haha we kiboko, uichunge na hii wasije wakaipa ban sasa tukakukosa.Hahaha.....mm huwa ni msema kweli huwa siangalii Nani namwambia ukweli...
Ila now nimekuwa mtiifu...ila ukija hovyo nami nitakuja hovyo
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Niko hapa pollos ,naongea na mtu then nakuja hapo wavuvi ,codes nitakua mwisho kuleeeNipo soko la Samaki hapa
Wakiipiga na hii nafungua nyengne Tu washanipiga zaidi ya mara sabahaha we kiboko, uichunge na hii wasije wakaipa ban sasa tukakukosa.
Wapo humu humu ,tui Lao kidogo tu wangebadili ladha ya mchuzi.Huwa nawashangaa wakongwe wenzangu huwa tunapenda kusema jf ya sasa sio kama ya zamani
Ni hivi sisi tukomae na mada zetu zilizo na content tunazopenda kwani siku hizi tumekatwa vidole hatuwezi kuandika na kuchangia nyuzi za aina hiyo?
Na hawa madogo wa generation z waendelee na mada zao, la sivyo ni kama tunatafuta attention tuonekane sisi ni wakongwe hapa jf
Au tukubaliane na maneno ya mkongwe aliyesema kama vipi tubadilike twende sawa na upepo wa madogo
Kwenye mitandao hakuna mtu ana mamlaka ya kumpangia mwenzake nini acomment au uzi gani aandike
Simple like that
Ukiwemo ww sio π π π na mmekomeshwa kweli kweli mkadange pm sasa π€£π€£π€£π€£.Naukumbuka uzi wa Selfika wa Mshana Jr ulikua mzuri full burudani, kufurahi n +ve vibes hadi pale ulipovamiwa na machoko na wadangaji wa JF.
Malaya ww. ππNakazia
Ndo ukomee. ππ π π Mwaka huu nimewaweza asee nipewe maua yangu tu. πUlishafutwa, haupo tena
π€£π€£π€£π€£π€£ Aiseee nilichelewa kufika kumbe π π π π nimecheka sana alafu ukintag tag Penseli 4 hivyo.Wewe si ndo DANGAJI KUBWA mule selfika na gono ulipewa
penseli 4 hii imekaaje?
Uwiiiiiii uwiiiii uwiiiiii uwiiiiiiiIki kibibi gagula juzi apo kilikopwa na Glams alidanganywa atapewa lakiβ¦β¦β¦.. end of the day kalishwa buku 20
Stupidπππππ
π π π π Madanga wanarushwa kama mitungi ya gesi kwenye lorry asee selfika haha ilikuwa noma daaah. ππNa kupokelezana madanga π€£π€£π€£πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Wale machangudoa wa 3 weusi waliopewa gono na mzee wa miongozo walikuwa wanamshambulia na vitu vya kijinga in short walikuwa na inferiority complex yule mzee aliwajaza ujinga kumbe walikuwa wanazungukwa bila kujua anyway ndo hivyo tena na zile ratiba zao za kuliwa gym si unakumbuka? ππππππ€£π€£π€£ Na ukajua nyeusi na nyeupe
Antonnia hataki hata kuisikia selfika sijui ilimfanya nini udugu wangu
Jamaniπππ.... wakongwe mtusimulie basi, mbona kulikua na mambo mengi sana na siyajuiπππUkiwemo ww sio π π π na mmekomeshwa kweli kweli mkadange pm sasa π€£π€£π€£π€£.
Na sura yako kaa ng'ombe
Penseli 4 fanya kuamka sasa unisimulie hii movie.. mbona inaonekana kali sanaπ€£π€£πWale machangudoa wa 3 weusi waliopewa gono na mzee wa miongozo walikuwa wanamshambulia na vitu vya kijinga in short walikuwa na inferiority complex yule mzee aliwajaza ujinga kumbe walikuwa wanazungukwa bila kujua anyway ndo hivyo tena na zile ratiba zao za kuliwa gym si unakumbuka? πππππ
UMASKINI UTAWADHALILISHA MPAKA WATAKAPOINGIA KABURINI π€£π€£π€£π€£π
Anyway yalishapita hayo na kila mtu alishinda mechi zake πβΊοΈ.
Hao ndo wanasema kipindi chao jf ilikua jf kweli! Soma vitu venye walikua wanafanya na wanavudiscussππJamaniπππ.... wakongwe mtusimulie basi, mbona kulikua na mambo mengi sana na siyajuiπππ