Jukwaa la Wakubwa lirudishwe...na vitoto vyote visiruhusiwe kuingia huko. Libaki Kwa wanachama waliojiunga kuanzia mwaka 2010 kurudi 2006. Adabu itakuwepo.
Kwann wanabana lakini ?Nimeshaomba sana hili jukwaa sijui [mention]Maxence Melo [/mention] alipatwa na nini Akagoma kabisa
Jukwaa lilijua kunipa raha lile..
Tupitishe petition, kurudishwa kwa hili jukwaaJukwaa la Wakubwa lirudishwe...na vitoto vyote visiruhusiwe kuingia huko. Libaki Kwa wanachama waliojiunga kuanzia mwaka 2010 kurudi 2006. Adabu itakuwepo.
Kwann wanabana lakini ?
Best wapi hiyo, niko mitaa ya fulan ,natazama jiji la chalamila
Aunt siku moja nitakutembelea kwako.AlhamduliLlah tupo, tunaenda na wakati.
Siku hizi tunasema "ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi".
Ni vema, lakini vipi kwa watu wazima wenye kujielewa lakini wamejiunga recently na kuna wakongwe pia waliopigwa ban za maisha na wameamua kuja na id's mpya huoni hawatatendewa haki kwa hiyo approach?Jukwaa la Wakubwa lirudishwe...na vitoto vyote visiruhusiwe kuingia huko. Libaki Kwa wanachama waliojiunga kuanzia mwaka 2010 kurudi 2006. Adabu itakuwepo.
Acha roho mbaya 🤣🤣🤣Jukwaa la Wakubwa lirudishwe...na vitoto vyote visiruhusiwe kuingia huko. Libaki Kwa wanachama waliojiunga kuanzia mwaka 2010 kurudi 2006. Adabu itakuwepo.
Basi 2012 mwishoni nakumbuka namimi nikajiunga rasmi kama GT na kuanza kutoa michango kwenye nyuzi mbalimbali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi JF imebaki kuwa na mahoka na kero za watoto wadogo tu.
Unakuta katoto kamoja kana ID mpaka saba na zote zinaanzisha nyuzi za kijinga na kujijibu.
JF imepoteza hadhi yake.
Na me nitag tukapae wii 🤣🤣🤣Bro@Mshana Jr naomba nitag kwenye Uzi wa kupaa😀 nikachukue notes
Sahihi mkuu mm ID yangu tangu 2016 mpka Leo wamegoma kunifungulia daah inaumiza sanaNi vema, lakini vipi kwa watu wazima wenye kujielewa lakini wamejiunga recently na kuna wakongwe pia waliopigwa ban za maisha na wameamua kuja na id's mpya huoni hawatatendewa haki kwa hiyo approach?
Hata ubuyu hamna kitu, celebrities forum imepoa sana, nikikumbuka enzi zile za warumi na crew yake, kulikuwa na data za moto Ila siku hizi jf inasubiri kitu kitrend insta ama twitter ndio kijadiliwe humu...Saa hivi ni era ya kula ubuyu tu hamna la ziada..
Tupae shwaa😀Na me nitag tukapae wii 🤣🤣🤣
Ungejaribu kuomba wakufungulie huenda wangefanya hivoSahihi mkuu mm ID yangu tangu 2016 mpka Leo wamegoma kunifungulia daah inaumiza sana
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu, nyakati hizo data zikianzia humu na kusambaa kwenye blogs lakini sasa imekuwa vice versa watu wanaokoteza habari za fb na instagram na kuja kuzipaste humu, ile crew ya warumi (rip) kama umbea waliujulia hasa.Hata ubuyu hamna kitu, celebrities forum imepoa sana, nikikumbuka enzi zile za warumi na crew yake, kulikuwa na data za moto Ila siku hizi jf inasubiri kitu kitrend insta ama twitter ndio kijadiliwe humu...
Binamu apumzike Kwa Amani.Hata ubuyu hamna kitu, celebrities forum imepoa sana, nikikumbuka enzi zile za warumi na crew yake, kulikuwa na data za moto Ila siku hizi jf inasubiri kitu kitrend insta ama twitter ndio kijadiliwe humu...