mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Atajua yeye na Mungu wakeMuokoeni mwenzenu analeft taratibu jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atajua yeye na Mungu wakeMuokoeni mwenzenu analeft taratibu jamani
Kwa hio pepo lake hawezi enda kwa nabii yoyote au kanisan normal Hadi hizo dua zenu
Ushasikia mkristo anamiliki jiniWachungaji watamkula ama kumuongezea mengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, uwiiiiiiihNasikia huwa zinatabia ya kuoza , Kisha zinatengeneza bacteria ambao wataanza kukuwasha kiasi kwamba utajitaji kunio lisilo na mikono Wala mabega
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na atawapata wengi mnoooo.Una pesa na una kazi nzuri....
Okay, wahusika wakikusoma watakutafuta.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si unataka wanaume au?
Nilitaka nishangae hii mada nisitajweee, wee si ni Doctor?? Ndo utoe Elimu na msaada. Khaaaahmtaalamu wa homoni cocastic unalolote la kumshauri maana naona anatupiwa vijembe tu huku.
Kama tatizo ulilokua nalo ni la ki-hormone kazi unayo huwez shindana na mwili ni suala la when utaanza kuzibua mitaro, atakayekusaidia ni Mungu pekee kupitia maombi hakuna sehemu utakayopata msaada tofauti na kwa MunguMpaka ninafikia hapa nimeshapambana sana kivyangu vyangu
Mbona hasemi kama kafanya jitihada za kufanya maombi mbele za mungu wake amnusuru na huyo pepo mbaya ??? Ko kiundan kanataka kuwa shoga . Huwez taka msaada kwa binadam wakat muumba huja mweleza shida yako ...vijana tulinde tunu zetu kwa hali yoyote ile . Dah ...mpaka hasira yaniKujiendekeza tu. Mwanaume kumtamani mwanaume mwenzio hiyo ni dalili ya ushoga.
Wengi mnaathiriwa na ulaji mbovu matokeo yake mnashindwa kuwatomba vilivyo wanawake hali inayopelekea kusingizia kuwa mna hormone imbalance kati ya za kike na kiume.
Kwa jamii yetu ya Kitanzania hakuna wakati ambao ushoga na usagaji vitakuja kukubaliwa.
Hakuna jambo linaumiza nafsi kama kuwa na mtoto halafu akawa shoga au msagaji ni very painful na utatamani usingekuwa naye.
Badilisha style yako ya ulaji. Acha Kula chipsi na bites kama vile biscuits. Kula sana vyakula vya kuupa mwili wako nguvu kama mbogamboga na ugali kwa wingi.
Acha kujilegeza legeza kama mwanamke. Mwanaume unatakiwa kuwa mkomavu kwa kila kitu.
Lakini kuna wengine mmeamua kuwa hivyo kwa lengo la kukwepa majukumu hasa ya kifamilia. Kama hauna kasoro oa mwanamke uzae naye watoto utunze familia yako.
Ni aibu sana kujiingiza kwenye ushoga / usagaji kwa kisingizio Cha umeumbwa hivyo.
MUNGU HAKOSEI
Mkuu rudi kwenye imani yako. Fanya toba uache huo ushetaniHabarini za humu wadau,
....Tafadhali mnsaidie nisije nikaingia kwenye ushoga au tabia mbaya ambazo sio nzuri, sina wa kumueleza hii kitu hata rafiki zangu wakaribu naona kama nazingua.
Asee ushoga uoHabarini za humu wadau,
Mimi ni kijana wa miaka 26, mkazi wa jijini Dar es Salaam. Nina kitu nime-observe katika maisha yangu ambacho kinanipa huzuni kabisa na sina amani kwa kweli. Nina pesa na nina kazi ila hali yangu ya kimahusiano siielewi kabisa.
Ninaomba ushauri au msaada ili kuninusuru kabisa katika hili janga zito maana ni aibu na pia si sawa kabisa najihisi ni mkosefu sana.
Kiufupi nimekuwa ninavutiwa sana na vijana wa kiume tofauti na wa kike kiasi kwamba ninaweza nikawa nina demu mkali lakini akipita boy mwenye sura nzuri au smart lazima nimuangalie na pia sipo kama vijana wengine kuvutiwa na makalio makubwa au mguu wa demu mimi ninapenda tu sana sura.
Nimefikia humu kuandika hivi kwa sababu nimeona ni too much na hali inazidi just imagine juzi nilikuwa kiwanja fulani kula bata ikatokea kumnotice kijana flani nilifanya hadi juhudi za kuchukua namba yake which is very very wrong.
Tafadhali mnsaidie nisije nikaingia kwenye ushoga au tabia mbaya ambazo sio nzuri, sina wa kumueleza hii kitu hata rafiki zangu wakaribu naona kama nazingua.
Ulitaka chukua namba ya mwanaume Uko kwenye starehe Ili iweje ndio hoja ya jamaa apo juu. Umfanye au akufanye ?? Maana umeanza kwa kusema unapenda sura nzur za watanashat sasa swali Ili iweje?? Unapata hisia gani kati za izo mbili tajwa apo juu?Umesoma vizuri nilichokiandika na umekielewa? Tafadhali rudia tena kusoma uelewe ndo ukoment
Vyakula havina uhusiano wa mtu kuwa shogaNaungana na wewe hasa hapo kwenye mfumo wa ulaji. Wengi hawajastikia agenda ya wazee wa NWO.
Hisia zangu zinanilipelekea kuhisi na kuamini ya kuwa ulaji wa vyakula vya viwandani(Processed foods), GMO etc..huvuruga sana homoni za mlaji.
Imagine mtoto mdogo anaanza kula mavyakula ya Supermarket, KFC, etc hawezi baki salama kabisa...