Mambo ya hovyo, na ya kusikitisha yanayotokea kwenye Teens Party

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani kwa Tanzania Cough syrup zenye codein zimepigwa ban pia, lean is somethibg else inakufanya unakuwa zombie
 
Kaka sijui Dada Heci; hapo nilipo bold (I finished form 6) umeandika weye au umeandikiwa?? Yaani Form six unaandika ivyo..anyway Kata ni tatizo No wonder we CCM won every election. Sahihisha hapo umechemka bhanaa.tumia neno completed and finished.
 
Vaping anayoongelea ni ya E-Cigs...
 
Nikupongeze mkuu, you a hipster, una knowledge most people hawajafuatilia sana.
Kuna documentary niliangalia mwaka jana, kuhusu lean addiction inavyowatesa vijana wa Zimbabwe
 
Nikupongeze mkuu, you a hipster, una knowledge most people hawajafuatilia sana.
Kuna documentary niliangalia mwaka jana, kuhusu lean addiction inavyowatesa vijana wa Zimbabwe, wengi wao wapo kitaa baada ya masomo hawana ajira, na hii inawapelekea kuwa depressed sana, na kuchangia kujiingiza kwenye madawa hayo addictive.
Yaani ukipita mitaa ya Zimbabwe vijana wamepigwa doro tu, maana ukishapata stimu everything seems so slow, yaani kama kila kitu kinaenda slow motion.
Lean ni culture, huko USA, na ilianza kuwa mainstream zaidi huko Houston, Texas. Na hawa walevi wa lean wana special songs zao, zinaitwa Chopped and Screwed, zilizokuwa invented DJ Screw.
But mkuu, hichi kinywaji hutakiwi kuweka nusu chupa kwenye sprite yako, au robo tatu, kama ulivyomshauri mkuu Citizen B kwa sababu unajiweka kwenye risk ya overdosing. DJ Screw alifariki kwa kuoverdose lean, Lil Wayne aliwahi kupata seizures na kulazwa kabisa mwaka 2012/2013 kama sikosei. Na majuzi tu hapa Msanii JuiceWRLD alioverdose na kufariki siku chache baada ya birthday yake.
So, kwenye mixing wanakuwa wanatumia baby bottle "chupa ya maziwa ya mtoto" ambayo inakuwa na vipimo kwa pembeni vinavyoandikwa kutoka kiwandani na hii huwasaidia kuepukana na kuoverdose.
 
Mzazi yoyote anaemruhusu binti yake kwenda mikadi beach hasa siku za sikukuu basi huyo mzazi Hana akili
Nilienda Mara moja ile beach aisee kwa kweli pale pana shida kwa watoto hasa wanafunzi. Ikifika Saa moja wale ambao wanatumia daladala huanza kutoka na panbaki tulivu na sehemu nyingi nyingi kuna kuwa na giza hasa ktk vile vibanda shida huanzia hapo
 
They drink Lean, also known as purple drank /texas tea/ sizzurp, barre. na ni hatari kuliko hata pombe..unachukua sprite unachukua Hard candies na cough cyrup yenye codeine unatia kwenye sprite aisee ni noma sana
Nilisoma kayumba lakini niliyokuwa nayaobserve pale St Laurent Makonde Mbezi Beach yanafanana na hayo.
 
Last sentence haaa....

You can't make the scene if you don't have the greens- Jim Carrey in The Mask

Kiukweli hizo shule ni hatari...nakumbuka kwa mara ya kwanza tumepelekwa IST kupitia shirika la Root and Shoot tukiwa primary yaani tulikuwa tunashangaa kila kitu......
 
Washajua kupitia wewe

Hahaaa
 
Kaka sijui Dada Heci; hapo nilipo bold (I finished form 6) umeandika weye au umeandikiwa?? Yaani Form six unaandika ivyo..anyway Kata ni tatizo No wonder we CCM won every election. Sahihisha hapo umechemka bhanaa.tumia neno completed and finished.
Kaka sijui Dada Magimbi; Hapo nilipo bold (wonder we CCM won na hiyo Weye) umeandika wewe au umeandikiwa?? Yaani wonder why unaandika hivyo na hiyo wewe unaandika weye. No wonder why CCM won every election. Sahihisha hapo umechemka bwana (sio bhanaa). Tumia maneno Why, Wewe na bwana.

#YNWA
 
Mada iko poa lakini niulize tu hayo mambo yapo. Embu watoa komenti mlete story mfano wa hizo
 
confuser and confusee
 
Bangi ina husika vipi hapo

mtoa mada buree kabisa..! nahisi ndio wale mnakula breakfast chocolate, mchana baga/piza jioni mnashushia twist..
 
Waalimu, ila wazazi ni zaidi.
Wazazi wakitimiza majukumu yao nyumbani walimu hawapati tabu.

Tatizo siku hizi wazazi wako busy shughuli inabaki kwa mwalimu na kuna lawama nyingine anapewa mwalimu wakati mzazi kashindwa kutimiza majukumu yake.
 
Bo kukaa mikoni kama mambo ya dar ndo haya unaweza kunywa vitu usivyo jua
 
Watoto wa kuanzia 14yrs wana mambo mengi mno..

Kuna beach moja nilienda..
Wanavuta bangi anaingia kwenye kachanging room anapigwa kimoja anatoka...wanaingia kwa zamu..

Nikajiuliza wazazi wanajua kweli!!

Jesus [emoji1381]‍♀️ nimeogopa
 
Nikupongeze mkuu, you a hipster, una knowledge most people hawajafuatilia sana.
Kuna documentary niliangalia mwaka jana, kuhusu lean addiction inavyowatesa vijana wa Zimbabwe

Nlisoma Zim shule ya ma settlers so najua mazingira mzee maaisha yanatufundisha mambo mengi mkuu tuendelee kupambana, One love brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…