Mambo ya ajabu yaliyonifanya nikashindwa kuishi vijiji vya kanda ya Ziwa

Mbona mi mwenyewe nipo lakezone hayo mambo hamna kabisa,mleta mada apuuzwe
Man kuna vitu anasema ni sahihi kuna pointi namba sita hii ni common kwa Wahaya na Wasukuma.Mimi ni Mhaya ntakupa mfano hai.Tulikuwa tunasali kanisa la Rumuli kuna siku kaletwa padri sijui alikuwa sio mhaya kafanya mafundisho wakati wa misa kwa kiswahili(Mbona kesho yake ilikuwa kelele kwa askofu ungekuwa mhaya ningekueleza walivyokuwa wanasema ila kifupi walisema ata sadaka wataacha kutoa maana misa haikunoga)
 
Hiyo ya kulima barabara niliwahi kukutana nayo jamaa ananiletea habari eti tunatakiwa tukatengeneze barabara nilimletea noma kichizi yani nikamwambia hilo ni jukumu langu au la serekali?

Yani mi nilipe kodi na bado nikalime barabara? Nikamuuliza we mwenyekiti kazi yako ni nini? Mi niache majukumu yangu ya kukuza uchumi wangu binafsi ambayo ndani yake nalipa kodi niende nikachimbe barabara gharama zangu za maisha za siku hiyo utazilipia wewe? Au kuna posho mnalipa ili nije?

Nilimzingua kinoma yan kwanza sehem yenyewe nilikua naishi kibachela tu sina mke wala nini sikua na hofu kwamba nikizingua inaweza kumuathiri mtu mwingine
 
Mimi yalinishinda nikaona huku hakunifai
 
Umesahau na kula ugali asubuhi chapati wala mandazi havipatikani
 
Ni kweli kabisa,cha ajabu askofu wa jaragweni muhayaila wanyambo hawampendi kabisa,Rweyongeza nae anajua hapendwi ameamua kuwoeleka kijeshi,pata picha hapo ni mhaya na mnyambo tu je angekuwa mnyamahanga
 
Ni kweli kabisa,cha ajabu askofu wa jaragweni muhayaila wanyambo hawampendi kabisa,Rweyongeza nae anajua hapendwi ameamua kuwoeleka kijeshi,pata picha hapo ni mhaya na mnyambo tu je angekuwa mnyamahanga
Rweyongeza ni tapeli kipindi kapelekwa jimbo la Kayanga mara ya kwanza.Nlikuwa bado nasoma kule.Kafanya ibada kaona wanyambo kama hawaelewi somo ikabidi awachanganye na habari za nlikuwa Vatican mara papa amewatumia salamu zenu anawapenda nikasema hapa homeboy hutoboi huku
 
Amewafrustrate mapadri wa Kayanga mpaka wamekoma ahaaa
 
Inasemekana lakini, kutokana na kufanyiwa FGM, baadhi ya madem wa lake zone ukimweka juu ya bed alaf upepo ukimpitia *** inatoa mlio wa chupa wa soda, pwupwuuu..... inasemekana lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…