Huwa nawashangaa wakongwe wenzangu huwa tunapenda kusema jf ya sasa sio kama ya zamani
Ni hivi sisi tukomae na mada zetu zilizo na content tunazopenda kwani siku hizi tumekatwa vidole hatuwezi kuandika na kuchangia nyuzi za aina hiyo?
Na hawa madogo wa generation z waendelee na mada zao, la sivyo ni kama tunatafuta attention tuonekane sisi ni wakongwe hapa jf
Au tukubaliane na maneno ya mkongwe aliyesema kama vipi tubadilike twende sawa na upepo wa madogo
Kwenye mitandao hakuna mtu ana mamlaka ya kumpangia mwenzake nini acomment au uzi gani aandike
Simple like that