Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu inaonekana una hasira sana na hii jamii ya hawa watu
Hawa watu ni wapuuzi tu hawana lolote la maana la kupakuliwa kinyesi.

Kujiendekeza tu na kutafuta kichaka Cha kutaka jamii iwaonee huruma kwa uchafu wao.

Hebu pata taswira una mtoto wa kiume halafu anakuwa shoga ,maumivu yake hayaelezeki kiasi kwamba utatamani asingezaliwa.

Jamii haiwataki, Mungu hapendi na Shetani anawakataa....ovyo kweli hao watu.
 
Mbona hasemi kama kafanya jitihada za kufanya maombi mbele za mungu wake amnusuru na huyo pepo mbaya ??? Ko kiundan kanataka kuwa shoga . Huwez taka msaada kwa binadam wakat muumba huja mweleza shida yako ...vijana tulinde tunu zetu kwa hali yoyote ile . Dah ...mpaka hasira yani
Huyo ni shoga mzoefu sema nafsi yake inamsuta anatafuta namna ya kufarijiwa.

Ujue uumbaji wa Mungu ni wa ajabu sana. Kila wakati unapotaka kufanya jambo ambalo Mungu hapendi ni lazima moyo wako ukupe alarm kukualarti kuwa hili unalotaka kulifanya Mungu hapendi. Tatizo letu binadamu huwa tunaamua kukaza tu hivohivo matokeo yake mbeleni tunaanza kujutia kama huyo jamaa anavyohaha kutafuta namna ya kushauriwa aache huo mchezo wake wa kufilwa
 
Nina wasi wasi sasa jamii forums nayo ni ya mashoga, kwanini users na thread kama hizi hawazifuti??
Mkuu hata mm nimeligundua hilo jambo, haiwezekani nyuzi za mambo ya ushoga ziachwe zikishamiri kiasi hiki..labda ndugu yetu Maxence Melo kuna fungu analipata kutoka huko kwa wazee wa upinde

Inasikitisha sana...
 
Hawa watu ni wapuuzi tu hawana lolote la maana la kupakuliwa kinyesi.

Kujiendekeza tu na kutafuta kichaka Cha kutaka jamii iwaonee huruma kwa uchafu wao.

Hebu pata taswira una mtoto wa kiume halafu anakuwa shoga ,maumivu yake hayaelezeki kiasi kwamba utatamani asingezaliwa.

Jamii haiwataki, Mungu hapendi na Shetani anawakataa....ovyo kweli hao watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unavyo povukwa wee baba leo jaman khaaaah!!!
Ndo ungekua unampa njia za kutoka kwenye ushoga, sasa hapa una mdhihaki ndo inasaidia nn? Khaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mdogo wangu wa kiume ,Ana miaka 8, Ana tabia za kike, anachezea midoli ya kike , anaongea kwa kupandisha macho na kushusha, ananyanyua vidole vitatu juu akiwa anaongea , anapenda kujiangalia kwenye kioo kwa mda mrefu huku akichezesha midomo yake, anatembea huku Ana cat walk , akishika simu anaingia Snapchat kujirecord video zinazomremba sura. Mungu amsaidie arudi kuwa sawa.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hata mm nimeligundua hilo jambo, haiwezekani nyuzi za mambo ya ushoga ziachwe zikishamiri kiasi hiki..labda ndugu yetu Maxence Melo kuna fungu analipata kutoka huko kwa wazee wa upinde

Inasikitisha sana...
Hata Taifa lako linapata, huoni kutwaaa kwenda huko kuomba mikopooo na misaada, na badoooo iko siku mtashangaa mnaambiwa ushoga ni halali. Mtatafuta Pa kujificha.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mdogo wangu wa kiume ,Ana miaka 8, Ana tabia za kike, anachezea midoli ya kike , anaongea kwa kupandisha macho na kushusha, ananyanyua vidole vitatu juu akiwa anaongea , anapenda kujiangalia kwenye kioo kwa mda mrefu huku akichezesha midomo yake, anatembea huku Ana cat walk , akishika simu anaingia Snapchat kujirecord video zinazomremba sura. Mungu amsaidie arudi kuwa sawa.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Ameanza akiwa na umri gani? Naomba nkufundshee jinsi ya kumsaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mdogo wangu wa kiume ,Ana miaka 8, Ana tabia za kike, anachezea midoli ya kike , anaongea kwa kupandisha macho na kushusha, ananyanyua vidole vitatu juu akiwa anaongea , anapenda kujiangalia kwenye kioo kwa mda mrefu huku akichezesha midomo yake, anatembea huku Ana cat walk , akishika simu anaingia Snapchat kujirecord video zinazomremba sura. Mungu amsaidie arudi kuwa sawa.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Mh iyo dalili mbaya anza kupambana nae mapema.
 
Hata Taifa lako linapata, huoni kutwaaa kwenda huko kuomba mikopooo na misaada, na badoooo iko siku mtashangaa mnaambiwa ushoga ni halali. Mtatafuta Pa kujificha.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yote uliyosema ni kweli yatatokea..

Ila nirudi kwako, binafsi hujawahi kutamani kuacha hii tabia ya ushoga? Umeshawahi kupata msaada wowote ili uachane na hii tabia mbaya na ovu machoni pa watu na Mungu pia?
 
Mkuu fanya mazoez binafsi natafut demu gonga kila mara

Epuk kujihusisha na mazingra hayo
Ebu angalia comments zao zilivyo negative,sio kwamba ninapenda hiyo hali ni kwamba just imetokea hivyo.Nilichotaka hapa ni msaada wapi nianzie ila watu wanapewa kejeli humu
 
Tuongee na watoto kwa uwazi!
IMG-20221203-WA0011.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unavyo povukwa wee baba leo jaman khaaaah!!!
Ndo ungekua unampa njia za kutoka kwenye ushoga, sasa hapa una mdhihaki ndo inasaidia nn? Khaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuacha ushoga ni suala la maamuzi yake yeye mwenyewe Wala si vinginevyo.

Anajua sana kwamba anachokifanya si sawa na ndio sababu ameamua kuandika hapa. Nafsi inamsuta na anaugulia moyoni kwa kuona aibu kwa mwanaume kutoa mkunddu wake afilwe ni kitendo Cha aibu sana ndio sababu mashoga walio wengi huwa inafika wakati wanajutia sana hiyo tabia yao chafu.

Kujiendekeza tu hakuna hata la maana na hata akiamua kufilwa hadharani Wala hakuna atakayemsapoti zaidi ya kuonekana kituko mbele ya jamii. Halafu kinachomuumiza zaidi hadi anatafuta ushauri ni ukweli kwamba Mungu hapendi na Shetani hataki huo ufilwaji wake.

Ni tabia mbaya halafu chafu lakini haifai. Hakuna wakati jamii itakubali hiyo hali. Chukulia mfano wewe uzae watoto wako wa kiume halafu waje kuwa mashoga ,nafsi yako itasononeka sana kwakuwa hiyo sio sawa na watakuwa wamekukosea heshima sana sio wewe tu kama mzazi wao lakini ndugu na jamaa hata jamii kwa ujumla.

Ushoga sio kitu Cha fahari, haifai kujivunia ni uchafu usio mfano na mashoga wanalijua hilo ndio sababu wengi wao hawajiweki wazi kwa kuwa wanajua sana kuwa hilo sio jambo la maana kwao wao wenyewe na kwa wengine.

Ni suala la kuamua kuacha tu Wala si vinginevyo
 
Kujiendekeza tu. Mwanaume kumtamani mwanaume mwenzio hiyo ni dalili ya ushoga.

Wengi mnaathiriwa na ulaji mbovu matokeo yake mnashindwa kuwatomba vilivyo wanawake hali inayopelekea kusingizia kuwa mna hormone imbalance kati ya za kike na kiume.

Kwa jamii yetu ya Kitanzania hakuna wakati ambao ushoga na usagaji vitakuja kukubaliwa.

Hakuna jambo linaumiza nafsi kama kuwa na mtoto halafu akawa shoga au msagaji ni very painful na utatamani usingekuwa naye.

Badilisha style yako ya ulaji. Acha Kula chipsi na bites kama vile biscuits. Kula sana vyakula vya kuupa mwili wako nguvu kama mbogamboga na ugali kwa wingi.

Acha kujilegeza legeza kama mwanamke. Mwanaume unatakiwa kuwa mkomavu kwa kila kitu.

Lakini kuna wengine mmeamua kuwa hivyo kwa lengo la kukwepa majukumu hasa ya kifamilia. Kama hauna kasoro oa mwanamke uzae naye watoto utunze familia yako.

Ni aibu sana kujiingiza kwenye ushoga / usagaji kwa kisingizio Cha umeumbwa hivyo.

MUNGU HAKOSEI
Sahihi Mungu hakosei

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Swala lako ni dogo hizo ni hormonal imbalance katibiwe hapo Muhimbili.
 
Back
Top Bottom