Mambo ya JF na zama zake

Kumbe nilikutangulia kuanza kusoma habari za humu jf maana mwaka unaoanza wewe mimi nilikuwa tayari nipo humu nasoma habari za wakongwe kama akina mzee mwanakijiji. Uwe na heshima na adabu ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„maana nimekutangulia kuliona jua la humu.
 
Ulikuwa hujaanza uchawa lkn enzi hizo si eti eeh?lazima wangekujua
 
Bado haiondoi ukweli ya kuwa mimi kaka yako mkubwa.
 
Wasalam,
Upande wa siasa napo ndugu rutashoba na shemeji yangu Pascal Mayalla nao hawakuwa nyuma hapa nadhani mayalla alikuwa bado hajaanza kupiga mapambio alikuwa akichachafya kweli watawala.
Mkuu shemeji Mla Bata , (shemeji kwa nani?), kwanza nikupongeze, hiki ni kipaji cha usimulizi na uandishi.
Pili nimecheka pale uliposema "alikuwa bado hajaanza kupiga mapambio!"
Kumbe unaona mapambio yangu tuu, lakini zile spana zangu ulikuwa huzioni?

P
 
Hahahahaha,hiyo JF ilikua moto sana
 
hahah shukrani sana shem.
Kwa upande wa spana mbona nimebainisha kabisa mkuu "alikuwa akichachafya sana watawala" hii lipo wazi kabisa wote tunakumbuka.

Shemeji kwa dada yangu "FK", siwezi kumwaga mchele mbele ya hadhara hapa mkuu.
 
Natamani nitaje id yangu lakini maisha yamebadilika nimemiss watu humu ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ