Mambo ya JF na zama zake

Mambo ya JF na zama zake

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]alisamehee au hakujua.....la mwsiho ili mama Antonia
Ngoja nikapike kwanza ntarudi πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜!
 
Kama unaona ni sawa kwa mijadala inayohitaji akili kubwa kujadiliwa kwa uchama na ushabiki ni sawa pia. Ila mimi kwangu ni turn off

Kuna kipindi, jf ilikuwa ya moto, watu wanashusha nondo hadi unaona aibu kucomment kwa sababu huna cha kuchangia. Hiyo ndiyo ilikuwa Jf, home of great thinkers

Ila kwa sasa

"Mpumbavu wewe, huna akili, mama anaupiga mwingi, wewe chadomo au mboga mboga, huna unalolijua" Hadi wanaojua wanasusia mijadala

Sasa huo ni ukosoaji au upuuzi, kama wewe unaona sawa ni wewe Ila kwa wengine tunaopenda kujifunza hatuoni kama ni haki
Nimekupata mkuu...hakika umesema kweli

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom