To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
😂😂😂😂🙌Sasa hivi JF imebaki kuwa na mahoka na kero za watoto wadogo tu.
Unakuta katoto kamoja kana ID mpaka saba na zote zinaanzisha nyuzi za kijinga na kujijibu.
JF imepoteza hadhi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂🙌Sasa hivi JF imebaki kuwa na mahoka na kero za watoto wadogo tu.
Unakuta katoto kamoja kana ID mpaka saba na zote zinaanzisha nyuzi za kijinga na kujijibu.
JF imepoteza hadhi yake.
Ndiwoo wiii km jet 🤣🤣🤣Tupae shwaa😀
Dah! Binamu alikuwa na hekaheka km Juma LokoleBinamu apumzike Kwa Amani.
Miaka michache nyuma nilisema kuwa Jf inatakiwa kubaki na tag ya "where we dare to talk openly" Ila home of great thinkers badhaai Era yake ipo mwishoni na hivyo kulifanya jukwaa kutoakisi hicho kitu.Ni wazi kabisa, kina Maxence Melo waliamuwa kuwa na kwantiti, siyo kwaliti.
Huwezi kuilazimisha kwaliti kwa mtu ambae siyo mila na desturi yake.
Hahah hiyo nilipigwa ban ya miezi ndio nikafungua hii ila nimerudishiwa nimeifanya kama back up mambo yakigeuka si unajua jf ni kama gaza uwanja wa vita muda wowote kinanuka.ID yako ya mwanzo ni ipi? maana hii uliyotumia kuandika uzi imejiunga JF 2013...
haha aisee hiyo ban ya maisha ulimtukana mod nini?Sahihi mkuu mm ID yangu tangu 2016 mpka Leo wamegoma kunifungulia daah inaumiza sana
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Sana mkuu, hii ni redflag na mbaya zaidi jf ina wafuasi wengi instagram na Facebook Ila hai watu hawajiungi. Lazma management iumize kichwa bhana, tunahitaji watoto wa mjini kama warumi warudi tena humu 😁Ni kweli mkuu, nyakati hizo data zikianzia humu na kusambaa kwenye blogs lakini sasa imekuwa vice versa watu wanaokoteza habari za fb na instagram na kuja kuzipaste humu, ile crew ya warumi (rip) kama umbea waliujulia hasa.
🤣🤣🤣 Lazima wamiss hakuna kuangalia mapilau yao bila vpn nasikiaHapa wanavyojadili utasema palikuwa na maajabu sana 🤔🤔mada zote zipo humu hapa za pasko mayala zipo unaweza zitafuta humu Hamna tofauti kubwa na hoja anazotoa tofauti na saiv, kina mzee Mohamed harakati zake kina nyani ngabu wote labda kitu pekee ambacho huwez kuona ni madini ya jukwaa la Wakubwa
Kiukweli ni moja ya watu walioipa uhai jf. Mungu ampe pumziko la mileleBinamu apumzike Kwa Amani.
Mbona tunajitahidi kujichanganya sana mpaka kwenye nyuzi za kula tunda kimasihara huko ukimkuta bi faiza fox ni kama binti wa 18 kumbe saizi anakaribia kupokea pesheni yake hahah.shida wazee wajf mnataka mambo yabaki vilevile ndio mana hata kazi mnatunyima
Mikwara tu rafiki yangu ni kama zamani wanatuambia sekondari sio Lele mama utasoma sijui utaandika sana lkn we ukifika unaona kawaida tu, ukiwa o level wanaanza kukusimulia ya advance utatishiwa weeee ...... yaan ilimradi ionekane wao hawakua na impurities🤣🤣🤣 Lazima wamiss hakuna kuangalia mapilau yao bila vpn nasikia
🤣🤣🤣 ko hawana jipya?Mikwara tu rafiki yangu ni kama zamani wanatuambia sekondari sio Lele mama utasoma sijui utaandika sana lkn we ukifika unaona kawaida tu, ukiwa o level wanaanza kukusimulia ya advance utatishiwa weeee ...... yaan ilimradi ionekane wao hawakua na impurities
Umemaliza kila kitu mkuu, kama wahusika wangeweza kuchukua angalau robo ya hiki ulichozungumza hapa hakika tungeiona hata kwa mbali ile jf tuliokuwa tunaijua.Miaka michache nyuma nilisema kuwa Jf inatakiwa kubaki na tag ya "where we dare to talk openly" Ila home of great thinkers badhaai Era yake ipo mwishoni na hivyo kulifanya jukwaa kutoakisi hicho kitu.
Natamani maxcence na mushi wangeweka quality control, mfano baadhi ya threads au forums ziruhusiwe kwa watu maalumu tu ambao wamekidhi vigezo flani kutokana na uwezo au haiba zenye ustaarabu wa kutoharibu mijadala.
Hao watu wawe kama panelists huku wengine wawekewe utaratibu aidha wa kuweka comments ndani ya comments pasipo kufanya interruption ya mada husika. Mfumo ambao upo kwenye Twitter spaces
Hii itasaidia intruders kutoharibu mijadala na hivyo kuwapa uwanda mpana zaidi wataalamu kumwaga madini yao pasipo dhihaka ama matusi ambayo yanawakatisha tamaa kiasi cha kususia mijadala hivyo, kukosa ile ladha ya mijadala bora ya jf.
Maxcence akumbuke tu, Jf ni user generated content ambazo ni za maandishi zaidi hivyo, wengi wanaoingia humu hawatarijii jazba na uzushi usio na mipaka kuliko hard facts.
Akiamua hali hii iendeleee pasipo kutafuta namna ya kuokoa hii hali ni wazi, jf itakosa ile ladha ama mvuto wake na hivyo kuchukuliwa kama social media platforms kama Facebook which is not right
Kwa nyakati za 2008 mpaka 2015 kwenye siasa palikuwa na heka heka nyingi na scandals kubwa kubwa za rushwa ziliibuliwa, muamko wa kisiasa ulikua mkubwa sana vijana wa vyuoni walikua installed kwenye vyama ko palikuwa hot sana pia ktika burudani Muziki wetu ulipitia reformation nyingi sana ko mada. Baada ya kichaaa kupewa rungu aliminya democrasia plus macontainer ya jobless mambo yalibadalika sana underground political network zilikufa mambo mengi yalibadalika🤣🤣🤣 ko hawana jipya?
Watu hamuogopi aisee😀unaambiwa watu tukaanza kupractice jinsi ya kusafiri ukiwa usingizini kutoka mahali pamoja kwenda kwingine huyu mshana huyu, lol!
[emoji23][emoji23][emoji23]kiungo ni nani?Saa hivi ni era ya kula ubuyu tu hamna la ziada..
Haukua na uzuri wowote, kulikua na unafki na kuogopana tu.Naukumbuka uzi wa Selfika wa Mshana Jr ulikua mzuri full burudani, kufurahi n +ve vibes hadi pale ulipovamiwa na machoko na wadangaji wa JF.