunza au story za vijiweni labda nilifanyiwa vitendo vya ukatili hapana , nachojua ni tangu nikiwa mdogo sijawahi kuwa na hisia na msichana hata kidogo nimejaribu kujifunza sana jinsi gani nihamishe hisia zangu, lakini nimeshindwa, sababu mpaka leo ukiniwekea msichana mrembo sana mbele yangu na mwanaume handsome mbele yangu kitakachotokea ni kuwa mwanaume atateka akili yangu yote, msichana taona tu ni mrembo its fine, hata awe amevua nguo maybe sitaweza hata kumuangalia sababu nitaona is disgusting. Ila yule mwanaume nitakua ni kama vile ambavyo mwanamke akiona mwanaume handsome anavofeel. Natumai umepata picha japo kidogo.
Niliwahi kudhamilia kua straight ila nikashindwa, hisia kwa girls ni sifuri kabisa, natamani ningekua kama wanaume wengine ila nimeshindwa, yani automatically tu, na mahitaji ya mwili yako pale pale.

KABLA NIANDIKE MAMBO MENGINE MENGI, TAFADHARI ZINGATIA HUU USHAURI.

SOMA KWA MAKINI JINSI YA KUEPUSHA WATOTO NA MASWALA HAYA (hapa zaidi kwa wale ambao sio natural born ila wanataka kujaribu)

1- hakuna mzazi au mtu anaweza kuzuia kabisa lisitokee zaidi ya Mungu, hivyo jambo la kwanza kabla ya yote ni kuombea familia yako Mungu awaepusha kizazi chako.

2- Wengi hawapendi kuongea na vijana wao kuhusu masuala ya gender na masuala ya mahusiano na masuala ya sex, hii ni mbaya sana, sababu unampa uwanja mkubwa kijana ajifunze hayo mambo mtaani, wazazi msione aibu kuongea na watoto wenu, siongelei wakiwa wamekua, hapana ila wakiwa wadogo kabisa ongea nao, waambie wewe ni mwanaume na wewe binti, mwambie wewe mwanaume usikubali mtu akufananishe na mwanamke, muelezee yote yanayompasa kutenda kama mwanaume, mwambie mambo ya kuingiliwa sio yako, pia muelekeze kuhusu afya yake, matumizi ya condon, nchi za qwnzetu haya wanafundishwa hata shuleni , ila huku bado ni taboo kuongelea , ongeeni na watoto wenu kuhusu sex na yanayohusu jinsia yao.

3- Usikubali mtu yoyote amfananishe mtoto wako wa kiume na msichana, au kumsifia wewe ni mrembo, mwambie na umfundishe mtoto ako kabisa kua wewe ni wa kiume, wewe sio mrembo, mtu akikuambia hivo manaake anakutukana na anakudhalilisha, mtengenezee mindset mtoto wako ajione yeye ni mwanaume ,jambo lolote linalomfananisha na mwanamke achukulie ni matusi na dharau, nataka kusema tu kua hii mindset game inasaidia sana mtoto kujizuia hata kujaribu mambo furani sababu ameshaweka kwa akili yake kua ni kitu kibaya, na hii itafanya hata kuwa vigumu kushawishika. (nitelezea chini zaidi)

4- Mtoto akiwa mdogo, tafadhari wewe mama, dada, kaka, baba, ukiona anapenda vitu wanavyopenda wasichana, anapenda kujaribu jaribu viatu vya kike, rangi za kucha, sjui midoli ya princes , ama kuiga waschana either wanavotembea au kuongea, usifurahie , hapo kengele ilie kichwani mwako, hapo fanya jitihada zote kumnusuru mtoto katika umri huo mdogo, akipita hapo, basi huezi fanya kitu tena. Kuna watu watasema mbona wangu alikua hivyo na sasa sio gay, nakwambia ni gay ila incloset like me, ila huezi kujua sababu anafanya iwe privacy. Kama huamini, fanya jambo moja, hakiisha una unlock simu yake bila yeye kujua na fatilia emails, texts, whatsapp, browsing history etc, utapata kitu hakika.

Jambo la mwisho ni kufatilia mienendo ya watoto wenu, hapa nimesema kabisa , kama mtoto ni gay atakua gay tu huwezi zuia ila kwa kumtegemea Mungu peke ake, ila angalau ukifanya hayo ya juu , utamuokoa mtoto wako na familia yako kutoka kwenye fedheha na aibu ndogo ndogo na kubwa, sababu ni afadhari awe gay na usijue pia watu wasijue iwe siri yake kuliko ukute mwanao amevaa kama mwanamke anakatiza mitaani na makeups, ama uone watu wakimdhalilisha nitandaoni sababu ni gay, hiyo inaumiza zaidi.

HAYA CHINI NI MAONI YANGU NA EXPERIENCE YANGU NA PIA UFAFANUZI WA BAADHI YA MASWALA PENGINE UNAWEZA KUJIFUNZA KITU NA KIKAKUSAIDIA KUJUA JINSI YA KUHANDLE.

Kuna watu nimeona humu wanacomment kua gay unaweza mtibia hospitalini, kwamba unampeleka gay anaenda kupigwa bomba sababu akiingiliwa anakua anawashwa huko kwenye haja kubwa hivyo akiwashwa anatafta mtu wa kumuingilia, HII STORY SIO UKWELI

Kua gay ni suala la hisia zaidi , wala sio swala la kuwashwa, ni hisia, badala ya mtu kupenda jinsia tofauti anapenda jinsia yake, hii story ya vijiweni itafanya kweli wazazi wahangaike kupeleka mtoto wao akapigwe bomba ili aache kua hivyo na kumbe wanapoteza tu pesa na muda bure, hii story ya kuwashwa sjui hata watu wameitolea wapi.

Nimekua gay tangu niko mdogo, naongelea kihisia yani kupenda same gender, ila mala yangu ya kwanza kusex ilikua wakati nipo na 14 years, miaka hiyo yote hadi nafikia miaka 14 sikuwahi kuwashwa huko, na hata baada ya hiyo first time sijawahi kuwashwa , sababu hisia zinatoka ndani sio huko, ni kama msichana akimpenda mvulana , sijui kama hua anawashwa huko chini, nachojua ni hisia tu, anampenda mtu na anatamni kua nae, pia huko iko hivyo. Hakuna gay anaewashwa huko chini ndio atake kuingiliwa, hivyo hata ukipata mwanao yupo hivyo hio sio solutuon hata kidogo. Watu wanaopigwa bomba ni wale waliokua assulted , na wanatoa zile sparm kwa njia ile ili kuepusha maambukizi yoyote uko kwenye haja kubwa kama fungus au magonjwa mengine kama aliemuingilia alikua na magonjwa, na mtu akiwashwa huko basi ni kwa sababu amepata maambukizi either ya fungus au bacteria , ndio anakua anawashwa thats why anafaa akapigwe bomba, hata wasichana wakibakwa na wakalawitiwa pia hupigwa bomba kuepusha hizo infections.

Suala lingine watu wengi wamecomment ni suala la kusena ati vijana wanajiingiza kwenye ushoga sababu wanapenda maisha mazuri hivyo wanakubali kuingiliwa ili waishi maisha ya starehe na wanajiuza sjui na nini. Huyo anaefanya hivyo ni prostitute tu kama ilivyo kwa straight wanaoamua kujiingiza kwenye ukahaba ili wapate pesa. Nachoweza kusema ni kwamba hakuna mtu anaejibadilisha kua gay, maybe yes hao wa hivyo wako ni kama straight people tu, sio kila msichana anajiuza ila wako wanaojiuza kwa sababu zao, the same kwa hawa gays pia wako wanaojiuza ila wengi pia hawajiuzi wala hawafanyi sababu wanataka pesa ama nini hapana.

Mfano kuhusu mimi, nimetokea familia yenye uchumi mzuri, nimesoma, ninakazi yangu nzuri yenye mshahara mkubwa, nina kila kitu cha muhimu ambacho vijana wengi au watu wengi wangependa kumiliki pia na vyote nimevipata kwa kupambana, na work very hard, namake sure sikati tamaa wala kutegemea favour ama kutarajia kitu kutoka kwa boyfriend, NO, unawezaje sema nimekua gay sababu nataka mteremko sjui maisha mazuri? Hivyo hiyo dhana muachane nayo, wazazi deal na hisia za mtoto, usijefikilia labda hujampatia maisha mazuri ndio kawa hivyo, hapana, tena wengi walitoka familia bora ndio wanakua hivyo, ni sababu wanazaliwa hivyo.

Pia kuna watu wanasema kwamba mtu anakua gay sababu labda aliingiliwa kwa nguvu akiwa mtoto labda aliingiliwa na mjomba ama sjui nani ndio akawa hivyo, hii pia ni uongo, kwa sababu kuna watu waliwahi kulawitiwa wakiwa wadogo au hata wakiwa wakubwa ila hawajawahi kubadilika na kuwa gays na wameendelea kua malijali mpaka sasa japo hilo swala la kulawitiwa lime waaffect psychologically (sio kua gays), hivyo hata mtu akibakwa hawezi kubadilika na kua shoga, akibadilika ujie alikua gay kitambo.


Lakini pia nataka mfahamu jambo moja, kua hili tatizo ni kubwa sana katika jamii yetu (nimetumia neno tatizo sababu linahesabika kama tatizo kwenye jamii), ni kubwa kuliko mnavodhani, watu wanawaangalia hao gays kama kina James delicious wanaojionesha na akiona watoto wake wako sawa anatukana hao wengine, hapana hujajua tatizo lilivyo bado. Sitaki kuongelea sana hao wanaojionesha sababu pia sijawahi kujiassociate nao wala sijawahi kua na rafiki anaejionyesha hivyo sijui sana. Ila fahanu haya kwa leo:-

Taelea hii mifano inayonihusu ili mjue kua hata ndoa haziko salama sana kama watu wanavoamini kwamba mtu akioa hawezi kua gay.

(1) Wanawake mlioko kwenye ndoa ombeeni ndoa zenu sana. Siwezi sema ni kwa % ngapi ila wanaume wengi ni bisexual, au bisexual curious, mimi binafsi nimewahi kua kwenye relationship na mume wa mtu sio mala moja. Ngoja niongelee hii sababu nimekua napatana sana na mtu ambae ni mume wa mtu mala nyingi, moja ambayo ilikua very serious relationship pia alikua mume wa mtu, from very happy family, alikua sometimes wanakuja wote na mke wake office ninapofanya kazi , hii ilikua inanikasirisha sana , hadi leo najiona mwenye makosa sana sababu mke wa jamaa alikua ananipenda sana na kuniheshimu bila kujua tunashare. Ila jamaa hakutaka kuniacha, alinipenda sana ila ilikua kwa siri sana sababu ni mheshimiwa pia, hivyo hata dating zetu ilikua tunasafiri kwenda mkoa mwingine ama hata kenya au nchi nyingine kwa ajili ya privacy. (alikua mtu wa kusafiri sana hivyo tulisafiri pamoja), hata sasa hivi bado yuko na mkewe na watoto family iko poa ila mkewe HAJAWAHI KUJUA HILI HADI LEO.


Nikawa kwenye uhusiano na mtu mwingine , huyu tulianza relationship kitambo pia, alikua hajaoa, funny thing ni hadi akanitambulisha kwa demu wake kama rafiki, girlfriend akaamini , hivyo hata akinikuta natumia gari la jamaa anajua ni shemeji, akikuta nimelala ndani ya nyumba anajua ni shemeji tu hadi harusi nilishiriki pale mlimani city sababu jamaa alitaka lazima niwepo, na kabla ya harusi yani siku moja kabla, alikuja kwangu tukasex kama kuniaga na kesho yake akafunga ndoa, hata alipooa japo tulikubaliana kuachana ila hatukuachana, hadi sasa ni happy family ila mke wake HAJAWAHI KUJUA.

Story ni nyingi ila wacha niishie hizo sababu zingine zitareveal kirahisi ID yangu maybe na za hao watu na nisingependa iwe hivyo, ila walioko kwenye ndoa wengi ni bisexual hasa hizi modern marriages. Watu sasa hivi wanaoa sababu tu jamii inataka waoe thats why hali ni mbaya, hata mimi mother akinipush sana nioe nitaoa , na cycle itaendelea like that, wapo vijana na watu wazima wengi ni gays ila huezi jua hata siku moja, kuna mtu tulikutana tu kwenye dating site moja ya huko nnje sababu hutumia zaidi dating site za kulipia kwa ajili ya privacy, siku tunakutana kwa mala ya kwanza sikuamini kama ni yeye, ni mtu maarufu sana na anaeheshimika sana ( ni kijana ) huko siasani. Pia mwingine huko kwenye music industry na nyimbo zake zinapendwa sana , ni za maadili.

Nataka kusema kua tatizo lipo more than you can imagine na sio rahisi kumjua mtu, hivyo kuliko kunyooshea vidole tu bila solution , ni vyema kuangalia ni kwa namna gani mtu anaweza kuzuia yasitokee kwake na kwa nwingine.

(2) Kuna watu hutongozwa na hawa gays kwenye mitandao, wala usijione unamkosi au labda umefanana na gays, hapana wewe ni straight. Kuna watu hulalamika kua ametongozwa na gay facebook au kwenye social medias, ukimuangalia huyo mtu utagundua kua ni very handsome na attractive , na gays wengi hudate na watu attractive zaidi , huwa hawafuati watu ambao wana sura personal, ndio sababu msione hao wanaotongozwa na gays huko labda wananyota mbaya au nao wanaonekana gays , hapana ila ni sababu wako attractive, tena gays wanapenda watu ambao sio gays, yani hata mimi watu niliodate nao naweza sema ni straight. Hivyo kama wewe ni handsome expect tu siku moja inaweza kukutokea na isikufanye uwaze sana na ujishushe thamani, mwambie tu im not gay then block that person. Hivyo wenye vijana ambao ni handsome wako attractive, msihisi kua labda vijana wenu ni gays hapana, ila tu nuombe Mungu awaepushe kufuatwa na gay, sababu ninachoweza kusema gays ni watu ambao wako na ushawishi mkubwa sana, unawesa hata kusex nae na mkimaliza ndio ukajiuliza imekuaje hadi ukafanya vile na unakua umechelewa tayari.

(3) Wanaume wengi ni curious, yani wameumbwa kutaka kujaribu vitu, hivyo imekua rahisi sana kushawishika, hata hawa ambao wako humu wanaongea kwa hasira na kufoka kuhusu gays tena hao ndio rahisi sana kuwashawishi, hasa wanaokunywa pombe, nina mshikaji wangu mmoja ambae ni gay, humuogopa sana sababu ana huo ujasiri wakutongoza atraight na wanaingia box, alishawahi kumtongoza straight guy akiwa na demu wake, jamaa alishindwa amfanye nini , girlfriend wake akacheka sanaaa wakaondoka. Ila hakukata tamaa na alimpata jamaa one day baada ya miezi mingi, hadi leo najiuliza sana.

La mwisho ni hili, watu mnapinga sana haya mambo ya NGO's za kusaidiwa hawa gays, ila hilo jambo lina faida sana hamjui tu, sio kwao tu kwa kila mmoja wenu, hata wewe straight ambae hauna mtoto gay, sababu hili jambo ni mzunguko. Gays ni watu ambao wako kwenye risk kubwa ya kupata maambukizi mbalimbali hasa HIV, Especially kwa wale ambao hawana elimu ya kutosha , Hizo NGO's zinasaidia kuwapa elimu na kuwapa dawa mbalimbali za kuzuia wasipatwe na magonjwa au kuambukizwa magonjwa , inawapa huduma muhimu hata kama wanaumwa ili kuzuia wasiambukize wengine, na hii ni muhimu sana, sababu hili la magonjwa linakuja kukuathili hadi wewe straight huko ambae hata huhusiki,.mzunguko uko hivi👇

gay na gay wanasex, mmoja anamshawishi wasitumie condom, bila kujua anamuambikiza mwenzake let say HIV, huyo mmoja anaenda tena kusex na mwingine, anamuambukiza pia, huyo mwingine ni straight ila curious , anenda kusex na gay anaambukizwa, nae anaenda kumuambukiza girlfriend wake, ambae huyo girlfriend ana mchepuko pia ambae ni mume wa mtu, nae anaambukizwa , nae anaenda kumuambukiza mke wake nyumbani, hatimae unafikiwa.
Au huyo gay alieambukizwa, anamshawishi kijana wako (vijana wengi straight wanashawishika kirahisi sababu ya kutaka kujaribu kuona inakuaje), kijana wako anasex nae anaambukizwa, nae anamuambikiza girlfriend wake na cycle inaendelea, ni hatari kwa taifa.

Serikali ruhusuni hizo NGO's kuokoa taifa, nawaambia ukweli gays wako wengi sana , na wale ambao ni uneducated au wanaojiuza wengi wanamagonjwa na hawapati msaada hata huko hospitali za kawaida, huko Kenya wameruhusu NGO's na zinasaidia sana , wako mpaka na special hospitals , psychologists ambao wanawasaidia pia kuishi normal na wale ambao wameshawishiwa kujaribu kuwafanya waache. NGO's haziko kwa ajili ya kuwamotivate , hapana, ziko kwa ajili ya kuzuia usambaaji wa magonjwa.

Naomba niishie hapa , kama kuna swali lolote uliza kwenye comment nitakujibu, tupo kujifunza na kusaidia kupunguza hili jambo, hivyo tafadhari tusitumie kugha za kuuudhi sana na nimejaribu kuelezea kidogo ili mpate kujua naongelea nini. Karibuni.
 
Hahaha nilikutana nae sehemu ambayo hatungeez kufanya ilimaradi tu, akanielekeza kuna mahali ubungo external ipo bar ina guest hata tukienda hawatuulizi mana ipo kwa ajili ya mambo hayo hasa usiku hadi watu wenye heshima zao
Bar gan tena
 
Umeeleza vizuri sana. Watu watakutukana ila ukweli utabaki kuwa ukweli. Chukueni huo ushauri aliotoa mleta Uzi.

Tatizo hili kwenye jamii yetu ni kubwa kuliko mnavyolisoma hapa. Na linazidi kuwa baya zaidi kutokana na jamii zetu kutotafuta namna nzuri ya kupambana nalo.

Tatizo limezidi zaidi baada ya WASAGAJI nao kuhamia kwenye kufanya mapenzi na MASHOGA. Ikumbukwe wote Hawa jamii haiwakubali. Sasa wamejitengenezea himaya yao.

Mapenzi yanayofanyika katika makundi haya mawili ni ya hisia Kali sana. Hakuna anayeshawishiwa akakubali kuingia Huko akatoka kirahisi. Kwa yanavyofanywa kwa Siri, Nina uhakika hakuna familia Ambayo haina mtoto ambaye, kama sio shoga atakuwa msagaji. Tukaneni ila ukweli ndio huo.
Kama we ni shoga usilazmishe muwe wengi
 
Ushoga jamii inatambua kama ni unnatural thing,
Sasa ukipima natural na unnatural things ni vitu gani? unakuja kupata mitazamo mbalimbali

Vitu ambavyo ni natural ni vile ambavyo vinaenda sambamba na matakwa ya Mungu,kama vile Me kuoa Ke ni sawa sababu
Mungu aliumba Mwanamke na mwanamme washiriki tendo hilo,mwanaume na mwanaume wakishiriki si sawa -hii ni mitazamo ya kidini
Na vitu ambavyo ni Unnatural ni vitu ambavyo vipo kinyume na matakwa ya Mungu

Lakini ukiacha mitazamo ya kidini na KiMungu,hakuna kitu natural au unnatural,miaka mingi iliopita binadamu tulikua tunatembea na miguu minne baadae tukaja kutembea na miguu miwili,je ilikua natural kutembea na miguu minne? Je na sasa sio natural tena kutembea na miguu miwili?

Viungo vya mwili vinabadirika kufuatana mahitaji ya muda huo mfano unatumia mdomo kupitisha chakula na hiyo ni natural job ya mdomo,lakini unaweza kutumia mdomo kukiss ,kufanya blow job au kutolea mwiba uliozama kwenye mkono je kufanya ivyo unafanya tendo ambalo ni unnatural?

Hivyo ivyo katika kutumia tundu la haja kubwa kutafuta sexual pressure badala ya kulitumia tu katika kutolea uchafu mwili.

Hitimisho
Viungo hubadilika matumizi kutokana na mahitaji ya muda huo.viungo havipo kwa ajili ya tendo moja pekee,wapo wanaotumia miguu kupika,kuosha au kulia chakula je kufanya ivyo ni kosa?
Utajuaje kama kitu ni natural au sio natural???
Hakuna mtoto ambae ni shoga hayo ni maneno yenu tu kujitia faraja
Maana ya natural ni kuwa vitu vikiishi with complete isolation hivyo vity vitajirudi tu, ambavyo sio natura havitajionesha,
Je!, Ungekuwa mtoto kabisa mchanga ukaishi kisiwan mbal kabisa na watu tangu utoton ungekuwa shoga??, Jibu ni hapana
Ko msijitetee
 
Umeeleza vizuri sana. Watu watakutukana ila ukweli utabaki kuwa ukweli. Chukueni huo ushauri aliotoa mleta Uzi.

Tatizo hili kwenye jamii yetu ni kubwa kuliko mnavyolisoma hapa. Na linazidi kuwa baya zaidi kutokana na jamii zetu kutotafuta namna nzuri ya kupambana nalo.

Tatizo limezidi zaidi baada ya WASAGAJI nao kuhamia kwenye kufanya mapenzi na MASHOGA. Ikumbukwe wote Hawa jamii haiwakubali. Sasa wamejitengenezea himaya yao.

Mapenzi yanayofanyika katika makundi haya mawili ni ya hisia Kali sana. Hakuna anayeshawishiwa akakubali kuingia Huko akatoka kirahisi. Kwa yanavyofanywa kwa Siri, Nina uhakika hakuna familia Ambayo haina mtoto ambaye, kama sio shoga atakuwa msagaji. Tukaneni ila ukweli ndio huo.
Dah
 
Unajua nini nilikua nahis mume wangu ni shoga (tumeachana Sasa) kwasabu nilikua nikisafiri huku nyuma analeta rafiki yake wa kiume wanalala pamoja yaan nikimpigia simu pengine usiku nimefika safar yangu anakwambia nipo hapa na fulan analala hapa khaa halafu mi nikiwepo hao marafiki wa kulala siwaoni mpaka nikaanza kuhis vibaya, baadae miaka mingine akaanza kupenda nimnyonye mku*u na namuingiza kidole Cha mwisho lakini sikushtuka Sana kwasabu wanawake tunaambizanaga wanaume wanapenda kuchezewa mikund* lakini siyo mashoga, naomba uelewa wako kwwnye hili
Analiwa huyo
 
Sijui dhamira yako ni nini ila nimeona contradiction nyingi sana kwenye uzi wako.

+Umesema hakuna mtu anayefahamu kuwa wewe ni gay, lakini mbele umeonesha mahusiano yako na watu tofauti,na wengine umeshaachana nao,unauhakika gani kama siri haijavuja?

- Mwanzoni ulisema huna mpango wa kuoa,lakini huku mwishoni umeonesha shinikizo la mama yako linaweza kukufanya uoe.

- Mwanzoni umeonesha "hujawahi" kufurahia kuwa gay,lakini kadri uzi ulivyozidi kwenda,matendo yako yanaonesha mambo ni tofauti..(mfano kupenda mume wa mtu mpaka kumuonea wivu mkewe,nk)

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile ap

Sijui dhamira yako ni nini ila nimeona contradiction nyingi sana kwenye uzi wako.

+Umesema hakuna mtu anayefahamu kuwa wewe ni gay, lakini mbele umeonesha mahusiano yako na watu tofauti,na wengine umeshaachana nao,unauhakika gani kama siri haijavuja?

- Mwanzoni ulisema huna mpango wa kuoa,lakini huku mwishoni umeonesha shinikizo la mama yako linaweza kukufanya uoe.

- Mwanzoni umeonesha "hujawahi" kufurahia kuwa gay,lakini kadri uzi ulivyozidi kwenda,matendo yako yanaonesha mambo ni tofauti..(mfano kupenda mume wa mtu mpaka kumuonea wivu mkewe,nk)

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Hata mm mkuu nimeshindwa kumuelrwa hapo, eti watu hawamjui wakt kaliwa mara nyng, hajui hakuna siri duniani.
 
Hiii ngoma imekopiwa kama ilivyo humu kwenda mjini facebook dah
 
Dahhhhhhh!! Asante sana kwa ushauri mkuu mungu akusaidie uepukane nahio hali...
 
Tabia yeyeto mtu yeyeto anaweza akaiacha kama atapata ushauri. Nilikuwa na tabia ya kucheck porno, kujichua. Nilipojifunza kuhusu roho na kujua nini kinakuwepo wakati wa kujichua niliacha. So KILA kitu kinawezekana panapo uamuzi
Oya hapo kwenye kucheck porno hapo hebu nipe ushauri maana nishajaribu kutumia kiswaswadu ili nisicheck lakini wapi nikagundua hata kiswaswadu ni smartphone iliyochangamka
 
HV mkuu unakafanikiwa lbda kutembea na mwanasiasa mfno mwigulu au bashe au heche au zito labda sas mfno na wew ukawaomba uwachakate je watakubali
Umeshawai muomba yule anaekuchakata nae umchakate au Ni wee tu unachakatwa muda wote
Sio vema mkuu kutaja majina ya watu tena ukiwahusisha na matendo kama hayo.
 
Hii Mada inafuatiliwa na wadau wengi kwakuwa ni very sensitive ktk mustakabari wa ustawi wa jamii yetu ya sasa.
Liko pengo ambalo wanaopigia upatu maswala ya Ushoga hawalisemi.

Kuhusu Madhara ya Ushoga.
Mwanaume Shoga
Anakutana na hatari kama.
Magonjwa ya Kansa, Bawasiri, Kulegea kwa njia ya kutoa uchafu na mengine mengi.

Mwanaume Shoga hana habari ya kuoa na kuzaa watoto wa kujenga Taifa la kesho.

Mwanaume Shoga anakimbia majukumu ya Wanaume katika kujenga nchi na kujifanya ni Mwanamke.

Hebu sasa mjaribu kujadili athari za Ushoga katika Taifa lenye nia ya kujenga jamii salama.

Kudai kuhalarishwa kutambuliwa kwa lengo tu la kukidhi matamanio ya mtu mmoja mmoja ya hisia haitoshi kupitisha haki za Mashoga.

Wekeni hapa Faida na Hasara za Ushoga katika Jamii ya sasa ili zipimwe.

@Curturegirl, cocastic,
Leteni majibu hapa.
 
Primary nilisomaga na washkaji fulani, Yan mabest wao( marafiki wa karibu) 99% walikuwa girls, hata swaga zao zimekaa kikikekike. Bora hao kuna jamaa mmoja nilikuwa namuona church na nikiwa stendi naenda shule, alikuwa akitembea lazima ugeuke, mwendo na swaga za kimiss kabisa. Nakumbuka pia o level shule fulan kongwe dsm, Kuna wajamaa walitolewa mbele wamenyoa hovyo, basi Kati ya waliotoka Kuna jamaa jinsi alivyokuwa amesimama pale mbele, ilikuwa inatuachia maswali mbona kama sio mwenzetu huyu?, Baadaye tukaja kujua shoga, baada ya kuwa tushamjua siku za mabash shuleni utakuta anawapiga madenda, anawakumbatia, anawashikashika mademu wa shule jirani mbele yetu Yani kama Kuna kitu anataka afosi atuoneshe, si tukawa tunaelewa anataka kujisafisha. Point yangu na malalamiko yangu yaende Kwa wazazi au walezi, inakuaje unakua haumjui mtoto wako kama ana tabia za kitofauti, yani mtaani na mashuleni watu wanaona kabisa Hana basics za mtoto wa kiume alafu mzazi hauhisi chochote, seriously??
 
Well said
Kuna mahali nilikuta mtu mmoja mweusi(black America) akijieleza kwa ujasiri kuwa nafsi yake na personality yake ni ya mtu mweupe kwaiyo yeye sio black America wala sio mweusi kama ngozi yake ilivo baada ya kutafakari nikajua kuna tatizo sehemu kwenye ubongo wa mtu yoyote anajikana base on maumbili yake na muonekane na kujiona ni aina tofauti,mfano mingi ni hawa watu(gays) na (lesbians) kujiona wanawake nadhani wanaitaji mental help kuna shida mahali kwenye upande wa kujitambua.
 
Wacha mie nijifunze hapa, HIV karibuni nimepata boyfreand ambaye kabla yangu alishakua na madem wengi Sana, ila Kwa nilivyomuuliza na kumjua yaan hadumu Sana na wasichana na amezaa watoto wawili Kila mtu na mamaake,na katika story zake ni kuwa wanamcheat,Sasa tangu awe na Mimi jaman sex kwake siyo kipaumbele yaan mnalala mwezi hafanyi kitu hata kunikumbatia Hadi nilazimishe, siku akiamua kukufanya dakika chache Kako*a kitu kinachofanya tunagombana mara Kwa mara japo tukigombana haipiti wiki anaomba msamaha Sana lakini kunifanya Wala je na yeye anaweza kuwa gay? Ni mtu na Kaz yake ya heshima kijana handsome ,
Mabaro baro wengi mashoga tu, Jux, Hemed PhD, Gerry wa Rhymes, Nedy Music e.t.c
 
Back
Top Bottom