Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa Single Mother

Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa Single Mother

Kuwa single mother tu tayari ni indicator ya mwanamke kutojitambua. Mwanamke ndie gatekeeper wa sex na fertility. Hakuna kinachowezekana hapo bila mwanamke kuruhusu vinginevyo awe amebakwa.

Na kwa mwanamke yoyote anaejitambua atajua wakati salama kwake kubeba mimba ni mpaka pale mwanaume atakapomuoa rasmi.

Sasa kama mwanamke anaejitambua anashindwa kujua kitu kidogo kama hicho, basi inabidi tutafute definition nyingine ya ilo neno "kujitambua"
Wewe unazunguka mitaani kweli au
Ukitoka mihanagaikoni unarudi kujifungia ndani? Kwamba mwanamke aliyeolewa kwa ndoa akazaa watoto haachiki? Kwamba ukishaolewa ndio unajitambua🫢
Unaongea nini?
 
Nashindwa kuimagine kumuwazia kaka yangu kuoa mwanamke mwenye mtoto, kaka zangu waliooa single mazas sijawahi kuwawaza na sijawahi kuona tatizo lolote! Nina marafiki single mazas wameolewa pia sijaona shid avilevile na wanaenjoy ndoa zao as usual..
Kwaiyo mtoto wako wa kiume akija kukutambulisha mchumba ake ambae ni singke mother kutoka moyoni kabisa utafurahi?
 
Wewe unazunguka mitaani kweli au
Ukitoka mihanagaikoni unarudi kujifungia ndani? Kwamba mwanamke aliyeolewa kwa ndoa akazaa watoto haachiki? Kwamba ukishaolewa ndio unajitambua🫢
Unaongea nini?
Sio single mother wote ni divorcee. Divorcee single mothers ni asilimia ndogo sana. Wengi wamejikuta wakiwa single mother kwa sababu ya kudanga, tamaa, maamuzi mabovu n.k, Na hata hao divorcee sio wote waliondoka kwenye ndoa zao kwa sababu ya manyanyaso kuna ambao wameachika kwa sababu ya usaliti, kiburi, jeuri, kubambikizia watoto n.k
 
Kwaiyo mtoto wako wa kiume akija kukutambulisha mchumba ake ambae ni singke mother kutoka moyoni kabisa utafurahi?
Sasa nichukizwe nini? Tabia za kujifatiliza mpaka kwa ndugu na watoto ni tabia mbaya! Matokeo yake unaanza kusemmwa unamuonea wivu kijana wako au unataka akuoe wewe! Roho chafu chafu sinaga..
 
Sio single mother wote ni divorcee. Divorcee single mothers ni asilimia ndogo sana. Wengi wamejikuta wakiwa single mother kwa sababu ya kudanga, tamaa, maamuzi mabovu n.k, Na hata hao divorcee sio wote waliondoka kwenye ndoa zao kwa sababu ya manyanyaso kuna ambao wameachika kwa sababu ya usaliti, kiburi, jeuri, kubambikizia watoto n.k
Kwahiyo kesi ya divorcee na singo maza inatofautishwa na cheti cha ndoa? Mbona mambo yanayotesa wengi kwenye hayo mahusiano hayapishani na yaliyopo kwenye ndoa? Kwanini una conclude kesi kubwa ni hao wadangaji sijui tamaa, hivi unazaaje na mtu kisa tamaa au kudanga? Unajua kuna utofauti mkubwa sana?
 
Sasa nichukizwe nini? Tabia za kujifatiliza mpaka kwa ndugu na watoto ni tabia mbaya! Matokeo yake unaanza kusemmwa unamuonea wivu kijana wako au unataka akuoe wewe! Roho chafu chafu sinaga..
Basi kila la heri. Mwenyezi Mungu akujalie upate mkwe single mother. Na msisitize sana kijana wako awe baba wa kambo bora kwa mtoto wa mkewe
 
Kwahiyo kesi ya divorcee na singo maza inatofautishwa na cheti cha ndoa? Mbona mambo yanayotesa wengi kwenye hayo mahusiano hayapishani na yaliyopo kwenye ndoa? Kwanini una conclude kesi kubwa ni hao wadangaji sijui tamaa, hivi unazaaje na mtu kisa tamaa au kudanga? Unajua kuna utofauti mkubwa sana?
Ndoa ni uhakika wa kupata commitment ya mwanaume. Hapo hata ukizaa unajua mwanaume amekuchukua rasmi kutoka kwenu kwaiyo atasimama kwenye nafasi ya baba wa mtoto. Hiyo haimaanishi kwamba uko kwenye ndoa hakutakua na changamoto.

Lakini kuzaa bila kuolewa wala kutambulishana rasmi kwenye familia zenu huo ni upumbavu. Hakuna namna yoyote unaweza ukasema huyo mwanamke anajitambua. Huyo mwanamke ni mpumbavu. Na single mothers wengi wanaingia kwenye kundi hili
 
Hapo nimekuelewa kwa ukaribu, lakini sijawahi kuona mtu anazalishwa bila kwao kufahamu! Mimba inafikisha miezi tisa mtoto anazaliwa bila wazazi wa pande zote mbili kujua🤔

Sijui inawezekanaje, siwezi kubisha sana hapa ila ni upumbavu kama unavyosema!
 
Historia ya mtu ni predicting measure ya future yake. Kwahiyo katika kufanya vetting ni muhimu pia kuangakia past ya mtu
Yes vetting muhimu sana ,najua baadhi ya watu kuoa au kuolewa na mtu mwenye watoto au aliyeachika ni jambo lisilokubalika kabisa (non-starter), lakini kuwahukumu single mothers wote kama ni malaya au watu wasiostahili kuolewa tena ni stereotype ya kudhalilisha na isiyo na msingi wa kweli
 
Hapo nimekuelewa kwa ukaribu, lakini sijawahi kuona mtu anazalishwa bila kwao kufahamu! Mimba inafikisha miezi tisa mtoto anazaliwa bila wazazi wa pande zote mbili kujua🤔

Sijui inawezekanaje, siwezi kubisha sana hapa ila ni upumbavu kama unavyosema!
Mnatakiwa kutambulishana kabla hamjafikia uko kwenye kubebeshana mimba. Suala la kuleta kiumbe kipya duniani ni suala kubwa sana ambalo linahitaji maandalizi ya kiuchumi na utayari wa kubeba jukumu la malezi. Tatizo waswahili tunalichukulia kirahisi rahisi sana, na mbaya zaidi kizazi cha kisasa mtoto wa kike kapewa uhuru usiokua na mipaka basi single mother ndio wametapakaa kila mtaa
 
Wewe unazunguka mitaani kweli au
Ukitoka mihanagaikoni unarudi kujifungia ndani? Kwamba mwanamke aliyeolewa kwa ndoa akazaa watoto haachiki? Kwamba ukishaolewa ndio unajitambua🫢
Unaongea nini?
Tatizo mkishika pesa za vikoba mnaona mnaweza kuendesha familia
Maandiko yanakutaka until na kumnyenyekea mmeo alafu leo hii linasimama genge la maslayqueen wakisema mwanamke apunguze kumnyenyekea mtu alomtolea mahari na kumpa hifadhi
 
Yes vetting muhimu sana ,najua baadhi ya watu kuoa au kuolewa na mtu mwenye watoto au aliyeachika ni jambo lisilokubalika kabisa (non-starter), lakini kuwahukumu single mothers wote kama ni malaya au watu wasiostahili kuolewa tena ni stereotype ya kudhalilisha na isiyo na msingi wa kweli
Ni bora kuwahukumu ruthlessly. Hii itapeleka signal warning kwa kizazi kijacho cha wanawake na kujiepusha na njia za hawa wakubwa wao. In the long run itasaidia kutokomeza hii generational trend ya single mothers and fatherless kids.

Lakini kuwaremba remba single mothers na maneno matatu. Itapeleka ujumbe kwa kizazi cha mabinti wadogo kwamba wanaweza kufanya ngono kiholela holela tu kwa sababu hata watakaposhika mimba na kuishia kuwa single mother jamii itawatetea.

Kama hatupendezwi na hii trend ya single mothers and fatherless kids iliyoshamili mtaani na tunataka mabadiliko lazima tukubali kuna kundi litatolewa kafala ili kumaliza tatizo. Hakuna mabadiliko matamu kwa watu wote
 
Kwenye sheria hazitumiki hisia, kinachoangaliwa ni kile kilichoandikwa kwenye vitabu. Hivyo maamuzi yoyote utakayofanya hata kama ni kwa nia nzuri lazima ujue kuna consequences zake. Kumbuka kwenye sheria hauwezi kujitetea kwa kusema "nilikua sijui"

Yafuatayo ni mambo ya muhimu kuyajua utakaamua kuoa au kuishi na single mother

1.Mtoto wa single mother sio mtoto wako na hatokua mtoto wako.

Haijalishi umejitoa, umeonyesha upendo au umeingia gharama kwa kiasi gani kwa ajiri ya malezi ya mtoto. Mama na baba mzazi ndio wenye haki ya mzazi wa mtoto. Suala la haki ya mzazi determinant factor ni biology. Emotional bond au mtoto kutumia ubini wako hivyo vitu havina uzito. Baba wa mtoto akiibuka muda wowote na kumtaka mtoto wake, hautakua na nguvu ya kumzuia wala kudai fidia ya gharama ya malezi ya mtoto ulioingia.

2.Hauwezi kuasili/adopt mtoto ambae baba ake yupo hai.

Hata kama baba mzazi amemtelekeza mtoto wake au ana ugomvi na mama mtoto. Hauna uhalali wa kisheria kumuasili mtoto ikiwa baba ake yupo hai. Unaruhusiwa ku-play nafasi ya baba kama kugharamia malezi, emotional support n.k lakini sio kumuasili/adopt mtoto

3.Utakapoamua kubeba jukumu la malezi ya mtoto wa single mother sheria itaendelea kukubesha ilo jukumu hata pale mtakapoachana.

Kwa masilahi ya mtoto na dhamira ya dhati ya serikali kumaliza tatizo la watoto wa mtaani, basi utatakiwa kuendelea kutoa gharama za malezi/child support hata mkiachana na mama mtoto. Kumbuka hiyo ni shurti kisheria, sio hiyali.

4.Baba na mama mzazi wana haki ya kujumuika pamoja katika kushirikiana malezi ya mtoto wao.

Hauna mamlaka ya kuwazuia kuwasiliana au kuonana. Hauna mamlaka ya kumzuia mama mtoto kumpeleka mtoto nyumbani kwa baba ake. Kitu pekee unachoweza kufanya ni kuzuia tu baba mtoto asije nyumbani kwako. Nje ya himaya ya nyumbani kwako hauna mamlaka ya kuzuia wala kuingilia interactions za wazazi wa mtoto hata wakiamua kukutana lodge. Ukifanya jaribio lolote la kuzuia kukutana kwao unaweza kushtakiwa kwa kosa la kuingilia faragha ya watu.

5.Safari yoyote na mtoto, baba ake anatakiwa kujua na kutoa ruhusa.

Mfano mmepanga trip ya kifamilia kwenda mkoani basi baba wa mtoto lazima apewe taarifa na atoe ruhusa ya mwanae kusafiri. Akikataa hakuna safari au mtatakiwa kumuacha mtoto nyumbani. Baba mzazi anatakiwa kujua kila sehemu ambayo mtoto wake anasafiri, kutompa taarifa anaweza kukufungulia mashtaka ya kumtorosha mtoto wake.

6.Kumuasili/adopt mtoto bila baba ake kujua ni child trafficking.

Ukiadopt mtoto ambae baba ake yupo hai na akajua na kukufungulia kesi utapandishwa kizimbani kwa mashtaka ya child trafficking.

Naomba niwatakie siku njema mababa wa kambo na vijana wote wenye wapenzi au wachumba ambao ni single mother.
Hizi sheria ni cultural relativism or ni universal claims?
 
Ukioa single maza tia mimba kadhaa chapchap
20260410_182555.jpg
 
Ni bora kuwahukumu ruthlessly. Hii itapeleka signal warning kwa kizazi kijacho cha wanawake na kujiepusha na njia za hawa wakubwa wao. In the long run itasaidia kutokomeza hii generational trend ya single mothers and fatherless kids.

Lakini kuwaremba remba single mothers na maneno matatu. Itapeleka ujumbe kwa kizazi cha mabinti wadogo kwamba wanaweza kufanya ngono kiholela holela tu kwa sababu hata watakaposhika mimba na kuishia kuwa single mother jamii itawatetea.

Kama hatupendezwi na hii trend ya single mothers and fatherless kids iliyoshamili mtaani na tunataka mabadiliko lazima tukubali kuna kundi litatolewa kafala ili kumaliza tatizo. Hakuna mabadiliko matamu kwa watu wote
Ndoa zinavunjika au watoto wanazaliwa nje ya ndoa kwa sababu nyingi na sio single mothers peke yao wanasababisha, sometimes kuna abuse, cheating, addiction, impotence etc au mtu anakata kuoa baada ya mimba, utawalaumu vipi single mothers kwa mambo kama hayo, na kiukweli wanawake wengi wanapenda ndoa zao kuliko wanaume, anyway let’s agree to disagree 🥂
 
Hizi sheria ni cultural relativism or ni universal claims?
Ni sheria za kiutawala tulizojiwekea. Sometimes sheria haziwezi kuwa universal lakini pia zinaweza kufanana kwa baadhi ya nchi. Mfano juzi juzi hapa South Africa kuna habari kwamba baba wa kambo aliamriwa na mahakama aendelee kulipia matunzo ya mtoto hata kama wameachana na mama mtoto, kwa sababu ya kwamba kusitisha hayo matunzo kutapelekea athari hasi kwa mtoto kukosa mahitaji ya muhimu. Nimeongelea hilo suala hapo namba 3
 
Ndoa zinavunjika au watoto wanazaliwa nje ya ndoa kwa sababu nyingi na sio single mothers peke yao wanasababisha, sometimes kuna abuse, cheating, addiction, impotence etc au mtu anakata kuoa baada ya mimba, utawalaumu vipi single mothers kwa mambo kama hayo, na kiukweli wanawake wengi wanapenda ndoa zao kuliko wanaume, anyway let’s agree to disagree 🥂
Mwanamke ni muamuzi mkuu linapokuja suala la sex na kushika mimba. Vinginevyo awe amebakwa. Na wakati salama kwa mwanamke kushika mimba ni mpaka pale atakapoolewa. Mwanamke kutiwa mimba halafu ndio analeta topic ya kutaka kuolewa huo ni upumbavu. Alitakiwa ku-demand ndoa kwanza ndio ashike mimba. Maana ndoa ndio uhakika wa commitment ya mwanaume. Single motherhood is an indicator of reckless past decision.
 
Back
Top Bottom