Mambo ya kikubwa chumbani Diamondplatnumz na Zarithebosslady wameamua kunyoosha wambea mtandaoni

Mambo ya kikubwa chumbani Diamondplatnumz na Zarithebosslady wameamua kunyoosha wambea mtandaoni

Mimi mnazi wa hawa watu ila nimeanza kuona wana tatizo siyo bure japo ni maisha yao ila wameayafanya yajadiliwe kwa upupu wanaoufanya.
Duh kweli diamond siyo mchezo kamfanya mama mtu mzima na heshima zake zote amekuwa ka ki lyn cha huko kwetu
Maskini akipata matako hulia mbwata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamembeba marehemu hapa halafu wanasakata rumba kiasi hiki! Khaa!

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] loooohhh
hatariii kwelii...hii maiti inakoma mbona humo sandukuni!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahaha watanzania bhana kwani ukifiwa ndio siyo ruhusa kupata furaha kwani na wewe umekufa?
Kazi ya walio hai ni kukumbuka kuwaombea walio wafu na kuendelea na maisha pamoja na kufurahi maisha....
 
Duuuh hawa watu ni kama ndukum hata uwaoshe kwa sabuni mche mzima tena ya magadi na mawese toka Kigoma au Foma lita 20 bado watanuka tuu,
 
hahaha watanzania bhana kwani ukifiwa ndio siyo ruhusa kupata furaha kwani na wewe umekufa?
Kazi ya walio hai ni kukumbuka kuwaombea walio wafu na kuendelea na maisha pamoja na kufurahi maisha....
unaweza fanya hvyo endapo mzazi wako akiondoka?!!tuache ushabiki pembeni

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Huyo Zari ndio michezo yake hiyo ya mapicha ya Kikubwa! Ukienda XVideos kuna moja ametupia akiwa anapekecha K.
 
Back
Top Bottom