popbwinyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,986
- 3,615
Maskini akipata matako hulia mbwataMimi mnazi wa hawa watu ila nimeanza kuona wana tatizo siyo bure japo ni maisha yao ila wameayafanya yajadiliwe kwa upupu wanaoufanya.
Duh kweli diamond siyo mchezo kamfanya mama mtu mzima na heshima zake zote amekuwa ka ki lyn cha huko kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app