Maskini akipata matako hulia mbwataMimi mnazi wa hawa watu ila nimeanza kuona wana tatizo siyo bure japo ni maisha yao ila wameayafanya yajadiliwe kwa upupu wanaoufanya.
Duh kweli diamond siyo mchezo kamfanya mama mtu mzima na heshima zake zote amekuwa ka ki lyn cha huko kwetu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] loooohhhWamembeba marehemu hapa halafu wanasakata rumba kiasi hiki! Khaa!
Wamembeba marehemu hapa halafu wanasakata rumba kiasi hiki! Khaa!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] loooohhh
hatariii kwelii...hii maiti inakoma mbona humo sandukuni!!!!
Toto la kiganda linajua kuwaumiza michepuko ya kibongo
Cc. Hamisa Mobeto
Sent using Jamii Forums mobile app
not to dhat extent!!!!Umeona eeh! Dah!
unaweza fanya hvyo endapo mzazi wako akiondoka?!!tuache ushabiki pembenihahaha watanzania bhana kwani ukifiwa ndio siyo ruhusa kupata furaha kwani na wewe umekufa?
Kazi ya walio hai ni kukumbuka kuwaombea walio wafu na kuendelea na maisha pamoja na kufurahi maisha....
Siku akifa dai atakuwa ashapata kidume mwinginee tena anapost na videoDue!! any way nimaisha yake....lkn huyu Dada sizan kama ana akil timamu....
Hata kama umefiwa maisha lazima yaendelee! Unafikiri ukiendelea kulia lia na kujihuzunisha marehemu ndo atarudi?Hata 40 ya mama yake haijafika huyu dada ana moyo mgumu
Wajirekodi basi wanatiana tuone hizi mi nishachokaaHata kama umefiwa maisha lazima yaendelee! Unafikiri ukiendelea kulia lia na kujihuzunisha marehemu ndo atarudi?