Mambo ya kimataifa yanakwenda taratibu lakini yana madhara makubwa sana serikali zindukeni

HII KITU DUNIA NZIMA UTAPIGWA.
ETI KISA WEWE NI MZAZI WA FAMILIA BASI UNAJIAMULIA.
i. Kuua watoto.
ii. Kuwateka na kuwapiga hovyo
iii. Kuwamiminia Risasi.
iv. Kuwafunga kwa kesi za uongo.
V. Kuzuia wasitoke ndani
vi kuwafunga midomo.
Vii. Kuwanyima haki zao zote za Msingi nk

LAZIMA MAJIRANI, NA VYOMBO VIINGILIE KATI.
 
HAtujifunza vizuri mstumizi ya mfumo wa kidikteta temeingia kichwakichwa
 
Jumuia ya madola ilimtuma Chakwera viongozi wetu wakampiga siasa wakajua wamemtuliza kumbe aliandika hati chafu leo hii tunaona tamko la jumuia
Jumuia za mandola huwa hawaanini mambo ya demokrasia ila naona kama wamezinduka na wao
 
Kwa sasa wamevurugwa hawngalii sheria wala mkataba wanachojali ni kulinda utawala wao
Hata gadafi alipambana kulinda utawala wake lakini dunia ilivyomgeuka alianguka vibaya na hiki ndicho kinachoenda kutokea kwetu@@ shida sijui kama viongozi wetu wanqijua historia ya dunia,utawala hauezi kuua watu wote hao 518 na kuchukulia kawaidq ni swalq muda tu
 
Ungelitupa mfano hata mmoja ya huko yalikokwenda taratibu halafu wakaja kuona madhara yake baadae.
Mimi binafsi kila nikiperuzi sioni. Mfano;
-Taiwani alifukuzwa UN, yupo anadunda.
-Korea Kaskazini imetengwa na Dunia. Ipo inadunda.
-Zimbabwe ilitengwa na Jumuiya ya Madola mwaka wa ishirini Sasa. Wapo wanadunda.
Hapo sijaiongelea Somalia, Cuba, Russia. Lakini wewe unaweza ukawa na mfano mzuri tu. Ulete.
 
Ungelitupa mfano hata mmoja ya huko yalikokwenda taratibu halafu wakaja kuona madhara yake baadae.
Mimi binafsi kila nikiperuzi sioni. Mfano;
-Taiwani alifukuzwa UN, yupo anadunda.
-Korea Kaskazini imetengwa na Dunia. Ipo inadunda.
-Zimbabwe ilitengwa na Jumuiya ya Madola mwaka wa ishirini Sasa. Wapo wanadunda.
Hapo sijaiongelea Somalia, Cuba, Russia. Lakini wewe unaweza ukawa na mfano mzuri tu. Ulete.
 
Kwahiyo unataka sie tuishi kama zimbabwe
 
Mkulu wa magogoni, na chamwino,ni kilaza, Hilo la kwanza, ni mtu anayeogopa waliomzidi akili, pili amezungukwa, amejizungushia sycophants watupu, wasio weza kutofautisha, usalama wa nchi, chama,geo politics, diplomatic, nk, waziri wa Mambo ya nje, ni mtu wa mipasho, vidole juu, yeye kupiga picha na waziri wa Mambo ya nje wa urusi, na papa, anaona jambo LA maana Sana, ni mile stone, anajivunia kabisa kwamba "ame feature vzr"huko, ughaibuni,
Mie mwana nzengo tu wa tandale najua nguvu ya kidiplomasia ya US, UK, huwezi kukimbilia china, na urusi eti utafute balance ya power na wazungu!
Mafuta kwenda China hupita mfereji wa hormutz, US kaipiga Iran, mchina mzigo wa mafuta haufiki vzr, lakini hajotoa msaada wa wazi kwa Iran!
Iran alimsaidia Urusi Drones za Shahid ili kupambana na siraha Kali za, Ulaya kule ukraine, lakini wakati anakula kipondo cha myahudi, Urusi hakutoa msaada wa maana! Sasa wewe mmatumbi wa bongo, nini urusi atakupa ili akusaidie na vikwazo vya ulaya na America, kwa, lipi ulilompa?
Ukipigwa ban hakuna kununua gari za, Japan, uta weza, kununua za china na urusi, Balozi, za, UK, na, US, zinatoa ajira nyingi kuliko za, mchina na mrusi,
Sasa kama mlitegemea, putin atababaika na macho ya kurembua ya kizmkaz, mmenoa!
Ila surely Chadema tu, inawatoa kamasi!
Mna jeshi, polisi,idara ya ujasusi(sasa imegeuka kuwa secret police), 7/7, nchi ikapata hasara!biashara zikafungwa!
Ur done u fuckers, it's a matter of time,
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
  • Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
  • Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
  • Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
  • Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
 
Kete zinasukumwa kwa ustadi mkubwa
ngoja tuone hawa mapimbi wanaweza kuzamisha mtumbwi tufe wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…