Mambo ya kimataifa yanakwenda taratibu lakini yana madhara makubwa sana serikali zindukeni

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Haya mambo huenda taratibu sana lakini madhara ni makubwa
Jumuia ya madola ilimtuma Chakwera viongozi wetu wakampiga siasa wakajua wamemtuliza kumbe aliandika hati chafu leo hii tunaona tamko la jumuia
Najua kama kawaida yetu na serikali sikivu hii watakuja watu kede kede kuifokea jumuiya na wengine watatumwa kwenda huko madola kupiga mboyoyo ili kuweka mambo sawa jueni tu kuwa hamtabadili kitu

Na hii ni trela serikali ikiendelea hivi kwa style hii baada ya miaka miwili tutatoa harufu ya uvundo yaani tutanuka kimataifa zaidi ya hapa

Wito kwa serikali iweke mitutu chini iwasikilize wananchi nini wanataka kutunza amani kwa mtutu wa bunduki hakuwezi kudumisha amani milele na madhara yake ni kuyatumikisha majeshi yetu kinjume na sheria za nchi na za kijeshi na hali hii ikiendelea askari wetu watanogewa na siasa na kuwaweka wanasiasa chini
 
Tanzania ni kisiwa cha Amani
 
Shida kubwa ya viongozi wa serikali ya ccm ni kufikiri watu wote nchini na duniani kote hawana akili! Isipokuwa wao tu. Halafu wao kila kitu wanatanguliza siasa na porojo. Yaani hata sehemu ambayo inahitaji uweli, haki na uwazi, wao wanaleta siasa na porojo.
 
Kuna mada hapa nilishwahi kuweka.Ukiona umekamatwa na polisi wa ulaya we tambua mpaka mahakamani una la kujitetea kila kitu wanacho walikuwa wanakusoma na kukusanya ushaidi
 
Haya mambo huenda taratibu sana lakini madhara ni makubwa
Jumuia ya madola ilimtuma Chakwera viongozi wetu wakampiga siasa wakajua wamemtuliza kumbe aliandika hati chafu leo hii tunaona tamko la jumuia
Najua kama kawaida yetu na serikali sikivu hii watakuja watu kede kede kuifokea jumuiya na wengine watatumwa kwenda huko madola kupiga mboyoyo ili kuweka mambo sawa jueni tu kuwa hamtabadili kitu

Na hii ni trela serikali ikiendelea hivi kwa style hii baada ya miaka miwili tutatoa harufu ya uvundo yaani tutanuka kimataifa zaidi ya hapa

Wito kwa serikali iweke mitutu chini iwasikilize wananchi nini wanataka kutunza amani kwa mtutu wa bunduki hakuwezi kudumisha amani milele na madhara yake ni kuyatumikisha majeshi yetu kinjume na sheria za nchi na za kijeshi na hali hii ikiendelea askari wetu watanogewa na siasa na kuwaweka wanasiasa chini
Kamwe kenge hawajawahi kuwa wasikivu hadi mafuvu ya vichwa vyao ya sambaratike na waweze kushuhudia ubongo upo nje ya fuvu.Ajabu na kweli hata akitokea miongoni mwao aliye msikivu,kenge wasio wasikivu watamgawana kwa kumtafuna hata mifupa yake!
 
Haya mambo huenda taratibu sana lakini madhara ni makubwa
Jumuia ya madola ilimtuma Chakwera viongozi wetu wakampiga siasa wakajua wamemtuliza kumbe aliandika hati chafu leo hii tunaona tamko la jumuia
Najua kama kawaida yetu na serikali sikivu hii watakuja watu kede kede kuifokea jumuiya na wengine watatumwa kwenda huko madola kupiga mboyoyo ili kuweka mambo sawa jueni tu kuwa hamtabadili kitu

Na hii ni trela serikali ikiendelea hivi kwa style hii baada ya miaka miwili tutatoa harufu ya uvundo yaani tutanuka kimataifa zaidi ya hapa

Wito kwa serikali iweke mitutu chini iwasikilize wananchi nini wanataka kutunza amani kwa mtutu wa bunduki hakuwezi kudumisha amani milele na madhara yake ni kuyatumikisha majeshi yetu kinjume na sheria za nchi na za kijeshi na hali hii ikiendelea askari wetu watanogewa na siasa na kuwaweka wanasiasa chini
Nkunda et al
 
Huwezi jitangaza mwenyewe ,ukauwa watoto wa watu then ukasema upo salama .utalipa kwa gharama kubwa
 
Haya mambo huenda taratibu sana lakini madhara ni makubwa
Jumuia ya madola ilimtuma Chakwera viongozi wetu wakampiga siasa wakajua wamemtuliza kumbe aliandika hati chafu leo hii tunaona tamko la jumuia
Najua kama kawaida yetu na serikali sikivu hii watakuja watu kede kede kuifokea jumuiya na wengine watatumwa kwenda huko madola kupiga mboyoyo ili kuweka mambo sawa jueni tu kuwa hamtabadili kitu

Na hii ni trela serikali ikiendelea hivi kwa style hii baada ya miaka miwili tutatoa harufu ya uvundo yaani tutanuka kimataifa zaidi ya hapa

Wito kwa serikali iweke mitutu chini iwasikilize wananchi nini wanataka kutunza amani kwa mtutu wa bunduki hakuwezi kudumisha amani milele na madhara yake ni kuyatumikisha majeshi yetu kinjume na sheria za nchi na za kijeshi na hali hii ikiendelea askari wetu watanogewa na siasa na kuwaweka wanasiasa chini
Watawekaje mitutu chini wakati wapo kwenye nafasi ambazo hawqstahili kuepo kwaiyo wanatetea maslahi yao wanaiba tu kina msigwa unafikilia wataenda wapi so wapo tayali mfe wote ili wao waendelee kufaidi
 
Back
Top Bottom