Mambo ya hina

Mambo ya hina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Nimejifanya fundi mweeee,,,nimekumbuka kipindi kile nipo mtoto najichora hina leo ndio kazi nimefanya hii kuchora majongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenye kujua kuchora anifundishe basi
IMG-20180730-WA0032.jpg
 
Nimejifanya fundi mweeee,,,nimekumbuka kipindi kile nipo mtoto najichora hina leo ndio kazi nimefanya hii kuchora majongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenye kujua kuchora anifundishe basi View attachment 823117
Mawazo yangu hua hayadanganyi
Unakumbk niliwahi kukwambia we lazima ni mweupe afu kisu ?
 
Back
Top Bottom