mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,627
- 2,473
wengi wao ni wahuni na wezi sana, umalaya vilevile mkuu...Mikadi ni beach ya watoto wa uswazi..
Mainly wanatoka Mbagala
Wengi hata shule sijui kama wanasoma..
Wanaendaga na mabasi na makelele
Na bodaboda wamepanda watu sita..
Wengi hufa barabarani pia
wengi wao ni wahuni na wezi sana, umalaya vilevile mkuu...
hakika mkuu..Mzazi yoyote anaemruhusu binti yake kwenda mikadi beach hasa siku za sikukuu basi huyo mzazi Hana akili
[emoji3][emoji3]sijaacha kitu hapo nadhan umenilenga.Wengi wetu humu tulivyokuwa teens tumefanya vioja, iwe wa kishua au kiswaz,tumegonga wadada kwenye hide and seek,madisco ya shule, bila kusahau kuchungulia wadada bafuni na kutyomba hata vyupi vya house girl.Ni kumuomba mungu.Ni utoto tu wakikuwa wataacha.
Watoto wa kuanzia 14yrs wana mambo mengi mno..
Kuna beach moja nilienda..
Wanavuta bangi anaingia kwenye kachanging room anapigwa kimoja anatoka...wanaingia kwa zamu..
Nikajiuliza wazazi wanajua kweli!!
Kichwa cha habari hakiendani na habari....acha niulizie gugo.
Hawa ni watoto wa IST na wale wa Cambridge syllabus
Embu funguka zaidi mkuu!!!No ni kids from all over the place wanaosoma shule nzuri nzuri, I have been there, done that...ITS HORRIBLE...
Lol flipping greens😂Teens who attend high achieving schools in well to do communities may be more vulnerable to drug and alcohol problems than their less well off peers. Many people perceive addiction as a problem that affects mostly those in poorer neighborhoods. But what i see is that there is a significant risk for substance abuse at the other end of the socioeconomic spectrum. Everybody want to live like Paris and Prince jackson, their parents are so busy flipping greens..
Embu funguka zaidi mkuu!!!
Mbona hujaitaja vaping ambayo kila mtoto wa kishua anapenda sahivi. Sijui serikali inaruhusu vipi ziuzwe au kutumika. Bahati mbaya mshawishi wao Juice WLRD zishamchukua.They drink Lean, also known as purple drank /texas tea/ sizzurp, barre. na ni hatari kuliko hata pombe..unachukua sprite unachukua Hard candies na cough cyrup yenye codeine unatia kwenye sprite aisee ni noma sana
Lol flipping greens[emoji23]
mkuu naomba unipe recipe ya lean...with exact direction (including quantity and timing of mixing the ingredients)They drink Lean, also known as purple drank /texas tea/ sizzurp, barre. na ni hatari kuliko hata pombe..unachukua sprite unachukua Hard candies na cough cyrup yenye codeine unatia kwenye sprite aisee ni noma sana
Hawa ni wabongo mzee?They drink Lean, also known as purple drank /texas tea/ sizzurp, barre. na ni hatari kuliko hata pombe..unachukua sprite unachukua Hard candies na cough cyrup yenye codeine unatia kwenye sprite aisee ni noma sana
kumbe wewe ni keNimemiss pocket money za watoto wa kishua waliokuwa wanawekewa hela kwenye account wakati shule hawaruhusiwi kutoka. Likizo ikifika kuna accumulation ya laki ngapi uko, Jane akifunga anamwambia mama "mom I will stay in xxx with Diana for 3 days". Tunakaa na Jane siku tatu natumia hela tu kisha tunaondoka. Tunafosi tuition za lazima ili tuonane maana kwao geti kali.
Ila yule mzee alikuwa ananiamini kwanza anapenda interesting news na mimi mwenyewe sio mweupe kichwani. Na jeuri ya kwenda kwake sijui nilitoaga wapi. Hakujua kuwa code nilizokuwa natinga nazo kwake zilitokana na hela yake.
Mimi nilimsaidia kumlinda mwanae ila akashindikana. Uhuni wa kishua kanipa experience yeye na haya matumizi ya P2. Alikuwa lesb na sasa karudi uko tumebaki marafiki wa mbali. Nilijishtukia nilipojua hilo ila sasa nishawazoea chuo.
#Back then 2018-'19
Mbona hujaitaja vaping ambayo kila mtoto wa kishua anapenda sahivi. Sijui serikali inaruhusu vipi ziuzwe au kutumika. Bahati mbaya mshawishi wao Juice WLRD zishamchukua.
Hiyo Lean mashabiki wa Future tunaijua anaitaja ovyo.
mkuu naomba unipe recipe ya lean...with exact direction (including quantity and timing of mixing the ingredients)