Mambo ya JF na zama zake

Mambo ya JF na zama zake

Nyakati zinabadilika......
Members walikuwa wachache wakati huo, sasa members ni wengi ( kwenye Wengi pana mengi).
Na haya malalamiko sio JF pekee, ni kwenye Forum zote duniani.
Hata ukienda reddit pia wanalia same thing.
Hii inamaanisha nini?
Era yenu imeisha, kuliko kushinda mnalalamika kila siku ni Vyema mkastaafu pia au mka adopt.
Ila there is no going Back, itafika wakati hata sisi wa juzi tutakuwa hatufit kwenye mfumo.
Ni kweli kabisa mkuu, upo sahihi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Aiseee nilichelewa kufika kumbe 😅😅😅😅 nimecheka sana alafu ukintag tag Penseli 4 hivyo.

Yes ni kweli huyu changudoa alipewa gono na mzee wa miongozo pamoja na crew yao. Na Carleen pia japo saivi kaolewa
server za jf zimebeba mambo mazito hivi? Yelewiii dunia isimame nishuke, mpaka gono heee mmenizidi tabia wallah.
 
Uwiiiiiii uwiiiii uwiiiiii uwiiiiiii

nilijua tu udangaji unaendelea humu ila uzuri ni kuwa unafanyika PM na huyo gagula mwenyewe ni mgumba kama ulikuwa hujui.

Anatoa mimba kuanzia 2001 wakati yuko form 4.

40+ Lenie Grahams ni kweli haya yasemwayo?.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Daah huu uzi mtamu sijui kwann nilichelewa kuja. Danguchess.

Oya we Fifi Moto 👍👍
wewe penseli wa moto mno mpwaa haupoiiii, matashtiti kama yote.
 
Unajua mm jf nilikua najua ni jukwaa la siasa tu[emoji23]

Ghafla naona post za sijui selfie, mara sijui chit chats.
Hata hayo mahusiano ya antonnia nilikua siyajui kabisa, nimekuja kuona jina lake huko

Yale manyuzi yako ya utumbo utumbo ulikuwa unapost jukwaa la siasa Mh DC? Wewe till now hujui unamtaka nani cute wife or darlin
Estupido
 
Back
Top Bottom