Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,737
ndo pazuri pa kuanzia hapo
we ni ME au KE?
we ni ME au KE?
Mambo wanaJF nahitaji marafiki wakubadilishana nao mawazo Im so lonely
u lonely unatoka wapi wakati JF watu hawalali, ukaribu ukaribu matokeo uwa siyo...ohooo sorry kumbe si wewe unayetafuta rafikibora umemwambia mie nikiwaga lonely nikija humu
Jf kiroho burudani so lazima mkutane sijui wapi mbadilishane mawazo
hum hum tu mambo yanaenda..........
wewe F/M?
swali
je unaimba kwaya?
u lonely unatoka wapi wakati JF watu hawalali, ukaribu ukaribu matokeo uwa siyo...ohooo sorry kumbe si wewe unayetafuta rafiki
mimi ni F
swali
je unaimba kwaya?
u lonely unatoka wapi wakati JF watu hawalali, ukaribu ukaribu matokeo uwa siyo...ohooo sorry kumbe si wewe unayetafuta rafiki
ni sawa lakini ni ;f. lazima atahitaji kampani manoah come this way
ukishindwa tena hapa shauri lako.
kala kapo form five shule ya serikali ndio nakasubiri, hawa wengine waache wapite tu!
ndo kepi hako
kataje hapa