Mambo ya JF na zama zake

Mambo ya JF na zama zake

Jukwaa la Wakubwa lirudishwe...na vitoto vyote visiruhusiwe kuingia huko. Libaki Kwa wanachama waliojiunga kuanzia mwaka 2010 kurudi 2006. Adabu itakuwepo.

Nimeshaomba sana hili jukwaa sijui [mention]Maxence Melo [/mention] alipatwa na nini Akagoma kabisa
Jukwaa lilijua kunipa raha lile..
 
Jukwaa la Wakubwa lirudishwe...na vitoto vyote visiruhusiwe kuingia huko. Libaki Kwa wanachama waliojiunga kuanzia mwaka 2010 kurudi 2006. Adabu itakuwepo.
Ni vema, lakini vipi kwa watu wazima wenye kujielewa lakini wamejiunga recently na kuna wakongwe pia waliopigwa ban za maisha na wameamua kuja na id's mpya huoni hawatatendewa haki kwa hiyo approach?
 
Sasa hivi JF imebaki kuwa na mahoka na kero za watoto wadogo tu.

Unakuta katoto kamoja kana ID mpaka saba na zote zinaanzisha nyuzi za kijinga na kujijibu.

JF imepoteza hadhi yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni vema, lakini vipi kwa watu wazima wenye kujielewa lakini wamejiunga recently na kuna wakongwe pia waliopigwa ban za maisha na wameamua kuja na id's mpya huoni hawatatendewa haki kwa hiyo approach?
Sahihi mkuu mm ID yangu tangu 2016 mpka Leo wamegoma kunifungulia daah inaumiza sana

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Hata ubuyu hamna kitu, celebrities forum imepoa sana, nikikumbuka enzi zile za warumi na crew yake, kulikuwa na data za moto Ila siku hizi jf inasubiri kitu kitrend insta ama twitter ndio kijadiliwe humu...
Ni kweli mkuu, nyakati hizo data zikianzia humu na kusambaa kwenye blogs lakini sasa imekuwa vice versa watu wanaokoteza habari za fb na instagram na kuja kuzipaste humu, ile crew ya warumi (rip) kama umbea waliujulia hasa.
 
Back
Top Bottom