Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa Single Mother

Kuna mpumbavu mmoja kaoa kwa mbwembwe nyingi mama mwenye watoto wawili kila mtoto ana baba yake na hao mababa wapo hai wanatunza watoto wao waliaoachwa kwa bibi mzaa mama. Sijui huyo jamaa kama ana akili timamu siku mke wake atakapowasiliana na waume zake wa zamani, maana kuna sherehe za watoto shuleni zinazowataka wazazi wahudhurie. Huyo mama anaweza asihudhurie ili kulinda ndoa yake mpya isivunjike kama mume mpya ataona kuna ushirikiano wa mke wake na waume zake wa mwanzo. Ni mjinga sana huyo jamaa, ataoaje mke wa watu wawili?
Mpaka miayo imekatika, senge kweli hilo simp
 
Mimi nimemkuta ana mwaka mmoja mpaka sasa mtoto ana miaka 20 mtoto hajui kama mm c baba wazaz hawajui kama mtoto c wangu mashemeji hawajui nimemzalisha mkewangu watoto wa 4 na wote hawajui kama c dam yangu imebak sis ya mm na mkewangu sasa sijui huyo baba ataejitokeza baada ya miaka 19 kudai mtoto sijui atafananaje mana sijawah kupata taarifa yake yoyote ya kumsumbua wife nb kijana kama huna akili pesa mali nk usinije ukaoa singo maza utajikuta umaskin wako unasababisha unamletea gubu had mtoto akikukwaza kidogo fimbo akifanya hili mama yake wewe hasira zote kwa mtoto yote hayo si wewe ni umaskin wako na hiyo tabia ndio itafanya mama yake akuone matako na aone kama unamnyanyasa mtoto wake kifuatacho lazima uone haya anayosema mtoa mada vijana tafuten mamlaka kwanza mpunguze gubu..... Kama kuna mdada singo aje pm mi nalea hata wawe kumi pesa ipo na wataridh mali zangu achen mavijana maskin maskin haya yamepanga gheto yana maisha magumu yanazingizia singo matha tulikuja uchi tutarud na sanda sote wa baba m1
Umelewa ulanzi
 
Ulikosea sana kuoa single mother.
 
Ulishawahi kuwa naye? Kila mtu humu kapita na singo maza ila wanaume wa jf🙌🏾
Nimesema kuwa na single yataka moyo sana tena sana, hasa ukute bado wana mawasiliano na baba wa mtoto kiruuuuu... baba la mtoto unakuta lapiga simu usiku kuongea na mtoto 😂😂
 
Mnaokotana huko vichochoroni mnakuja kufanya generalizations huku!🚮
 
Kuna mpumbavu mmoja kaoa kwa mbwembwe nyingi mama mwenye watoto wawili kila mtoto ana baba yake na hao mababa wapo hai wanatunza watoto wao waliaoachwa kwa bibi mzaa mama. Sijui huyo jamaa kama ana akili timamu siku mke wake atakapowasiliana na waume zake wa zamani, maana kuna sherehe za watoto shuleni zinazowataka wazazi wahudhurie. Huyo mama anaweza asihudhurie ili kulinda ndoa yake mpya isivunjike kama mume mpya ataona kuna ushirikiano wa mke wake na waume zake wa mwanzo. Ni mjinga sana huyo jamaa, ataoaje mke wa watu wawili?
Tatizo liko wapi kuoa Mwanamke aliyewahi kuolewa, ndoa zinavunjika kama mambo mengine tuu, wewe ukiachana na mkeo Ina maana hautakiwi kuoa tena? naona double standard hapa acheni mawazo ya kishamba
 
Wasio wa vichochoroni wakoje na walio wa vichochoroni wakoje
Mwanamke kama hajitambui hata akizaa hatojitambua! Mwanamke anayejitambua haijalishi amezaa au la bado ataendelea kujitambua! Hizo tution mnazotoa humu kuhusu single mazas mjue kuna kila aina ya hao watu sio mnajumuisha tu kama kundi la malaya mnaowajua huko nje!
 
Back
Top Bottom