Mambo wanaJF nahitaji marafiki wakubadilishana nao mawazo Im so lonely

Nimefurahi kusikia we ni mtumishi mzuri kesho kuna ibada itabidi tuwasiliane mi ndo pastor mwenyewe,nimejitoa nije nikufuate ili tuende kanisani
 
Kwani ukijisoshalaizi na sisi wote tutakuwa wengi mno? Manake humu ndo mawazo youte utapata, ya bhange, utumbo na kichuri.
 
Nimefurahi kusikia we ni mtumishi mzuri kesho kuna ibada itabidi tuwasiliane mi ndo pastor mwenyewe,nimejitoa nije nikufuate ili tuende kanisani

usijali postor wiki hii niatenda mwenyewe tufanye wiki ijayo
 
nakubali ila lazima nijihakikishie IQ yako iwe abave 90% maana kubadilishana mawazo si swala dogo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…