Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa Single Mother

Mimi nimemkuta ana mwaka mmoja mpaka sasa mtoto ana miaka 20 mtoto hajui kama mm c baba wazaz hawajui kama mtoto c wangu mashemeji hawajui nimemzalisha mkewangu watoto wa 4 na wote hawajui kama c dam yangu imebak sis ya mm na mkewangu sasa sijui huyo baba ataejitokeza baada ya miaka 19 kudai mtoto sijui atafananaje mana sijawah kupata taarifa yake yoyote ya kumsumbua wife nb kijana kama huna akili pesa mali nk usinije ukaoa singo maza utajikuta umaskin wako unasababisha unamletea gubu had mtoto akikukwaza kidogo fimbo akifanya hili mama yake wewe hasira zote kwa mtoto yote hayo si wewe ni umaskin wako na hiyo tabia ndio itafanya mama yake akuone matako na aone kama unamnyanyasa mtoto wake kifuatacho lazima uone haya anayosema mtoa mada vijana tafuten mamlaka kwanza mpunguze gubu..... Kama kuna mdada singo aje pm mi nalea hata wawe kumi pesa ipo na wataridh mali zangu achen mavijana maskin maskin haya yamepanga gheto yana maisha magumu yanazingizia singo matha tulikuja uchi tutarud na sanda sote wa baba m1
Niko kwenye guta nakujaa💃🏽💃🏽
 
Wewe ndie unajua hiyo ni siri yenu wawili, lakini ukweli ni tofauti. Mashoga zake wanajua, ndugu zake wanajua, bodaboda wake anajua, baba mtoto anajua n. k

Siri pekee ambayo mwanamke anaweza kukaa nayo moyoni maisha yake yote ni namba yake ya body count basi. Tofauti na hiyo atalopoloka tu
 
Tatizo ni expectations. Kama unaamini mtoto ni investment ndo utaogopa risk ya kulea mtoto wa mtu mwingine ukihofu kwamba unaweza somesha kutunza halafu bado mzazi wake halisi ndo akaja kufaidika na mtoto. Kama unaona mtoto ni kiumbe tu ambaye unaweza msaidia pasipo matarajio ya kuja kulipwa fadhila huko mbeleni hutapata shida kulea mtoto wa mtu mwingine. Binafsi sioni kama kuishi na step child ni tatizo kubwa kama mama yake ana busara na ni mwadilifu.
And, yes, kuna authority kiasi fulani unakua nayo kwa mtoto wa kambo ukiishi naye japo si wako kisheria. Na huyo biological father wa mtoto hawezi ibuka tu kwako kisa unaishi na mtoto wake. Ni kwako siyo kwake. Halafu mbona watoto wengi tu waliolelewa vizuri na step fathers wanawaheshimu na wengine hawana hata time na baba zao wa kuwazaa.
 
Shida ukifanya risk assessment ndio hesabu zinagoma kubalance. Single mother anakuja na vipengere vya mtoto na baba mtoto. Kufanya gamble ya ku-deal na watu watatu ndipo utata unapokuja.

Nafikiri single mother anatakiwa kuolewa na kijana wa angalao 35 hivi huyu anakua matured tayari. Lakini kijana wa 20's wengi wao bado hawana busara. Anaweza akakulupuka tu kuweka single mother ndani kwa sababu ya nyege halafu baadae akaanza kujutia alichokifanya.
 
Baba wa mtoto mara nyingi huwa siyo issue kubwa. Wanaume wengi wa kibongo hatufuatilii maisha ya watoto wetu tuliozaa nje. Wengi hata matunzo basic hawatoi. Huwa wana move on na mahusiano mapya. Sababu nyingine ya kuwasusa watoto wao wa nje huwa ni ushirikiano duni kutoka kwa mama wa mtoto. Mwanamke kama anakupenda anaogopa huta muelewa ukikamata chats zake na mzazi mwenzie wa zamani mara nyingi ataacha kuwasiliana na huyo ex wake unless it's very necessary.
Risk inakuja zaidi kama huyo mwanamke hana akili. Halafu kwasasa kwasababu ya mmomonyoko wa maadili na ukisasa mahusiano na mwanamke au mwanaume wa aina yeyote yule ni risk kubwa sana. Watu wanaingia kwenye ndoa wakiwa hawajui majukumu ya ndoa. Vijana hawawajibiki matunzo, wanalewa etc. wadada wana ligi balaa. Wengi hawapo submissive at all. Ni vurugu tupu.
 
Umeongea yote!!🙌🏾
 
Mimi nimemkuta ana mwaka mmoja mpaka sasa mtoto ana miaka 20 mtoto hajui kama mm c baba wazaz hawajui kama mtoto c wangu mashemeji hawajui nimemzalisha mkewangu watoto wa 4 na wote hawajui kama c dam yangu imebak sis ya mm na mkewangu sasa sijui huyo baba ataejitokeza baada ya miaka 19 kudai mtoto sijui atafananaje mana sijawah kupata taarifa yake yoyote ya kumsumbua wife nb kijana kama huna akili pesa mali nk usinije ukaoa singo maza utajikuta umaskin wako unasababisha unamletea gubu had mtoto akikukwaza kidogo fimbo akifanya hili mama yake wewe hasira zote kwa mtoto yote hayo si wewe ni umaskin wako na hiyo tabia ndio itafanya mama yake akuone matako na aone kama unamnyanyasa mtoto wake kifuatacho lazima uone haya anayosema mtoa mada vijana tafuten mamlaka kwanza mpunguze gubu..... Kama kuna mdada singo aje pm mi nalea hata wawe kumi pesa ipo na wataridh mali zangu achen mavijana maskin maskin haya yamepanga gheto yana maisha magumu yanazingizia singo matha tulikuja uchi tutarud na sanda sote wa baba m1
Watu 2 wajua trust me

1) mama yake mzazi
2)mdogo wake wa kike/ rafiki yake

Hao viumbe hawajawahi kuumbwa hivyo unavyo wadhania sasa kama umebisha subri tu mda maana ni mwamzi mzri..

Kibaya zaidi baba wa mtt anajua kabisa kuwa mwanae yupo wapi na ukwel ni huu anapata taarifa zote..
 
Attachments

  • downloadfile-6.jpg
    downloadfile-6.jpg
    62.4 KB · Views: 44

Kweli wewe pipa
 
Attachments

  • downloadfile-6.jpg
    downloadfile-6.jpg
    62.4 KB · Views: 26
Haya mambo hayana muongozo, japo waswahili wanasema kheri nusu shari kuliko shari kamili.

Mara 100 kuoa au kudate na mwanamke asiye bikra kuliko kudate au kuoa single mother.
 
Watu 2 wajua trust me

1) mama yake mzazi
2)mdogo wake wa kike/ rafiki yake

Hao viumbe hawajawahi kuumbwa hivyo unavyo wadhania sasa kama umebisha subri tu mda maana ni mwamzi mzri..

Kibaya zaidi baba wa mtt anajua kabisa kuwa mwanae yupo wapi na ukwel ni huu anapata taarifa zote..
hayo wasema wewe ila mimi najua mkewangu ni muaminifu ni swala tano nimemkuta bikra mcheshi na ana hela za kutosha
 
Back
Top Bottom