Tanzania ni kisiwa cha ukimya, na unyamazifu na utulivuTanzania ni kisiwa cha Amani
Hali teteWana jopo la waganga kutoka Nigeria, Comoros na Pemba hawa ndoyo washauri wakubwa wa Samuya
Huyajui hayo mabeberu mkuu.
Yanaongea ongea hivyo yakitageti mambo yao.
Hivi kuna mtu mbaya kama tolu hapo jirani lakini nini wamemfanya mpaka leo.
Tatizo la vyama vyetu ni vimechoka kifikra havina ubunifu wa agenda mpya wamebakia kutegema taasisi kama hizo za nje kuwasaidia mambo ambayo walipaswa kuyafanya wao.
Agenda gani unataka ccm wanatumia majeshi kuvidhibiti hivi vyama hawawezi kuwa na agenda wakati wanawindwa kama dikdik lzm watafute namna ya kujihami kwanza kuponya uhai waoHuyajui hayo mabeberu mkuu.
Yanaongea ongea hivyo yakitageti mambo yao.
Hivi kuna mtu mbaya kama tolu hapo jirani lakini nini wamemfanya mpaka leo.
Tatizo la vyama vyetu ni vimechoka kifikra havina ubunifu wa agenda mpya wamebakia kutegema taasisi kama hizo za nje kuwasaidia mambo ambayo walipaswa kuyafanya wao.
Chadema walivyopata majimbo 70 uchaguzi wa 2015 walitumia vyombo vya dola kuyapata?CC
Agenda gani unataka ccm wanatumia majeshi kuvidhibiti hivi vyama hawawezi kuwa na agenda wakati wanawindwa kama dikdik lzm watafute namna ya kujihami kwanza kuponya uhai wao
Ilikuwa kwa hisani ya CCM ambayo hisani hiyo iliondolewa na marehemu magufuliChadema walivyopata majimbo 70 uchaguzi wa 2015 walitumia vyombo vya dola kuyapata?
OgTwende Kwa Amani na usahihi!
Mkubwa nakuomba sana sana hata kama unalipwa fedha nyingi juu ya propaganda hizi weka shule yako mbele !Fikiria yajayo kuhusu wajukuu zako.Tanzania ni kisiwa cha Amani
Si ndio CCM hii hii au kuna Chama Kingine kilichokuwa madarakani.Ilikuwa kwa hisani ya CCM ambayo hisani hiyo iliondolewa na marehemu magufuli
Sio lazima uweke pua lako lililojaa ujinga kwenye mambo usiyoelewaHuyajui hayo mabeberu mkuu.