Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Nimejifanya fundi mweeee,,,nimekumbuka kipindi kile nipo mtoto najichora hina leo ndio kazi nimefanya hii kuchora majongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenye kujua kuchora anifundishe basi
Mwenye kujua kuchora anifundishe basi