Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
JF hii ndiyo utawala wa JF unaipenda na ndiyo sababu ya kulitupilia mbali 'of Great Thinkers' na kubaki JF ya Mods wanapambana na members, huku members wanapambana wenyewe kwa wenyewe na vyura wamo wanakurupuka na kuanza kutukana huku Post aliyoifungua hajaisoma! Ili mradi tu katukana, ukiandika Post ya mawazo ukitaka utawala waiboreshe Mods wanakuparula na unaweza ukapigwa na banio.