Mambo ya kimataifa yanakwenda taratibu lakini yana madhara makubwa sana serikali zindukeni

Huyajui hayo mabeberu mkuu.

Yanaongea ongea hivyo yakitageti mambo yao.

Hivi kuna mtu mbaya kama tolu hapo jirani lakini nini wamemfanya mpaka leo.

Tatizo la vyama vyetu ni vimechoka kifikra havina ubunifu wa agenda mpya wamebakia kutegema taasisi kama hizo za nje kuwasaidia mambo ambayo walipaswa kuyafanya wao.
 
CC

Agenda gani unataka ccm wanatumia majeshi kuvidhibiti hivi vyama hawawezi kuwa na agenda wakati wanawindwa kama dikdik lzm watafute namna ya kujihami kwanza kuponya uhai wao
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
CC

Agenda gani unataka ccm wanatumia majeshi kuvidhibiti hivi vyama hawawezi kuwa na agenda wakati wanawindwa kama dikdik lzm watafute namna ya kujihami kwanza kuponya uhai wao
Chadema walivyopata majimbo 70 uchaguzi wa 2015 walitumia vyombo vya dola kuyapata?
 
Ilikuwa kwa hisani ya CCM ambayo hisani hiyo iliondolewa na marehemu magufuli
 
Tanzania ni kisiwa cha Amani
Mkubwa nakuomba sana sana hata kama unalipwa fedha nyingi juu ya propaganda hizi weka shule yako mbele !Fikiria yajayo kuhusu wajukuu zako.

Uliamini ipo siku Watanzania tutauana Kwa risasi?

Uliamini ipo siku Watanzania tutakuwa na curfew(Lockdown) Kwa sababu ya maandamano?

Achana na tumbo lako tumia kichwa kufikiri yajayo.Upo kwenye nafasi nzuri ya kushauri serikali na chama chako yajayo ni mazito tutaumia wote na hizo fedha unazopata zitakuwa zimeshaisha
 
Acha wacheze tu siku wanajeshi wakionja utamu wa madaraka na kutambua wao ndio wenye nguvu halisi, CCM wataishia kuwa vibaraka tu na wafungwa, demokrasia itazikwa rasmi, hizi chaguzi wanazoiba zitakuwa ujinga mtupu au hazitakuwepo kabisa, ni sawa na mtoto anayekuona ukivunja sheria waziwazi unamfundisha nini zaidi ya kuvunja sheria pia? west Africans countries wame suffer sana sababu ya wahuni kama CCM, mwisho jeshi wanachukua ,na kurudisha kwa raia ni vita nyingine ngumu sana inayoweza gharimu millions of lives,CCM wanacheza na moto
 
Ilikuwa kwa hisani ya CCM ambayo hisani hiyo iliondolewa na marehemu magufuli
Si ndio CCM hii hii au kuna Chama Kingine kilichokuwa madarakani.

Na huo si ndio mwaka Magufuli aligombea?? Au aligombea Magufuli mwingine.
 
Huyajui hayo mabeberu mkuu.

Yanaongea ongea hivyo yakitageti mambo yao.

Hivi kuna mtu mbaya kama tolu hapo jirani lakini nini wamemfanya mpaka leo.

Tatizo la vyama vyetu ni vimechoka kifikra havina ubunifu wa agenda mpya wamebakia kutegema taasisi kama hizo za nje kuwasaidia mambo ambayo walipaswa kuyafanya wao.
Sio lazima uweke pua lako lililojaa ujinga kwenye mambo usiyoelewa
 
Back
Top Bottom