Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Kabisaa,tunaenda jahazi linakoenda na upepohaha kwakweli hamna namna ni kwenda na kasi ya gen z tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa,tunaenda jahazi linakoenda na upepohaha kwakweli hamna namna ni kwenda na kasi ya gen z tu.
NakaziaSasa hivi JF imebaki kuwa na mahoka na kero za watoto wadogo tu.
Unakuta katoto kamoja kana ID mpaka saba na zote zinaanzisha nyuzi za kijinga na kujijibu.
JF imepoteza hadhi yake.
Hapana ila ni visa Tu vya kina Mr popoma ila nilikuwa napenda kuweka wazi vyivyohivyo huwa napendelea kutumia lugha Kali mno...wewe inaonekana ulikuwa mtundu sana.
Kumbe nilikutangulia kuanza kusoma habari za humu jf maana mwaka unaoanza wewe mimi nilikuwa tayari nipo humu nasoma habari za wakongwe kama akina mzee mwanakijiji. Uwe na heshima na adabu 😄😄😄maana nimekutangulia kuliona jua la humu.Na sisi ambao tulikuwa ni wachunguliaji tu kwa miaka mingi, mnatuchukuliaje?
Mfano mimi nilianza kuingia JF kama guest mwaka 2013! Na nilijiunga rasmi mwaka 2014 kwa kutumia jina langu halisi. Baada ya kuona ninakosa uhuru wa kutoa maoni, nikarudi zangu kivingine huku nikiwa na ID yangu fake mwaka 2019.
Ulikuwa hujaanza uchawa lkn enzi hizo si eti eeh?lazima wangekujuaKumbe nilikutangulia kuanza kusoma habari za humu jf maana mwaka unaoanza wewe mimi nilikuwa tayari nipo humu nasoma habari za wakongwe kama akina mzee mwanakijiji. Uwe na heshima na adabu 😄😄😄maana nimekutangulia kuliona jua la humu.
Ulishafutwa, haupo tenaHee kumbe? Nina muda mrefu sana sijaufungua huo uzi, kumbe umegeuka uzi wa "biashara" lol!
Kuna vyawa wengi!wanasifia Hadi jambo la blue kabisaa wanasema ni pinkie🤣hahah kizazi cha uchawa.
Katibu mkuuHaya bana [emoji3][emoji3]
Bado haiondoi ukweli ya kuwa mimi kaka yako mkubwa.Kumbe nilikutangulia kuanza kusoma habari za humu jf maana mwaka unaoanza wewe mimi nilikuwa tayari nipo humu nasoma habari za wakongwe kama akina mzee mwanakijiji. Uwe na heshima na adabu 😄😄😄maana nimekutangulia kuliona jua la humu.
Mkuu shemeji Mla Bata , (shemeji kwa nani?), kwanza nikupongeze, hiki ni kipaji cha usimulizi na uandishi.Wasalam,
Upande wa siasa napo ndugu rutashoba na shemeji yangu Pascal Mayalla nao hawakuwa nyuma hapa nadhani mayalla alikuwa bado hajaanza kupiga mapambio alikuwa akichachafya kweli watawala.
Hahahahaha,hiyo JF ilikua moto sanaWakati huo JF ilikuwa JF sio hii ya kisasa. Kipindi cha uanaharakati na ujana wangu nikiwa na ID tofauti tofauti. Nilikuwa CDM kindakindaki kipindi hiko tukiongoza mashambulizi JF dhidi ya Buku 7 FC baadaye ikawa shidi ya wasaliti akina Arfi, Zitto, Shonza na Mtera Mwampamba.
Hahahaaa, unaharakati uliisha baada ya kuona mahawara na wake za watu Akina Joyce Mukya na Chawa ndio wanateuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali ndani ya CDM. Baadaye Kamanda akageuzia Gia Angani na Dr. Slaa akapigwa na mkewe. Nikajuta, nikafuta ile ID na nikaipa mitandao kisogo hadi kuja na hii ID mpya.
JF sasa ni matusi, ujuaji, kubeza na kupinga kila kitu ila JF kabla ya kizazi hiki cha 1990's to 2000's ilikiwa moto kwelikweli.
hahah shukrani sana shem.Mkuu shemeji Mla Bata , (shemeji kwa nani?), kwanza nikupongeze, hiki ni kipaji cha usimulizi na uandishi.
Pili nimecheka pale uliposema "alikuwa bado hajaanza kupiga mapambio!"
Kumbe unaona mapambio yangu tuu, lakini zile spana zangu ulikuwa huzioni?
P
Duh...!hahah shukrani sana shem.
Shemeji kwa dada yangu "FK", siwezi kumwaga mchele mbele ya hadhara hapa mkuu.
Naunga mkono hoja👏👏👏 maana sio kwa udambwi dambwiJukwaa la Wakubwa lirudishwe...na vitoto vyote visiruhusiwe kuingia huko. Libaki Kwa wanachama waliojiunga kuanzia mwaka 2010 kurudi 2006. Adabu itakuwepo.