The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ukiepuka mambo mengi sana utakua tayari umesha kufa ndani ya nafsi yako hata kama utakua unatembea njiani,Unaweza kudhani umekufa kumbe umejiua. Hiki ndio tunatakiwa kuhepuka.
Kufa ni kufa tu hakuna cha kufa mapema wala kufa kwa kuchelewa,kifo hupangwa na Mungu,kuna vichaa wanakula majalalani toka wakiwa vijana hadi wanazeeka,
Love the life u live,
Live the life u love.