Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
[emoji7]Nimejifanya fundi mweeee,,,nimekumbuka kipindi kile nipo mtoto najichora hina leo ndio kazi nimefanya hii kuchora majongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenye kujua kuchora anifundishe basi View attachment 823117
Mawazo yangu hua hayadanganyiNimejifanya fundi mweeee,,,nimekumbuka kipindi kile nipo mtoto najichora hina leo ndio kazi nimefanya hii kuchora majongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenye kujua kuchora anifundishe basi View attachment 823117
Ahahahhaah [emoji23][emoji23][emoji23] usidanganyike LucasMawazo yangu hua hayadanganyi
Unakumbk niliwahi kukwambia we lazima ni mweupe afu kisu ?
Kweli nilivyojiborongaInapendeza
Leo nime prove wewe ni mweupe na cute[emoji4]Ahahahhaah [emoji23][emoji23][emoji23] usidanganyike Lucas
Cjaona kama umejiboronga zaidi ya kuona urembo wa maua kwenye mkono.Kweli nilivyojiboronga
G nimejichora kiunoni ntarusha jukwaa la wakubwa [emoji23][emoji23]Nilijua umejichora alama ya G.....
Ushawah ona mtu ana mkono mbaya wewe ,wacha manenoLeo nime prove wewe ni mweupe na cute[emoji4]
Sababu huo ni mkono wako
Siwezi kabisanjoo nikuchore tattoo kabisa mammy
Ukipewa talaka shaul zako.....G nimejichora kiunoni ntarusha jukwaa la wakubwa [emoji23][emoji23]
Ahaaa shukraniCjaona kama umejiboronga zaidi ya kuona urembo wa maua kwenye mkono.
Na nani sasa wakati mwenye mali ni yeyeUkipewa talaka shaul zako.....
Msalimie katotooo kashakula wali na sato kameshiba mwaaaah nakapendaNa nani sasa wakati mwenye mali ni yeye
Uni tag basi.G nimejichora kiunoni ntarusha jukwaa la wakubwa [emoji23][emoji23]