matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #41
Ndambi. Nasisitiza.... namba 6 iongezee nyama.. Usionee aibu mtu hapo ndambi lazima itamkwe waziwazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndambi. Nasisitiza.... namba 6 iongezee nyama.. Usionee aibu mtu hapo ndambi lazima itamkwe waziwazi.
Ukitembea unawaza kugongwa na bodaboda. Utakufa kwa kugongwa na bodaboda hata kama unaafya iliyopitiliza.Kifo ni kifo
Unaweza kujitunza kwa kuacha vyote afu unakutana na bodaboda kalewa anakupitia shwaaah unajifia
😀Professor Janabi Kaja Kwa Namna Nyingine Sasa Hivi
Kwahiyo waliokufa na ajali wote walikuwa wanasema wanakufa na ajali? 😂😂😂Ukitembea unawaza kugongwa na bodaboda. Utakufa kwa kugongwa na bodaboda hata kama unaafya iliyopitiliza.
Hii inarudi kwenye sababu namba moja.
Endelea kujidanganya ivo ivo mtaani kwangu kuna kijiwe cha bodaboda,asa hapo kijiweni kuna mzee yupo na boda yakeBodaboda inayoendeshwa na vijana wamenyoa viduku.
Unatakiwa kupanda bodaboda ya mzu mzima au mtu anayeonekana na yeye yuko siriasi na uhai wake. Hii jamaa mmoja alinishauri ndio naitumia japo yeye ameshadedi kwa ajali ya gari yake mwenyewe.
Hujui tu,Mkuu kila mtu ana siku yake ya kufa aliyoandikiwa na Mwenyezi Mungu kabla ya kuzaliwa! Ile haibadiliki.
Ukisikia mtu amekufa mapema ndivyo alivyoandikiwa! Hata akijinyonga ujue siku yake ilikuwa imefika aliyoandikiwa na Mwenyezi Mungu.