Mambo wanaJF nahitaji marafiki wakubadilishana nao mawazo Im so lonely

bora umemwambia mie nikiwaga lonely nikija humu
Jf kiroho burudani so lazima mkutane sijui wapi mbadilishane mawazo
hum hum tu mambo yanaenda..........
u lonely unatoka wapi wakati JF watu hawalali, ukaribu ukaribu matokeo uwa siyo...ohooo sorry kumbe si wewe unayetafuta rafiki
 
Au kama unataka rafiki wakalamu wa kuandikia barua ya sanduku la posta
 
ni sawa lakini ni ;f. lazima atahitaji kampani manoah come this way
ukishindwa tena hapa shauri lako.
u lonely unatoka wapi wakati JF watu hawalali, ukaribu ukaribu matokeo uwa siyo...ohooo sorry kumbe si wewe unayetafuta rafiki
 
Last edited by a moderator:
Unataka kubadilishana mawazo gani¿

A. Ya Kiuchumi.
B. Ya Kisiasa.
C. Ya Kijamii.
D. .
 
Kujua jinsia ni muhimi sana. maana katika kubadilishana mawazo unaweza kusema "lakini hapo umenielewa dada yangu?" ikawa tatizo kumbe ni dume, hivyo kujua jinsia ni muhimu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…