secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Numesema ukiwa katikati ya ndoto unajisemea "hii si ndoto kweli?"Kumbe wewe mpaka uamke ndio unajua kuwa ulikuwa unaota na sio pale unapoota🤣
Numesema ukiwa katikati ya ndoto unajisemea "hii si ndoto kweli?"Kumbe wewe mpaka uamke ndio unajua kuwa ulikuwa unaota na sio pale unapoota🤣
Halafu ukisema hivyo sasa ndio unaamua kuanza kupaa ovyo mara kuingia nyumba za watuNumesema ukiwa katikati ya ndoto unajisemea "hii si ndoto kweli?"
Hii ni ipi?
Kama ni ndoto ya kutisha basi unapunguza hofu, kama ni ndoto tamu, mfano unajamiiana na Rihanna basi unaendelea kumkaza hadi aombe poo😂.Halafu ukisema hivyo sasa ndio unaamua kuanza kupaa ovyo mara kuingia nyumba za watu
Mshana Jr akuelezee.Hii ni ipi?
Sasa wakati unaota upo na Rihanna kwa nini usiombe ubaki nayeKama ni ndoto ya kutisha basi unapunguza hofu, kama ni ndoto tamu, mfano unajamiiana na Rihanna basi unaendelea kumkaza hadi aombe poo😂.
Kwani we umejuaje kama siombi kubaki naye?Sasa wakati unaota upo na Rihanna kwa nini usiombe ubaki naye
Uishi naye hukohuko hata ukiamkaKwani we umejuaje kama siombi kubaki naye?
Usichikijua ni kwamba huwa sipendi kuamka ndotoni pindi ninapokutana kimwili na mwanamke nimpendaye (katika ndoto).Uishi naye hukohuko hata ukiamka
puker ubongo wa mwanadamu unahitaji sana kuota yani ni lazima kila siku upate ndoto bado haijajulikana sababu ni nini, na pombe inachofanya inaenda kuziba ile sehemu ya REM sleep ambapo ndio ndoto hutokea hivyo unakuwa hupati ndoto na unaenda moja kwa moja kwenye deep sleep ambayo haina ndoto ila ni lazima upate ndoto hivyo maini yanachuja kwanza ile pombe na kusafisha mwili ila mpaka mwili uwe safi muda unakuwa umeenda hivyo ubongo unachofanya ni kuweka ndoto za usiku nzima kwa pamoja na ndio maana ndoto nyingi zinakuwa za ajabu na za kutisha,Ni wiki sasa, tangu nimeamua kwa dhati. Kuacha pombe kutokana na pombe inavyonipeleka pabaya na kuharibu maisha yangu..matokeo yake usiku nikilala napata ndoto mbaya za kutisha na kutia hofu halafu chanzo ni pombe, na sio ndoto moja kila nikitustuka nikilala tena inakuja nyingine na kisa kingine ila mwishoni ni hofu na vitisho na nazikumbuka kabisa nikiamka hii tafsiri yake ni nini, kwamba pombe imeniandama haitaki tutengane au ni hali ya kawaida ya ubongo kuondoa kitu ulichokizowea kwa miaka mingi?🫩🤔
Dah Ahsante sana mkuu maana sio poa, unawepuker ubongo wa mwanadamu unahitaji sana kuota yani ni lazima kila siku upate ndoto bado haijajulikana sababu ni nini, na pombe inachofanya inaenda kuziba ile sehemu ya REM sleep ambapo ndio ndoto hutokea hivyo unakuwa hupati ndoto na unaenda moja kwa moja kwenye deep sleep ambayo haina ndoto ila ni lazima upate ndoto hivyo maini yanachuja kwanza ile pombe na kusafisha mwili ila mpaka mwili uwe safi muda unakuwa umeenda hivyo ubongo unachofanya ni kuweka ndoto za usiku nzima kwa pamoja na ndio maana ndoto nyingi zinakuwa za ajabu na za kutisha,
sleep..paralysis hii isha nitokea, alfajiri nanyanyua mguu haunyanyuki nikadhani niko ndotoni nikaongeza nguvu nilijikuta nimerusha mguu kama napiga teke..Tofauti Kati ya Astral Projection na Hali Nyingine!
Ni muhimu kutofautisha dhana hii na hali nyingine za kiakili:
Lucid Dreaming: Hali ya kujitambua kuwa upo ndotoni na kuweza kuiongoza ndoto hiyo upendavyo.
Out-of-Body Experience (OBE): Hali ya kuhisi upo nje ya mwili inayotokea ghafla bila kukusudia, mara nyingi ikisababishwa na ajali, mshtuko, au matibabu.View attachment 3601822
Sleep Paralysis (Jinamizi): Hali ya kibaolojia ambapo ubongo unaamka lakini misuli ya mwili inakuwa bado imepooza kutokana na usingizi mzito.View attachment 3601823
Kwani ubongo unapata tatizo gani kama kuna kitu umekikosa ambacho ulikua nacho muda mrefuNi wiki sasa, tangu nimeamua kwa dhati. Kuacha pombe kutokana na pombe inavyonipeleka pabaya na kuharibu maisha yangu..matokeo yake usiku nikilala napata ndoto mbaya za kutisha na kutia hofu halafu chanzo ni pombe, na sio ndoto moja kila nikitustuka nikilala tena inakuja nyingine na kisa kingine ila mwishoni ni hofu na vitisho na nazikumbuka kabisa nikiamka hii tafsiri yake ni nini, kwamba pombe imeniandama haitaki tutengane au ni hali ya kawaida ya ubongo kuondoa kitu ulichokizowea kwa miaka mingi?🫩🤔