The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ukiepuka mambo mengi sana utakua tayari umesha kufa ndani ya nafsi yako hata kama utakua unatembea njiani,Unaweza kudhani umekufa kumbe umejiua. Hiki ndio tunatakiwa kuhepuka.
Hili dude we acha tuBodaboda
KuhepukaUnaweza kudhani umekufa kumbe umejiua. Hiki ndio tunatakiwa kuhepuka.
Sawa.Ukiepuka mambo mengi sana utakua tayari umesha kufa ndani ya nafsi yako hata kama utakua unatembea njiani,
Kufa ni kufa tu hakuna cha kufa mapema wala kufa kwa kuchelewa,kifo hupangwa na Mungu,kuna vichaa wanakula majalalani toka wakiwa vijana hadi wanazeeka,
Love the life u live,
Live the life u love.
Namba 5 ,Wamasai watakuwa wanakufa sana1: Kupenda kujitamkia kifo au kufakufa hata kama ni utani. Sisi watu wa maandiko tunamstari unasema, mtu atakula matunda ya kinywa chake.
2: Kustaafu kabla ya Muda wako...
Hahahahaha kifo hakina hodi.ππ. Mkuu zingatia, usiseme hatukuandika.
Hii sidhani kama inamstari wowote kwenye maandiko mkuu.Mkuu kila mtu ana siku yake ya kufa aliyoandikiwa na Mwenyezi Mungu kabla ya kuzaliwa! Ile haibadiliki.
Ukisikia mtu amekufa mapema ndivyo alivyoandikiwa! Hata akijinyonga ujue siku yake ilikuwa imefika aliyoandikiwa na Mwenyezi Mungu.
πKushabikia simbaπ π π π
Ndoa iliyopatiwa inaongeza maisha. Ila ndoa iliyokosewa inaanza kukuua mdogomdogo kuanzia siku ya kusaini cheti.ongeza hapo ndoa, magonjwa, uzembe na ulevi
Hii imekaa sawa.Kushupalia yasiyokuhusu....aisee utakuja kutana nacho utakosa hata muda wa kujuta
... namba 6 iongezee nyama.. Usionee aibu mtu hapo ndambi lazima itamkwe waziwazi.6: Kuwa na mwili usio na uwiiano