measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,420
we ni ME au KE?
Unataka kumpatia binti??
we ni ME au KE?
Taja basi jinsia yako tuanze strykweli umesomeka.
Hivi daddy... huwa hulisahau hili swali???? :becky:
bora umemwambia mie nikiwaga lonely nikija humu
Jf kiroho burudani so lazima mkutane sijui wapi mbadilishane mawazo
hum hum tu mambo yanaenda..........