Mambo ya JF na zama zake

Mambo ya JF na zama zake

JF hii ndiyo utawala wa JF unaipenda na ndiyo sababu ya kulitupilia mbali 'of Great Thinkers' na kubaki JF ya Mods wanapambana na members, huku members wanapambana wenyewe kwa wenyewe na vyura wamo wanakurupuka na kuanza kutukana huku Post aliyoifungua hajaisoma! Ili mradi tu katukana, ukiandika Post ya mawazo ukitaka utawala waiboreshe Mods wanakuparula na unaweza ukapigwa na banio.
 
Wale machangudoa wa 3 weusi waliopewa gono na mzee wa miongozo walikuwa wanamshambulia na vitu vya kijinga in short walikuwa na inferiority complex yule mzee aliwajaza ujinga kumbe walikuwa wanazungukwa bila kujua anyway ndo hivyo tena na zile ratiba zao za kuliwa gym si unakumbuka? [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

UMASKINI NA TAMAA UTAWADHALILISHA MPAKA WATAKAPOINGIA KABURINI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]

Anyway yalishapita hayo na kila mtu alishinda mechi zake [emoji1][emoji3526].
Kwani mahondaw yuko wapi siku hizi
 
Akikujibu nitag mkuu mi mwenyewe simuoni muda humu!
Nilipata za kikachero kwamba alikua ni mke wa mwanajeshi na mme wake alikua sudani sasa bwana wa miongozo akachukua utawala akawa anamega tunda la msoja hizi taarifa kama mjeda alizipata sidhan kama mahondaw atakua mzima wa afya leo hii
 
Nilipata za kikachero kwamba alikua ni mke wa mwanajeshi na mme wake alikua sudani sasa bwana wa miongozo akachukua utawala akawa anamega tunda la msoja hizi taarifa kama mjeda alizipata sidhan kama mahondaw atakua mzima wa afya leo hii
Wee sema kweli?? Lol mbona hatari sana hio🤔!
Pole yake asee !
 
Back
Top Bottom